Siku mbaya JF

Kwani huwezi kuyaishi maisha ya jf bila kufungua uzi wako?
Mi kila uzi naona unanihusu.
Kufungua na kuchangia ni yaleyale tu.
 
Hata kulana ni sehemu ya maisha.
Huwezi kuwaingilia wanaokulana na hasa kama wanatongozana kwenye 'private massage' na wakakubaliana[emoji23]
Poleni kwa kupoteza uzi wenu pendwa
 
Mimi nadhani heshima, maadili na kutambua wajibu wetu ni jambo muhimu sana. Binafsi huwa nikiona mtu ametukana humu huwa najisemea huyu hana heshima, maadili na zaidi ya yote hajitambui.

Kama tukitambua kuwa tunao wajibu kwetu wenyewe na kwa wanaotuzunguka, kamwe hatutakubali kuwaharibia hali njema zao watu wengine, zaidi tutajitahidi maisha yao yawe na wepesi tusiwaongezee mzigo wa mawazo, hasira, kukata tamaa na kujiona hawafai wala hawastahili.

Kama hatuwez kuwapa furaha basi tusiwape maumivu watu wengine.
 
Kama hatuwez kuwapa furaha basi tusiwape maumivu watu wengine.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Rais Samia: Tuna ‘crisis’ ya umeme, tunafanya ukarabati wa mashine​


JF saa zingine. Hata ugali na mlenda wangu saa hizi, haupenyi, kisa mvua hazinyeshi na mashine hazirakabitiki(if its a word) Sina Umeme!

Field day ya Wapotoshaji na Wapotoshwaji. Au ndio...

Siku mbaya JF?​

 
JF saa zingine. Hata ugali na mlenda wangu saa hizi, haupenyi, kisa mvua hazinyeshi na mashine hazirakabitiki(if its a word) Sina Umeme![emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan from know where jamaa anaku attack anaanza kukuletea za kuleta yaan,
Niligunduaga kwanini UKIWAONA DITOPILE MZUZURI alimpiga risasi dereva wa daladala Kwa kutumia Bastola yake....

Kwenye somo la MEASUREMENTS AND EVALUATION,
Humo ndani utajifunza sana jinsi ya kufanya maamuzi sahihi na wakati sahihi....

NB,
HATA UWE MSHINDANI VIPI HAUWEZI KUNG'ATA PUA YAKO....
 
huumsemo umeuanzisha nabibiyako nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…