Furaha imeongezeka maradufu" tangu aondoke.Mengine tutarekebishana tu."Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.
Swali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?
Mbona madawa ya kulevya mitaani yanarudi kwa kasi sana na siku za karibuni kuna mzigo mkubwa ulikuwa unaingizwa nchini?
Maoni ya wadau
Sio IGP bali aliyekuwa nyuma ya IGP alikuwa ni Moto usiosogeleka! Tunashukuru kuwa mmeanza kuona tofauti ndani ya kipindi hiki kifupi.Jiwe was real hard mpaka majambazi walipiga saluti.
Haki nobody like JPM. Alikuwa one man show.Nguvu kubwa isiyoonekana nyuma yake ilinyamazisha kelele na fujo za kila mtu na kila kitu.Alitamka na kila mwenye akili timamu alimwelewa waovu walitulia,Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.Sasa vyote vinarudi kwa kasi ya 5G.Mungu baba ahsante kwa maisha ya Magufuli kabla yake tulikuomba kwa pamoja utupe rais wa aina yake ukatupa,ukatuonjesha tu atufungue macho na tuone tofauti ya uongozi na uongozi.Umemhitaji ukamchukua.Wewe ni Mungu.Ushukuriwe milele.
Je,Unadhani kwanini imekuwa mapema mno utofauti wa juhudi za hayati JPM na uongozi uliopo kuonekana miongoni mwa watanzania?
Acha kumuabudu binadamu Mungu ni mmoja tu na wala hana mshirika."Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.
Swali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?
Mbona madawa ya kulevya mitaani yanarudi kwa kasi sana na siku za karibuni kuna mzigo mkubwa ulikuwa unaingizwa nchini?
Maoni ya wadau
Sio IGP bali aliyekuwa nyuma ya IGP alikuwa ni Moto usiosogeleka! Tunashukuru kuwa mmeanza kuona tofauti ndani ya kipindi hiki kifupi.Jiwe was real hard mpaka majambazi walipiga saluti.
Haki nobody like JPM. Alikuwa one man show.Nguvu kubwa isiyoonekana nyuma yake ilinyamazisha kelele na fujo za kila mtu na kila kitu.Alitamka na kila mwenye akili timamu alimwelewa waovu walitulia,Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.Sasa vyote vinarudi kwa kasi ya 5G.Mungu baba ahsante kwa maisha ya Magufuli kabla yake tulikuomba kwa pamoja utupe rais wa aina yake ukatupa,ukatuonjesha tu atufungue macho na tuone tofauti ya uongozi na uongozi.Umemhitaji ukamchukua.Wewe ni Mungu.Ushukuriwe milele.
Je,Unadhani kwanini imekuwa mapema mno utofauti wa juhudi za hayati JPM na uongozi uliopo kuonekana miongoni mwa watanzania?
Mama hawezi kufanya kazi kama kichaa maamuzi ya kibangi bangi awamu yake ilishapita.ukifanya hivyo hautotenda Haki. Inahitajika busara na hekima ya hali ya juu hasa unapokuwa kiongozi wa ngazi ya juu kama Rais wa nchi.Yani kuna namna kumepwaya,, nilitamani mama awe mtu wa vitendo zaidi na mkali zaidi, asiwaone watendaji huruma mtu hawezi kazi ni kupangua tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umevunjiwa nyumba mzee.Ujambazii umeongezekaa
Hii ndio aina ya Watanzania wengi tulio nao.ANGEKUWA MAGUFURI: Safari ya kuelekea Dar kuongea na wazee angeenda kwa kutumia usafiri wa gari ilimradi apite njiani aone wananchi wake na azungumze nao kabla ya kufika dar. Kuna watu au taasisi wangetatuliwa matatizo yao papo kwa papo, kuna watu au taasisi angewapatia pesa kwa ajili ya shughuli za kimaendeleo.
PIA, angekuwa anarudi DODOMA angepita barabarani kuona kama kuna wananchi wapo njiani kumsubiria awasalimu na angesimama kuwasalimu. NAMKUMBUKA SANA HUYU MZEE
Acha unafiki wewe January na February hapa si mlikuwa mnalalamiko umeme mpaka Mkurugenzi wa Tanesco akatoa ufafanuzi kuwa kuna marekebisho yanafanyika nchi nzima. Watanzania watu wanafiki sana. Kipindi hicho magufuli alikuwa amekufa?Kwetu huku umeme unakatika kila wakati kama awamu ya nne, kipindi cha magu umeme ulikuwa haukatiki hovyohovyo,siku hizi kwa siku moja umeme unakatika mara nne..magu sijui alikuwa anawafanyaje hawa tanesco,na sijui kwa nini siku hizi wanashindwa,mbona walikuwa wanaweza kipindi cha magu?
