Siku 52: Tanzania bila Magufuli

Siku 52: Tanzania bila Magufuli

Angekuwa anakula mahindi ya kuchoma barabarani sio too late to talk about it. Ya nini ujioverwork? No wonder alijikuta anazidiwa, ofisi Ile ni ngumu sana hulali wakati mwingine. Sasa ya nini kuzurura mabarabarani kila siku kama dereva wa malori.
kama alizidiwa mpaka kufa kwa ajiri yetu sisi tunamshukuru sana,nyinyi panyabuku jema kwenu ni mama kutoa zawadi ya birthday na ka nyinyine laini laini.
 
"Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.

Swali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?

Mbona madawa ya kulevya mitaani yanarudi kwa kasi sana na siku za karibuni kuna mzigo mkubwa ulikuwa unaingizwa nchini?

Maoni ya wadau
Sio IGP bali aliyekuwa nyuma ya IGP alikuwa ni Moto usiosogeleka! Tunashukuru kuwa mmeanza kuona tofauti ndani ya kipindi hiki kifupi.Jiwe was real hard mpaka majambazi walipiga saluti.

Haki nobody like JPM. Alikuwa one man show.Nguvu kubwa isiyoonekana nyuma yake ilinyamazisha kelele na fujo za kila mtu na kila kitu.Alitamka na kila mwenye akili timamu alimwelewa waovu walitulia,Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.Sasa vyote vinarudi kwa kasi ya 5G.Mungu baba ahsante kwa maisha ya Magufuli kabla yake tulikuomba kwa pamoja utupe rais wa aina yake ukatupa,ukatuonjesha tu atufungue macho na tuone tofauti ya uongozi na uongozi.Umemhitaji ukamchukua.Wewe ni Mungu.Ushukuriwe milele.

Je,Unadhani kwanini imekuwa mapema mno utofauti wa juhudi za hayati JPM na uongozi uliopo kuonekana miongoni mwa watanzania?
Madawa umeyaona wapi
 
ANGEKUWA MAGUFURI: Safari ya kuelekea Dar kuongea na wazee angeenda kwa kutumia usafiri wa gari ilimradi apite njiani aone wananchi wake na azungumze nao kabla ya kufika dar. Kuna watu au taasisi wangetatuliwa matatizo yao papo kwa papo, kuna watu au taasisi angewapatia pesa kwa ajili ya shughuli za kimaendeleo.
PIA, angekuwa anarudi DODOMA angepita barabarani kuona kama kuna wananchi wapo njiani kumsubiria awasalimu na angesimama kuwasalimu. NAMKUMBUKA SANA HUYU MZEE
Sasa ulitaka apande ndege ili adedi? Msitake kumfanya mwendazake alikuwa mjinga namna hiyo....

We unadhani ni kila Rais anaweza kuokota vichwa vya treni bandarini? Tena haijulikani kaviagiza nani japo vina nembo ya TRL?

Uzalendo wa kweli ni Rais kula mahindi barabarani... hapo Samia kafeli
 
"Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.

Swali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?

Mbona madawa ya kulevya mitaani yanarudi kwa kasi sana na siku za karibuni kuna mzigo mkubwa ulikuwa unaingizwa nchini?

Maoni ya wadau
Sio IGP bali aliyekuwa nyuma ya IGP alikuwa ni Moto usiosogeleka! Tunashukuru kuwa mmeanza kuona tofauti ndani ya kipindi hiki kifupi.Jiwe was real hard mpaka majambazi walipiga saluti.

Haki nobody like JPM. Alikuwa one man show.Nguvu kubwa isiyoonekana nyuma yake ilinyamazisha kelele na fujo za kila mtu na kila kitu.Alitamka na kila mwenye akili timamu alimwelewa waovu walitulia,Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.Sasa vyote vinarudi kwa kasi ya 5G.Mungu baba ahsante kwa maisha ya Magufuli kabla yake tulikuomba kwa pamoja utupe rais wa aina yake ukatupa,ukatuonjesha tu atufungue macho na tuone tofauti ya uongozi na uongozi.Umemhitaji ukamchukua.Wewe ni Mungu.Ushukuriwe milele.

