Siku mbaya JF

Watu wa humu wangekuwa wachaw mods wote wangerogwa
lakini mimi nisingewaroga... Watu wamehangaika kubuni na kutengeneza JF sikutoa ata senti 1 katika kufanikisha uwepo wa JF... Acha tu watupeleke wanavyotaka wao... Wana Makosa madogo madogo wajirekebishe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…