Siku 52: Tanzania bila Magufuli

Siku 52: Tanzania bila Magufuli

What a stupid comment, unaboresha huduma za afya kuokoa maisha ya watu huku unaua watu kikatili, probably you were among the hit squad crew/gang(wasiojulikana).

Una uhakika kama yeye ndo Ali kuwa Ana nunua watu ?

Ila so kesi ukiwa raisi kila kita kacho fanyika ndani ya country wata sema ni wewe ila ukweli si zani kama ni magufuli ndo Ali kuwa na fanya ivo na kama ni kweli magufuli ndo Ali kuwa na fanya ivo na MPa big up usipo eshimu sheria ina bidi utolewe tu ili usije kupoteza wenzako
 
Ninapomuona mtu anamponda Jiwe ninabaki namshangaa na kumuona hana akili kabisa.

Mosi,Huo uhuru wa habari ndio ulikuwa kipaumbele kwa watanzania? Upuuzi mtupu! Watu wanakufa huko vijijini kwa kukosa huduma bora za afya na umasikini alafu kuna mtanzania mmoja mpuuzi analeta fyokofyoko zake.

Pili,Hakuna kikosi kazi kilichoundwa na Magufuli zaidi ya uchafuzi na propaganda za kisiasa, Na hata kama kingekuwepo watanzania waliona ni sawa kwa kuwa baadhi ya watu walijiona ni muhimu kuliko maisha ya watanzania wengine hususan wale masikini waliopo vijijini kwa kuendekeza siasa zisizo na tija!

Tatu, Tanzania ni nchi masikini.Nyerere alisema maadui wa taifa ni ujinga,umasikini na maradhi ninyi wanasiasa mnaendekeza upuuzi mwingine kutuondoa watanzania katika focus! Nenda vijijini watanzania wanafurahia huduma bora za afya,elimu bure maji kila kona! Kama alikuwa muuaji basi alikuwa muuaji mzuri!

Nne, Chato ipo nje ya Tanzania?

Mwisho Mwendazake alikuwa mwiba kwa wanasiasa uchwara walioendekeza siasa za midomoni na kutafuta ulaji kwa jina la siasa.Ni heri hata kama aliwapiga risasi baadhi yao ili kuokoa maelfu ya wanawake waliokuwa wanafia njiani kuelekea hospitali kujifungua kutokana na ubovu wa miundombinu! Ujenzi wa SGR,Flyovers,barabara,madaraja,ndege...n.k zote ni kwa ajili ya watanzania!

Ahsante Baba!
Hovyoooooooooooooooooo
 
Ondoa hilo la madawa ya kulevya. Mtaa gani wenye hyo madawa tufika hapo?
Njoo DM unijulishe
 
Furaha imerejea nchini
IMG_20210411_210346_368.JPG
 
Tangu marehemu dikiteta magufuli kafa sijasikia mtu katekwa na kupotezwa, wala kuona maiti zilizofingwa kwenye viroba vikielea mitoni na baharini, ila kabla hajafa ilikuwa haipiti wiki moja bila kusikia tukio mojawapo kati ya hayo.
We huna habar supastaa hamorapa katekwa
 
matukio yalikuwepo ila media zilikuwa zimebanwa na nyingine zilifungwa
sasa hivi taarifa zipo huru na ndo sababu tunaona kama matukio yamezidi
 
Ninapomuona mtu anamponda Jiwe ninabaki namshangaa na kumuona hana akili kabisa.

Mosi,Huo uhuru wa habari ndio ulikuwa kipaumbele kwa watanzania? Upuuzi mtupu! Watu wanakufa huko vijijini kwa kukosa huduma bora za afya na umasikini alafu kuna mtanzania mmoja mpuuzi analeta fyokofyoko zake.

Pili,Hakuna kikosi kazi kilichoundwa na Magufuli zaidi ya uchafuzi na propaganda za kisiasa, Na hata kama kingekuwepo watanzania waliona ni sawa kwa kuwa baadhi ya watu walijiona ni muhimu kuliko maisha ya watanzania wengine hususan wale masikini waliopo vijijini kwa kuendekeza siasa zisizo na tija!

Tatu, Tanzania ni nchi masikini.Nyerere alisema maadui wa taifa ni ujinga,umasikini na maradhi ninyi wanasiasa mnaendekeza upuuzi mwingine kutuondoa watanzania katika focus! Nenda vijijini watanzania wanafurahia huduma bora za afya,elimu bure maji kila kona! Kama alikuwa muuaji basi alikuwa muuaji mzuri!

Nne, Chato ipo nje ya Tanzania?

Mwisho Mwendazake alikuwa mwiba kwa wanasiasa uchwara walioendekeza siasa za midomoni na kutafuta ulaji kwa jina la siasa.Ni heri hata kama aliwapiga risasi baadhi yao ili kuokoa maelfu ya wanawake waliokuwa wanafia njiani kuelekea hospitali kujifungua kutokana na ubovu wa miundombinu! Ujenzi wa SGR,Flyovers,barabara,madaraja,ndege...n.k zote ni kwa ajili ya watanzania!