Una matatizo kichwani, utakuwa una ndugu yako alipata uteule. Kama si hivyo nawe ni moja ya wafaidika wa mfumo dhalimuNinapomuona mtu anamponda Jiwe ninabaki namshangaa na kumuona hana akili kabisa.
Mosi,Huo uhuru wa habari ndio ulikuwa kipaumbele kwa watanzania? Upuuzi mtupu! Watu wanakufa huko vijijini kwa kukosa huduma bora za afya na umasikini alafu kuna mtanzania mmoja mpuuzi analeta fyokofyoko zake.
Pili,Hakuna kikosi kazi kilichoundwa na Magufuli zaidi ya uchafuzi na propaganda za kisiasa, Na hata kama kingekuwepo watanzania waliona ni sawa kwa kuwa baadhi ya watu walijiona ni muhimu kuliko maisha ya watanzania wengine hususan wale masikini waliopo vijijini kwa kuendekeza siasa zisizo na tija!
Tatu, Tanzania ni nchi masikini.Nyerere alisema maadui wa taifa ni ujinga,umasikini na maradhi ninyi wanasiasa mnaendekeza upuuzi mwingine kutuondoa watanzania katika focus! Nenda vijijini watanzania wanafurahia huduma bora za afya,elimu bure maji kila kona! Kama alikuwa muuaji basi alikuwa muuaji mzuri!
Nne, Chato ipo nje ya Tanzania?
Mwisho Mwendazake alikuwa mwiba kwa wanasiasa uchwara walioendekeza siasa za midomoni na kutafuta ulaji kwa jina la siasa.Ni heri hata kama aliwapiga risasi baadhi yao ili kuokoa maelfu ya wanawake waliokuwa wanafia njiani kuelekea hospitali kujifungua kutokana na ubovu wa miundombinu! Ujenzi wa SGR,Flyovers,barabara,madaraja,ndege...n.k zote ni kwa ajili ya watanzania!
Ahsante Baba!
Utavisikia wapi wakati magazeti,tv na redio vilikuwa mkononi mwakeVipi matukio ya wagonjwa waliokuwa wanakufa hospital kwa kukosa huduma bora za afya ulikuwa unazisikia? Au wajawazito waliofia njiani kwa ubovu wa miundombinu nao uliwasikia? Au kwakuwa hawakuwa na umaarufu nao sio watu?
Kwa taarifa yako sio kwamba hayo matukio ya ujambazi hayakuwepo enzi za mwendazake, ila ilikuwa ni marufuku kwa chombo chochote cha habari au jeshi la polisi kutoa habari zozote zinazohusiana na ujambazi hasa hasa pale ambapo majambazi yatafanikiwa kutekeleza adhma yao. Ndio maana taarifa nyingi za polisi kupambana na ujambazi zilikuwa zinafanana, zote zilikuwa za kulifanya jeshi la polisi lionekane limefanikiwa kudhibiti ujambaziSwali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?
Busara hazikuzi uchumiMama hawezi kufanya kazi kama kichaa maamuzi ya kibangi bangi awamu yake ilishapita.ukifanya hivyo hautotenda Haki. Inahitajika busara na hekima ya hali ya juu hasa unapokuwa kiongozi wa ngazi ya juu kama Rais wa nchi.
Mambo ya Kijinga.Keishasahaulika wakati Mama Leo anasema wizi umerudi kwa kasi Dar? Kwanini umerudi kwa kasi?
Yaan hata miezi miwili hajamaliza tayar mmeshamhukumu na kuona mwendazake ndo bora kuliko wengine? Hebu tulia na utumie akili kisawaswa, Rais anatambua kila kitu na yote yatafanyiwa kaz. Mnaodhani mtu mmoja ni bora kuliko wengine hamna akili kbs. Na bado mtanyooka maan tawala imebadilika sasa 🤣🤣 Praise and worship for human being marufuku!!!!"Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.
Swali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?
Mbona madawa ya kulevya mitaani yanarudi kwa kasi sana na siku za karibuni kuna mzigo mkubwa ulikuwa unaingizwa nchini?