Je,Unadhani kwanini imekuwa mapema mno utofauti wa juhudi za hayati JPM na uongozi uliopo kuonekana miongoni mwa watanzania?
Ikianza kumfananisha mama na mwehu yule nakusikitikia,maujinga yake yamemuondoa, kama wewe unavuta ungaro unaona umeenda kasi si unautafuta
 
Ikianza kumfananisha mama na mwehu yule nakusikitikia,maujinga yake yamemuondoa, kama wewe unavuta ungaro unaona umeenda kasi si unautafuta
ungekuwa na hasira hii kwenye maisha yako,saa hii usingekuwa masikini wa akili kiasi hicho.

wewe ili kujua kuna unga mtaani mpaka uukute kwenye kitanda chako!!!!
 
ungekuwa na hasira hii kwenye maisha yako,saa hii usingekuwa masikini wa akili kiasi hicho.

wewe ili kujua kuna unga mtaani mpaka uukute kwenye kitanda chako!!!!
Unajuaje kama mimi maskini 🤣🤣🤣
Tukio moja la wizi kelele nyingi ungaunga unauona wewe mmezoea propaganda hii ndiyo awamu ya 6 utake usitake safari inaendelea,
 
SUKUMA GANG: MHIMILI WA SHETANI ULIOPAGAWA

Na Bollen Ngetti

UKITALII mitandaoni hutoacha kukutana na maneno "Sukuma Gang". Hata katika mijadala isiyo rasmi vijiweni, daladalani, kwenye mabaa na migahawa utakutana na Sukuma Gang. Mtu makini anaweza kujiuliza au kuwauliza wengine, hiki kinachoitwa Sukuma Gang ni nini? Kina dhamira gani? Nani muasisi wake? Nini visheni na matakwa yake? Maswali ni mengi.

Kutokana na taaluma yangu, niliamua ku-dig up kufanya uchunguzi wa kina ili kuja na majibu ya maswali hayo hapo juu.

Ukweli mchungu uliokodoa macho ni kwamba hili ni genge la watu wachache ambao waliimba nyimbo za sifa na kuabudu (praise & worship team) kwa Mpita Njia ambaye utawala wake tumeipa kisogo. Ni watu wachache waliobahatika kuuzunguka meza ndefu ya kula ndani ya Kasri la Mpita Njia.

Neno "Sukuma" limejitokeza sana kwa kuwa Mpita Njia alitoka Usukumani lakini kwa hakika Mhimili huu wa shetani (devil axis) ulisomba wengi hata wasio na nasaba na Usukuma. Genge hili lililoshangilia utawala wa kifashisti lilijipenyeza Bungeni, Makanisani, Misikitini, Vyama vya Siasa, ndani ya Majeshi yetu, taasisi za Umma, vyombo vya Habari nakadhalika.

Wakati Mpita Njia akifanya sanaa ya kula mahindi barabarani wao walikunywa wine na nyama choma wakiendelea kusifu na kuabudu ushetani uliokuwa ukijitanua.

Genge hili linaongozwa na kijana mmoja alikuwa hapo Hazina na vijana 12 likifadhiliwa na Mawaziri wawili walioko madarakani katika uongozi wa SSH. Ni binadamu lakini ambao hawakuamini kuwa Mpita Njia kama binadamu anaweza kutoweka juu ya uso wa dunia na kusahaulika kama sasa.

Ni Watanzania wenzetu lakini waliokuwa wameloa uhondo wa ufedhuli wakila na kusaza tena bila hata kunawa mikono huku wakisifu na kuabudu, "nani kama Mpita Njia?"

Kwa sasa hii "devil axis" limepagawa lisiamini macho na masikio yao kama kweli Mpita Njia hatunaye! Wanaweweseka, wanawayawaya kama machela, homa ya SSH inawagonga vichwa hawaoni dawa maana watamsifu na kumwabudu nani? Aliyeko madarakani hataki sifa na ibada za kishirikina. Amenyooka kama chuma cha reli. Iron Lady!

Yapo mambo yanayowapagawisha Wana Sukuma Gang ndio maana huko mitandaoni wameanza kupiga ramli za kichawi mara "ooh mama nchi itamshinda, ooh anachukua ushauri wa JK" nakadhalika. Al-mradi tu ushirikina wao upate kuungwa mkono na wajinga wachache! Jambo ambalo wameshindwa hata kabla jua kukomaa!

Genge hili haliamini kweli sasa hakuna kuteka, kutesa, kupoteza au kushambulia watu kwa silaha za kivita hadharani?! Wanaumia. Haliamini miili ya watu kutookotwa mitoni ndani sandarusi, kweli?

Genge hili haliamini kama kweli wafanyabiashara waliokimbia nchi kwa kuporwa fedha zao na Mhimili huu sasa wanarejea nchini kufanya biashara. Wanafunika nyuso zao. Haliamini kama "task force" ya TRA limefurushwa na sasa kodi inakusanywa kwa staha, kwa elimu ya mlipa Kodi na maarifa na si mitulinga! Wanashangaa.

