Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,177
- 138,454
Nchi imepumua, kufa kufaana
Maza amekuwa askof rashid wa kufufua wafu? Kikosi kazi cha marehemu dikiteta magufuli kilikuwa kikiteka kinaenda kuua kabisa, walishindwa kwa dewji na Roma tu.Ulikuwa unssikia tu hukuwa na ushahidi! Je! Hao waliotekwa wamerudishwa utawala huu? Kuna unayemjua alitekwa na sasa karudi? Au unasikua tu! Usiamini ya kusikia tu. Je! Uliwahi kuona wafu ndani ya viroba mtoni na kuwatambua? Au ulisikia tu! Usitengeneze chuki kwa kusikia tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu usi panic, alishaaga dunia yule na tena hawezi kurudi kamwe. Sasa ni muda wa sekta binafsi kushamiri na kuachana na porojo za siasa ya ujamaa.Wanaomponda Magu mengi yalikuwa majizi humu,Makwepa kodi Mila rushwa,mivivu stupid zenu kabisa
Mkuu,Hayo madawa ya kulevya yaliyorudi kwa kasi umeyaona wapi wewe?
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
mkuu wew ndio punguani eti uhuru wa vyombo vya habari ndio inataka wakati kijijini kwenu bibi yako ana share maji na wanyamaSiwezi kujibizana na punguani.
Unalinda legacy sio?"Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.
Swali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?
Mbona madawa ya kulevya mitaani yanarudi kwa kasi sana na siku za karibuni kuna mzigo mkubwa ulikuwa unaingizwa nchini?
Maoni ya wadau
[emoji117] Sio IGP bali aliyekuwa nyuma ya IGP alikuwa ni Moto usiosogeleka! Tunashukuru kuwa mmeanza kuona tofauti ndani ya kipindi hiki kifupi.Jiwe was real hard mpaka majambazi walipiga saluti.
[emoji117]Haki nobody like JPM. Alikuwa one man show.Nguvu kubwa isiyoonekana nyuma yake ilinyamazisha kelele na fujo za kila mtu na kila kitu.Alitamka na kila mwenye akili timamu alimwelewa waovu walitulia,Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.Sasa vyote vinarudi kwa kasi ya 5G.Mungu baba ahsante kwa maisha ya Magufuli kabla yake tulikuomba kwa pamoja utupe rais wa aina yake ukatupa,ukatuonjesha tu atufungue macho na tuone tofauti ya uongozi na uongozi.Umemhitaji ukamchukua.Wewe ni Mungu.Ushukuriwe milele.
Je,Unadhani kwanini imekuwa mapema mno utofauti wa juhudi za hayati JPM na uongozi uliopo kuonekana miongoni mwa watanzania?
Nadhani Uhuru hakupaswa kumshika hivi huyu Mama, ni Rais huyu sio wanawake wa mitaani, na bahati nzuri mumewe hakuwepo.
Asante mkuu nilitaka kuonngezea tu. Sio Coronavirus na majambazi peke yao walimhofia JPM bali hata mabeberu nje ya mipaka yetu akisema kitu mikia yao ilikuwa inaufyata."Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.
Swali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?
Mbona madawa ya kulevya mitaani yanarudi kwa kasi sana na siku za karibuni kuna mzigo mkubwa ulikuwa unaingizwa nchini?
Maoni ya wadau
[emoji117] Sio IGP bali aliyekuwa nyuma ya IGP alikuwa ni Moto usiosogeleka! Tunashukuru kuwa mmeanza kuona tofauti ndani ya kipindi hiki kifupi.Jiwe was real hard mpaka majambazi walipiga saluti.
[emoji117]Haki nobody like JPM. Alikuwa one man show.Nguvu kubwa isiyoonekana nyuma yake ilinyamazisha kelele na fujo za kila mtu na kila kitu.Alitamka na kila mwenye akili timamu alimwelewa waovu walitulia,Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.Sasa vyote vinarudi kwa kasi ya 5G.Mungu baba ahsante kwa maisha ya Magufuli kabla yake tulikuomba kwa pamoja utupe rais wa aina yake ukatupa,ukatuonjesha tu atufungue macho na tuone tofauti ya uongozi na uongozi.Umemhitaji ukamchukua.Wewe ni Mungu.Ushukuriwe milele.
Je,Unadhani kwanini imekuwa mapema mno utofauti wa juhudi za hayati JPM na uongozi uliopo kuonekana miongoni mwa watanzania?
Coronavirus imemuhofia vipi Magufuri,wakati ndiyo iliyomuondoa?,nyie viumbe wa ajabu sana aisee.Asante mkuu nilitaka kuonngezea tu. Sio Coronavirus na majambazi peke yao walimhofia JPM bali hata mabeberu nje ya mipaka yetu akisema kitu mikia yao ilikuwa inaufyata.
