Siku 52: Tanzania bila Magufuli

Siku 52: Tanzania bila Magufuli

"Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.

Swali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?

Mbona madawa ya kulevya mitaani yanarudi kwa kasi sana na siku za karibuni kuna mzigo mkubwa ulikuwa unaingizwa nchini?

Maoni ya wadau
Sio IGP bali aliyekuwa nyuma ya IGP alikuwa ni Moto usiosogeleka! Tunashukuru kuwa mmeanza kuona tofauti ndani ya kipindi hiki kifupi.Jiwe was real hard mpaka majambazi walipiga saluti.

Haki nobody like JPM. Alikuwa one man show.Nguvu kubwa isiyoonekana nyuma yake ilinyamazisha kelele na fujo za kila mtu na kila kitu.Alitamka na kila mwenye akili timamu alimwelewa waovu walitulia,Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.Sasa vyote vinarudi kwa kasi ya 5G.Mungu baba ahsante kwa maisha ya Magufuli kabla yake tulikuomba kwa pamoja utupe rais wa aina yake ukatupa,ukatuonjesha tu atufungue macho na tuone tofauti ya uongozi na uongozi.Umemhitaji ukamchukua.Wewe ni Mungu.Ushukuriwe milele.

Je,Unadhani kwanini imekuwa mapema mno utofauti wa juhudi za hayati JPM na uongozi uliopo kuonekana miongoni mwa watanzania?
Hayo makundi yaliasisiwa na mwendazake. Watu wasiojulikana ndio hao hao wanarudi kwa style hii maana mungu wao keshawaacha. Lakini kwasababu mama haamini katika kumwaga damu za raia wake na kuwapoteza watu kama inavyoweza kupotea sindano ya kushonea nguo, wasujudia mwendazake wanataka kumtikisa mama. Hamtaweza.
 
makufuli hata hotuba zake utapenda uzisikie zina raha yake maana huwa hana mafumbo ni hapo kwa hapo. sio kama mama muimba taarabu maneno matamu mafumbo mengi utendaji hakuna
 
Kwa taarifa yako sio kwamba hayo matukio ya ujambazi hayakuwepo enzi za mwendazake, ila ilikuwa ni marufuku kwa chombo chochote cha habari au jeshi la polisi kutoa habari zozote zinazohusiana na ujambazi hasa hasa pale ambapo majambazi yatafanikiwa kutekeleza adhma yao. Ndio maana taarifa nyingi za polisi kupambana na ujambazi zilikuwa zinafanana, zote zilikuwa za kulifanya jeshi la polisi lionekane limefanikiwa kudhibiti ujambazi

wewe huna akili majambazi wakiteka magari utajua tu hata polisi wakificha majambazi yakivamia sehemu utajua tu maana wananchi si wanaona hata polisi wakificha sio kweli wakati wa makufuli ujambazi uliisha kabisa
 
mama mrudishe lugola kuwa waziri wa mambo ya ndani huyo ndie anaiweza
 
wewe huna akili majambazi wakiteka magari utajua tu hata polisi wakificha majambazi yakivamia sehemu utajua tu maana wananchi si wanaona hata polisi wakificha sio kweli wakati wa makufuli ujambazi uliisha kabisa
Umeambiwa matukio hayo yalikuwepo isipokuwa upashanaji habari ndio changamoto. Wewe kama akili unazo, unatoaje hizo taarifa hadi watu wengine wasiokuwepo hapo wasikie? Huna akili kabisa.
 
"Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.

Swali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?

Mbona madawa ya kulevya mitaani yanarudi kwa kasi sana na siku za karibuni kuna mzigo mkubwa ulikuwa unaingizwa nchini?

Maoni ya wadau
Sio IGP bali aliyekuwa nyuma ya IGP alikuwa ni Moto usiosogeleka! Tunashukuru kuwa mmeanza kuona tofauti ndani ya kipindi hiki kifupi.Jiwe was real hard mpaka majambazi walipiga saluti.

Haki nobody like JPM. Alikuwa one man show.Nguvu kubwa isiyoonekana nyuma yake ilinyamazisha kelele na fujo za kila mtu na kila kitu.Alitamka na kila mwenye akili timamu alimwelewa waovu walitulia,Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.Sasa vyote vinarudi kwa kasi ya 5G.Mungu baba ahsante kwa maisha ya Magufuli kabla yake tulikuomba kwa pamoja utupe rais wa aina yake ukatupa,ukatuonjesha tu atufungue macho na tuone tofauti ya uongozi na uongozi.Umemhitaji ukamchukua.Wewe ni Mungu.Ushukuriwe milele.

