Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,694
- 10,832
asante sema sikuchangia ata mia kuianzia jf... Tunafata taratibu zilizoweka - na +Pole sana mkuu
asante sema sikuchangia ata mia kuianzia jf... Tunafata taratibu zilizoweka - na +Pole sana mkuu
Yeahhh hao waliochangia kwa asilimia nyingi zile hekaheka pale! Before palikua pametulia sana amani ilitawala pale!Bora umefutwa, na pia nimefurahi vile vigroup vya wanaume kama mabinti navyo sasa vimesambaratika.
Haikua rahisi, ila niliwaambia mtakimbiana mmoja baada ya mwingine. Pumbafu zao kabisa
Imagne upo arusha mtu yupo ushirombo anakuharibia siku....eeee
Ujue Kuna wakati unaona why mtu humfahamu hakufahanmu akupe stress,etc wakati unaweza kwepa na mambo mengine yakaendelea....Wewe mjanja[emoji23][emoji23]
Hatariiii😅😅😅Imagne upo arusha mtu yupo ushirombo anakuharibia siku....eeee
Kabisa mama pasta Better be!!Hapan kabisa
Huwa nazikwepaaa
HahahahHatariiii😅😅😅
Unajua binadamu tumetofautina uvumilivu, hongera kwa hilo. Lakini pia usikubali sana unyonge, binadamu huwa hawaridhikiUjue Kuna wakati unaona why mtu humfahamu hakufahanmu akupe stress,etc wakati unaweza kwepa na mambo mengine yakaendelea....
Ah mi nakupitezea tu Tena ht ukiniquote nikaona namna again ht sisomi kabisa
pole sana... Lbd kuna mtu alionesha dalili za kukuelewa kipindi hicho na wewe ukawa kama humuelewi?Haikiyanani sitanii...
Nilowekaga Uzi very positive.....wakati nasafiri Kwa mara ya kwanza kwenda Nairobi...hotel za kufikia mpakani....na mikoa ya kibiashara....nikasema nikirudi nitashea na Mimi ktika huo....Uzi.
Naitafuta siuoni...
Niliandika hotel nzuri,salama kiiusalama na bei nafuu,nchi jirani ,mpakani na mikoa mbalimbali,,wakauhold sijajua kama Hadi Leo waliurudisha au lah..
Wanatatizo.....ila ukiandika Uzi WA kukulana au comments za kukulana wanazipenda sana.
Mi sijui kwanini aisee...
Hii imeendaSio lazima ...you need to get new information as much as possible than kushare ..
Yaani wewe unatakiwa upate madini kuliko unayoyatoa...
Wenye forum Yao kama hawataki just stay cool...
Mimi siruhusiwi kuanzisha thread miaka Sasa...
Kila nayoweka inafutwa....acha tuendeleee kutaniana kulana tu....
Nilitaka nilete feedback ya safari ya biashara za Nairobi....ila hata niliandika kusalimia tu wanaoita nayo...
Nafikiri hawataki contents muhimu...
Wanataka watu waongelee habari za kulana kulana tu
Ni washenzi sanaWajinga wakubwa, hawaji tena kukaa sawa.
Kilichonikera zaidi ni ile tabia yao ya kwenda pembeni na kuanza kuwaponda na kutukana wanawake wa humu, Ila wakiwa hivi hadharani wanawasifia kweli
Kunielewa kivipi?pole sana... Lbd kuna mtu alionesha dalili za kukuelewa kipindi hicho na wewe ukawa kama humuelewi?
Walikua na kazi ya kuteta pembeni alafu wanakuja kupiga majunguYeahhh hao waliochangia kwa asilimia nyingi zile hekaheka pale! Before palikua pametulia sana amani ilitawala pale!
Mkuu,Wajinga wakubwa, hawaji tena kukaa sawa.
Kilichonikera zaidi ni ile tabia yao ya kwenda pembeni na kuanza kuwaponda na kutukana wanawake wa humu, Ila wakiwa hivi hadharani wanawasifia kweli
Mimi niliifunza....ni ngumu ila ukiweza utaenjoy sana mbele ya watu wapendao kuumiza wenzao....tena especially katika hii platform ya jf ...hatujuani unataka kujipa umuhimu kwenye maisha yangu.....naku ignore tu....chap Kwa haraka maisha mengine yanaendelea..Unajua binadamu tumetofautina uvumilivu, hongera kwa hilo. Lakini pia usikubali sana unyonge, binadamu huwa hawaridhiki
Mm sina muda wa kufatilia ila yananikuta njiani. Unasema nilijuaje?Mkuu,
Wewe ulijuaje kuna watu wanakaa pembeni kupondea wenzao? Seems mnazungukana tu coz kama kweli huna unalofatilia huwezi kujua nani na nani wana interact nje ya hapa.
Uzi umevamiwaMkuu,
Wewe ulijuaje kuna watu wanakaa pembeni kupondea wenzao? Seems mnazungukana tu coz kama kweli huna unalofatilia huwezi kujua nani na nani wana interact nje ya hapa.
Okay,Mm sina muda wa kufatilia ila yananikuta njiani. Unasema nilijuaje?
Hao hakuna mwenye akili, wakishamaliza kuteta huwa wanapeleka umbea kwa mademu.
Mm nina access ya demu mmoja msg zake, hivyo nilikua sikubaliani na nachokiona
Naamini umeelewa