Jamaa alizungunza kiswahili na kila mtu alitaka kujua kasema nini. Simba akinguruma. Lile jamaa Chato lilikuwa simba mwitu. Watatu wa sample yake Afrika ingekuwa bara jingine.
chadema hawatakiYani kuna namna kumepwaya,, nilitamani mama awe mtu wa vitendo zaidi na mkali zaidi, asiwaone watendaji huruma mtu hawezi kazi ni kupangua tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe Magufuli alikuwa tajiri? Atokee mtoto wake mmoja awe na moyo kama wake wa kugawa hela za familia kwa maskini na wahtaji maana marehemu kaondoka ghafla na hela ameacha nyingi.ANGEKUWA MAGUFURI: Safari ya kuelekea Dar kuongea na wazee angeenda kwa kutumia usafiri wa gari ilimradi apite njiani aone wananchi wake na azungumze nao kabla ya kufika dar. Kuna watu au taasisi wangetatuliwa matatizo yao papo kwa papo, kuna watu au taasisi angewapatia pesa kwa ajili ya shughuli za kimaendeleo.
PIA, angekuwa anarudi DODOMA angepita barabarani kuona kama kuna wananchi wapo njiani kumsubiria awasalimu na angesimama kuwasalimu. NAMKUMBUKA SANA HUYU MZEE
Kama aliturudisha nyuma, kwanini leo mnalalamika vitendo vya ubadhilifu, ujambazi na uzembe kazini vinarejea? Vitendo hivi ni maendeleo?Jiwe aliturejesha nyuma sana,nikiona mtu ana msifu nabaki kushangaa na kusikitika.
Chini ya uongozi wa jiwe.
Mosi,Uhuru wa habari ulisiginwa katika kiwango ambacho hakijawahi kutokea.
Pili,Kikosi cha wasiojulikana kiliundwa rasmi na kazi yake kubwa ilikuwa kutesa,kuua,kupoteza na nk.
Tatu,Manunuzi ya wanasiasa kwa jina la kuunga mkono juhudi ziliratibiwa na kuhasisiwa na serekali yake.
Nne,Aliasisi tabia mbaya ya kupendelea Wilaya yake ya Chato.Katika kipindi chake tulishuhudia mambo yaliyofanana na kutendwa na aliyekuwa Rais wa Zaire Mobutu Sese Seko Kuku wazabanga.Hii ni aibu na doa kubwa kwa JMT.
Mwisho Mwendazake aliasisi siasa za visasi na upendeleo.Kibaya zaidi ailisigina katiba aliyoapa kuilinda.
Kutamani kwa namna yoyote taifa letu kurejea katika zama za Jiwe ni kuonyesha dhahiri kwamba wewe akili zako hazipo sawa sawa na unastahili matibabu ya afya ya akili katika Hospital yetu maarufu ya Mirembe.
Mama mpaka 2030. Namwombea Mungu ampe Maisha marefu...Ninapomuona mtu anamponda Jiwe ninabaki namshangaa na kumuona hana akili kabisa.
Mosi,Huo uhuru wa habari ndio ulikuwa kipaumbele kwa watanzania? Upuuzi mtupu! Watu wanakufa huko vijijini kwa kukosa huduma bora za afya na umasikini alafu kuna mtanzania mmoja mpuuzi analeta fyokofyoko zake.
Pili,Hakuna kikosi kazi kilichoundwa na Magufuli zaidi ya uchafuzi na propaganda za kisiasa, Na hata kama kingekuwepo watanzania waliona ni sawa kwa kuwa baadhi ya watu walijiona ni muhimu kuliko maisha ya watanzania wengine hususan wale masikini waliopo vijijini kwa kuendekeza siasa zisizo na tija!
Tatu, Tanzania ni nchi masikini.Nyerere alisema maadui wa taifa ni ujinga,umasikini na maradhi ninyi wanasiasa mnaendekeza upuuzi mwingine kutuondoa watanzania katika focus! Nenda vijijini watanzania wanafurahia huduma bora za afya,elimu bure maji kila kona! Kama alikuwa muuaji basi alikuwa muuaji mzuri!
Nne, Chato ipo nje ya Tanzania?
Mwisho Mwendazake alikuwa mwiba kwa wanasiasa uchwara walioendekeza siasa za midomoni na kutafuta ulaji kwa jina la siasa.Ni heri hata kama aliwapiga risasi baadhi yao ili kuokoa maelfu ya wanawake waliokuwa wanafia njiani kuelekea hospitali kujifungua kutokana na ubovu wa miundombinu! Ujenzi wa SGR,Flyovers,barabara,madaraja,ndege...n.k zote ni kwa ajili ya watanzania!
Ahsante Baba!
simba au nyau tu ?Asante mkuu nilitaka kuonngezea tu. Sio Coronavirus na majambazi peke yao walimhofia JPM bali hata mabeberu nje ya mipaka yetu akisema kitu mikia yao ilikuwa inaufyata.
Jamaa alizungunza kiswahili na kila mtu alitaka kujua kasema nini. Simba akinguruma. Lile jamaa Chato lilikuwa simba mwitu. Watatu wa sample yake Afrika ingekuwa bara jingine.
Nchi imekuwa Tamu kama ASALI"Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.