Je,Unadhani kwanini imekuwa mapema mno utofauti wa juhudi za hayati JPM na uongozi uliopo kuonekana miongoni mwa watanzania?
Hakuna mtu aliyekuwa mpumbavu Kama yule mzee unayemsifia.
He was a Satan.
 
Huu ukurasa wa hayati haujafungwa tu, bungeni nako wanaambizana kila siku tumuachie mheshimiwa rais Samia Suluhu afanye kazi yake.
Kila zama na kitabu chake, kitabu cha mwendazake kimefungwa. Tuangalie vitabu vingine sasa.
Hatuwezi kuangalia Vitabu vingine ambavyo ni VIBOVU.
 
Sasa vitabu vibovu wapi, wanachama wenzake huko bungeni wameshachoka na hiyo mijadala.Ndo maana wanataka huo ukurasa ufungwe.

Maana nafsi zinawasuta sasa, kuona yalikuwa mapambio ya kinafiki tu.
Sasa wanataka kuishi maisha halisi, mwenyewe shuhuda kwa kinachoendelea kwa viongozi mbalimbali.
 
"Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.

Swali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?

Mbona madawa ya kulevya mitaani yanarudi kwa kasi sana na siku za karibuni kuna mzigo mkubwa ulikuwa unaingizwa nchini?

Maoni ya wadau
Sio IGP bali aliyekuwa nyuma ya IGP alikuwa ni Moto usiosogeleka! Tunashukuru kuwa mmeanza kuona tofauti ndani ya kipindi hiki kifupi.Jiwe was real hard mpaka majambazi walipiga saluti.

Haki nobody like JPM. Alikuwa one man show.Nguvu kubwa isiyoonekana nyuma yake ilinyamazisha kelele na fujo za kila mtu na kila kitu.Alitamka na kila mwenye akili timamu alimwelewa waovu walitulia,Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.Sasa vyote vinarudi kwa kasi ya 5G.Mungu baba ahsante kwa maisha ya Magufuli kabla yake tulikuomba kwa pamoja utupe rais wa aina yake ukatupa,ukatuonjesha tu atufungue macho na tuone tofauti ya uongozi na uongozi.Umemhitaji ukamchukua.Wewe ni Mungu.Ushukuriwe milele.

Je,Unadhani kwanini imekuwa mapema mno utofauti wa juhudi za hayati JPM na uongozi uliopo kuonekana miongoni mwa watanzania?Hamna kama Magufuli aise! Huo ulikuwa moto mwingine untouchable
 
.
IMG-20210508-WA0014.jpg
 
"Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.

Swali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?

Mbona madawa ya kulevya mitaani yanarudi kwa kasi sana na siku za karibuni kuna mzigo mkubwa ulikuwa unaingizwa nchini?

Maoni ya wadau
Sio IGP bali aliyekuwa nyuma ya IGP alikuwa ni Moto usiosogeleka! Tunashukuru kuwa mmeanza kuona tofauti ndani ya kipindi hiki kifupi.Jiwe was real hard mpaka majambazi walipiga saluti.

Haki nobody like JPM. Alikuwa one man show.Nguvu kubwa isiyoonekana nyuma yake ilinyamazisha kelele na fujo za kila mtu na kila kitu.Alitamka na kila mwenye akili timamu alimwelewa waovu walitulia,Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.Sasa vyote vinarudi kwa kasi ya 5G.Mungu baba ahsante kwa maisha ya Magufuli kabla yake tulikuomba kwa pamoja utupe rais wa aina yake ukatupa,ukatuonjesha tu atufungue macho na tuone tofauti ya uongozi na uongozi.Umemhitaji ukamchukua.Wewe ni Mungu.Ushukuriwe milele.

Je,Unadhani kwanini imekuwa mapema mno utofauti wa juhudi za hayati JPM na uongozi uliopo kuonekana miongoni mwa watanzania?
Nchi ina furaha
 
K

Hivi, ni kitu gani kimewekwa wazi sasa awamu hii? Twambie na sisi tuone, au jaribu kulinganisha tuelewe. Usidhanie tu, kipi kikowazi na wakati wa Magufuli hakikuwa?
Mfano mdogo ni ripoti ya CAG kuhusu hasara ya ATCL wakati kipindi cha mwendazake tuliambiwa kila mwaka inaingiza faida
 
Back
Top Bottom