Genge hili haliamini kama kweli Uhuru wa kujieleza kwa mujibu wa Katiba Ibara ya 18(3) umerejea ambapo sasa uhulizi mtu pembeni "huyo nani, usiongee utapotea". Haliamini kama kweli Rais SSH (Iron Lady) atakutana na vyama vya upinzani kujadili mustakabali wa demokrasia na maendeleo ya Taifa. Wanapata shida.

Haliamini kama kweli wizi na usombaji wa fedha za umma walioufanya kupitia sekta ya ujenzi na kampuni ya Mpita Njia sasa zitarejeshwa Hazina! Wanadhani masikhara! Kwamba sasa ni zamu yao kuzitapita zikiwa mbichi.

Sukuma Gang haliamini kama kweli "Iron Lady" ameamua kuwaunganisha Watanzania wote bila kujali tofauti zao za kikabila, Kanda, dini, jinsia, rangi, urefu na ufupi wa pua kama walivyozoea enzi za Mpita Njia. Wanalia na kusaga meno.

Haliamini kama kweli mashirika ya umma yalidanganya umma kwa gawio hewa kumbe hasara tupu. Linashangaa kwa nini "Iron Lady" hatumii kabisa maneno, "utawala wangu, Serikali yangu" na badala yake hutumia, "uongozi wangu, Serikali ninayoiongoza na wenzangu". Hawaamini masikio yao.

Genge hili haliamini fumua-fumua inayoendelea Serikalini kuondoa ufashisti kama ni kweli au maigizo. Linashangaa marejeo ya Bagamoyo Economic Zone ikitaka kujengwa badala ya Kijiji Cha Mpita Njia. Kwamba BEZ itashamirisha uchumi wetu maradufu. Haliamini kama zile ngonjera zao zimefutwa kuzimu.

Haliamini imewezekanaje diplomasia ya Tanzania kurejea mahali pake kwa kipindi kifupi namna hiyo. Mulamula aliyedhalilishwa SA anaipaisha Tanziania tofauti na Bwana Yule wa dawa ya Corona ya Madagascar! Upuuzi mtupu.

Haliamini kama wafanyakazi wameanza kupandishwa madaraja. Wanasumbuka kuona umoja ndani ya CCM unavyoshamiri chini vijana wakiunganisha makundi yote. Hawaamini mengi na wataendelea kushangaa mengi.

Kwa leo nihitimishe kwa kuwapa salamu, "enyi Sukuma Gang, tulieni, ache chokochoko za kudhani Rais SSH atafeli, huyu ni Iron Lady, mtafeli ninyi, njooni tuungane pamoja tuijenge nchi yetu". Amina!

Bollen Ngetti@2021
Maoni: 0683 226539
Sawa sawa! Iron Lady na serikali yake wameshatukosesha mechi ya simba na yanga bila sababu yoyote ya msingi na hakuna hatua aliyochukua! Ironlady mpaka leo sidhani kama anajua madawa ya kulevya na ujambazi yamerudi kwa kasi.Iron Lady hajakagua mradi mkubwa wowote mpaka leo wala kuanzisha miradi yake!
 
Mama bado hajajiconnect na wananchi ila yuko busy na wanaojiita wenye nchi, she has not connected with the have not, clock is ticking akigusa machinga tu amekwisha.
 
kama alizidiwa mpaka kufa kwa ajiri yetu sisi tunamshukuru sana,nyinyi panyabuku jema kwenu ni mama kutoa zawadi ya birthday na ka nyinyine laini laini.
Mnyonge unajiliwaza, acha kupoteza muda piga kazi nchi imefunguliwa hatutaki muanze kuwa na wivu wa kijinga na kusubiri kuletewa maendeleo ya kiupendeleo.

Sasa we endelea kuota tu , mtalalamika hivyohivyo kenge nyie
 
Ninapomuona mtu anamponda Jiwe ninabaki namshangaa na kumuona hana akili kabisa.

Mosi,Huo uhuru wa habari ndio ulikuwa kipaumbele kwa watanzania? Upuuzi mtupu! Watu wanakufa huko vijijini kwa kukosa huduma bora za afya na umasikini alafu kuna mtanzania mmoja mpuuzi analeta fyokofyoko zake.

Pili,Hakuna kikosi kazi kilichoundwa na Magufuli zaidi ya uchafuzi na propaganda za kisiasa, Na hata kama kingekuwepo watanzania waliona ni sawa kwa kuwa baadhi ya watu walijiona ni muhimu kuliko maisha ya watanzania wengine hususan wale masikini waliopo vijijini kwa kuendekeza siasa zisizo na tija!