Maoni ya wadau
Sio IGP bali aliyekuwa nyuma ya IGP alikuwa ni Moto usiosogeleka! Tunashukuru kuwa mmeanza kuona tofauti ndani ya kipindi hiki kifupi.Jiwe was real hard mpaka majambazi walipiga saluti.
Haki nobody like JPM. Alikuwa one man show.Nguvu kubwa isiyoonekana nyuma yake ilinyamazisha kelele na fujo za kila mtu na kila kitu.Alitamka na kila mwenye akili timamu alimwelewa waovu walitulia,Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.Sasa vyote vinarudi kwa kasi ya 5G.Mungu baba ahsante kwa maisha ya Magufuli kabla yake tulikuomba kwa pamoja utupe rais wa aina yake ukatupa,ukatuonjesha tu atufungue macho na tuone tofauti ya uongozi na uongozi.Umemhitaji ukamchukua.Wewe ni Mungu.Ushukuriwe milele.
Je,Unadhani kwanini imekuwa mapema mno utofauti wa juhudi za hayati JPM na uongozi uliopo kuonekana miongoni mwa watanzania?
Bora hata ungesema siku 52 Tanzania bila uwepo MUNGU aliezifanya mbingu na nchi tungelia na kusaga meno maan kwa yeye Tanzania inasonga mbele, anailinda nchi yetu na kutupa tunu ya amani na upendo."Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.
Swali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?
Mbona madawa ya kulevya mitaani yanarudi kwa kasi sana na siku za karibuni kuna mzigo mkubwa ulikuwa unaingizwa nchini?
Maoni ya wadau
Sio IGP bali aliyekuwa nyuma ya IGP alikuwa ni Moto usiosogeleka! Tunashukuru kuwa mmeanza kuona tofauti ndani ya kipindi hiki kifupi.Jiwe was real hard mpaka majambazi walipiga saluti.
Haki nobody like JPM. Alikuwa one man show.Nguvu kubwa isiyoonekana nyuma yake ilinyamazisha kelele na fujo za kila mtu na kila kitu.Alitamka na kila mwenye akili timamu alimwelewa waovu walitulia,Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.Sasa vyote vinarudi kwa kasi ya 5G.Mungu baba ahsante kwa maisha ya Magufuli kabla yake tulikuomba kwa pamoja utupe rais wa aina yake ukatupa,ukatuonjesha tu atufungue macho na tuone tofauti ya uongozi na uongozi.Umemhitaji ukamchukua.Wewe ni Mungu.Ushukuriwe milele.
Je,Unadhani kwanini imekuwa mapema mno utofauti wa juhudi za hayati JPM na uongozi uliopo kuonekana miongoni mwa watanzania?
Wewe ni MPUMBAVUDah kweli nime amini nabii akubaliki kwao
Wote wanao mpinga jpm jaribuni kuhuliza inch zingine za afrika muone jinsi gani jpm alivyo kuwa na kubalika and I think miaka ya mbeleni TZ ingelikuwa super power in Africa
Maana jamaa alikubakika saana ok any way si shangai maana mtu awezi pendwa na watu wote
Ila kiukweli vile alivyo kuwa jpm ndivyo kiongozi anatakiwa awe
Na kuhusu vitendo vya utekaji na ku kill watu wanao mkosoa na kupingana na sheria zake ukweli na mpongeza
Ata kipindi cha zamani ata Mungu alikuwa ivo ukikosa ku respect sheria zake anakuchoma na moto ili upotelee mbali
But na fikiri in our country DRC tungeli mpata kama jpm dah ukweli light tungeli ona
Maana angeli tunyohosha na Nina fikiri ata Belgium wasingeli tuchukulia wanyonge tena
Kile walicho na tegemea kukipa dah jamaa angeli wa bana sawa sawa na tungeli faidika saana
Na ukileta za kuleta ana tuma kundi lake la watekaji wana enda kukuteka na maisha yana kwenda maana afrika bila kufanyiwa ivo ujinga atuwezi kuacha ujinga TZ kila mtu alieshimu mwenzake na kueshimu kazi ya mwenzake ukileta za kuleta una kula out na ukiguna una potelea mbali kuepusha matatizo
@elitwege sasa amekuwa Mpinzani wa serikali ya CCM.Ni wizi kila konaView attachment 1777314View attachment 1777315