Tatu, Tanzania ni nchi masikini.Nyerere alisema maadui wa taifa ni ujinga,umasikini na maradhi ninyi wanasiasa mnaendekeza upuuzi mwingine kutuondoa watanzania katika focus! Nenda vijijini watanzania wanafurahia huduma bora za afya,elimu bure maji kila kona! Kama alikuwa muuaji basi alikuwa muuaji mzuri!

Nne, Chato ipo nje ya Tanzania?

Mwisho Mwendazake alikuwa mwiba kwa wanasiasa uchwara walioendekeza siasa za midomoni na kutafuta ulaji kwa jina la siasa.Ni heri hata kama aliwapiga risasi baadhi yao ili kuokoa maelfu ya wanawake waliokuwa wanafia njiani kuelekea hospitali kujifungua kutokana na ubovu wa miundombinu! Ujenzi wa SGR,Flyovers,barabara,madaraja,ndege...n.k zote ni kwa ajili ya watanzania!

Ahsante Baba!
Wewe ni zoba kati ya mazoba wengi wanaotusumbua nchi hii, na nyie mnatakiwa kufifishwa kwani mnapokuwa wengi kuna siku huko mbele mnaweza maamuzi ya ajabu dunia ikatushangaa,
Hivi ushenzi aliokuwa nanfanya huyo rais wenu aliyekufa hamkuuona ?,
na pia, kwani Uhuru wa habari alioruhusu Samia ndio unaleta umaskini ??,
Huyo rais wenu aliyekufa ndie aliyechochea hizo shida ambazo wewe ndio unaziona leo, wakati ule ilikuwa haiwezekani kusema
 
Tangu marehemu dikiteta magufuli kafa sijasikia mtu katekwa na kupotezwa, wala kuona maiti zilizofingwa kwenye viroba vikielea mitoni na baharini, ila kabla hajafa ilikuwa haipiti wiki moja bila kusikia tukio mojawapo kati ya hayo.
Na huo ndiyo ukweli
 
Vipi matukio ya wagonjwa waliokuwa wanakufa hospital kwa kukosa huduma bora za afya ulikuwa unazisikia? Au wajawazito waliofia njiani kwa ubovu wa miundombinu nao uliwasikia? Au kwakuwa hawakuwa na umaarufu nao sio watu?
Acha upuuzi wako kabisa, Mwendazake keshapotea usitukumbushe machungu aliyoyaleta
sisi ndugu zetu wameondoka na Corona kwa ubishi wake, viongozi ndani ya Ikulu walikuwa wanaondoka , Maaskofu na mapadre wanamwambia vaa barakoa hasikii kazi kutufungia mawasiliano.
Hebu jiulize nguvu zote za kujenga mazahanati, na liHospital km kule Chato unakuja jificha kizahanati cha Mzena?, Sisi tumeshamsahau Mama anatuliwaza wewe unatukumbusha mauaji kila kona, Akwilina, saa 8
 
"Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.

Swali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?

Mbona madawa ya kulevya mitaani yanarudi kwa kasi sana na siku za karibuni kuna mzigo mkubwa ulikuwa unaingizwa nchini?

Maoni ya wadau
Sio IGP bali aliyekuwa nyuma ya IGP alikuwa ni Moto usiosogeleka! Tunashukuru kuwa mmeanza kuona tofauti ndani ya kipindi hiki kifupi.Jiwe was real hard mpaka majambazi walipiga saluti.

Haki nobody like JPM. Alikuwa one man show.Nguvu kubwa isiyoonekana nyuma yake ilinyamazisha kelele na fujo za kila mtu na kila kitu.Alitamka na kila mwenye akili timamu alimwelewa waovu walitulia,Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.Sasa vyote vinarudi kwa kasi ya 5G.Mungu baba ahsante kwa maisha ya Magufuli kabla yake tulikuomba kwa pamoja utupe rais wa aina yake ukatupa,ukatuonjesha tu atufungue macho na tuone tofauti ya uongozi na uongozi.Umemhitaji ukamchukua.Wewe ni Mungu.Ushukuriwe milele.

Je,Unadhani kwanini imekuwa mapema mno utofauti wa juhudi za hayati JPM na uongozi uliopo kuonekana miongoni mwa watanzania?
Kweli kabisa hata uwanja wa ndege alipojenga kwao na kuhamishia mbuga ya wanyama kwao na kuanzisha bandari kwao, miradi mikubwa kwao na upendeleo hakuna aliyefulukuta! kweli alikua ana nguvu sana
 
Back
Top Bottom