Ahsante Baba!
We akili yako imewekwa nyuma ya mwili ya mwili wako sio mbele wala kichwani. Jiwe ana laana ya damu zisizo na hatia
 
Kungekuwepo uwezekano wenye sim janja kupimwa akili naona sasa kila mtu anaibuka na kupost hata ushuz bila kufikiria
 
Jiwe aliturejesha nyuma sana,nikiona mtu ana msifu nabaki kushangaa na kusikitika.

Chini ya uongozi wa jiwe.

Mosi,Uhuru wa habari ulisiginwa katika kiwango ambacho hakijawahi kutokea.

Pili,Kikosi cha wasiojulikana kiliundwa rasmi na kazi yake kubwa ilikuwa kutesa,kuua,kupoteza na nk.

Tatu,Manunuzi ya wanasiasa kwa jina la kuunga mkono juhudi ziliratibiwa na kuhasisiwa na serekali yake.

Nne,Aliasisi tabia mbaya ya kupendelea Wilaya yake ya Chato.Katika kipindi chake tulishuhudia mambo yaliyofanana na kutendwa na aliyekuwa Rais wa Zaire Mobutu Sese Seko Kuku wazabanga.Hii ni aibu na doa kubwa kwa JMT.

Mwisho Mwendazake aliasisi siasa za visasi na upendeleo.Kibaya zaidi ailisigina katiba aliyoapa kuilinda.

Kutamani kwa namna yoyote taifa letu kurejea katika zama za Jiwe ni kuonyesha dhahiri kwamba wewe akili zako hazipo sawa sawa na unastahili matibabu ya afya ya akili katika Hospital yetu maarufu ya Mirembe.
Wizi na madawa ya kulevya vimerudi kwa kasi! Tafakari.
 
"Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.

Swali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?

Mbona madawa ya kulevya mitaani yanarudi kwa kasi sana na siku za karibuni kuna mzigo mkubwa ulikuwa unaingizwa nchini?

Maoni ya wadau
Sio IGP bali aliyekuwa nyuma ya IGP alikuwa ni Moto usiosogeleka! Tunashukuru kuwa mmeanza kuona tofauti ndani ya kipindi hiki kifupi.Jiwe was real hard mpaka majambazi walipiga saluti.

Haki nobody like JPM. Alikuwa one man show.Nguvu kubwa isiyoonekana nyuma yake ilinyamazisha kelele na fujo za kila mtu na kila kitu.Alitamka na kila mwenye akili timamu alimwelewa waovu walitulia,Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.Sasa vyote vinarudi kwa kasi ya 5G.Mungu baba ahsante kwa maisha ya Magufuli kabla yake tulikuomba kwa pamoja utupe rais wa aina yake ukatupa,ukatuonjesha tu atufungue macho na tuone tofauti ya uongozi na uongozi.Umemhitaji ukamchukua.Wewe ni Mungu.Ushukuriwe milele.

Je,Unadhani kwanini imekuwa mapema mno utofauti wa juhudi za hayati JPM na uongozi uliopo kuonekana miongoni mwa watanzania?
Tatizo kipindi cha mwendazake watu walikuwa wanaogopa kuandika lakini sasa kitu kinawekwa wazi
 
Tangu marehemu dikiteta magufuli kafa sijasikia mtu katekwa na kupotezwa, wala kuona maiti zilizofingwa kwenye viroba vikielea mitoni na baharini, ila kabla hajafa ilikuwa haipiti wiki moja bila kusikia tukio mojawapo kati ya hayo.
Ulikuwa unssikia tu hukuwa na ushahidi! Je! Hao waliotekwa wamerudishwa utawala huu? Kuna unayemjua alitekwa na sasa karudi? Au unasikua tu! Usiamini ya kusikia tu. Je! Uliwahi kuona wafu ndani ya viroba mtoni na kuwatambua? Au ulisikia tu! Usitengeneze chuki kwa kusikia tu.
 
K
Tatizo kipindi cha mwendazake watu walikuwa wanaogopa kuandika lakini sasa kitu kinawekwa wazi
Hivi, ni kitu gani kimewekwa wazi sasa awamu hii? Twambie na sisi tuone, au jaribu kulinganisha tuelewe. Usidhanie tu, kipi kikowazi na wakati wa Magufuli hakikuwa?
 
Ninapomuona mtu anamponda Jiwe ninabaki namshangaa na kumuona hana akili kabisa.

Mosi,Huo uhuru wa habari ndio ulikuwa kipaumbele kwa watanzania? Upuuzi mtupu! Watu wanakufa huko vijijini kwa kukosa huduma bora za afya na umasikini alafu kuna mtanzania mmoja mpuuzi analeta fyokofyoko zake.

Pili,Hakuna kikosi kazi kilichoundwa na Magufuli zaidi ya uchafuzi na propaganda za kisiasa, Na hata kama kingekuwepo watanzania waliona ni sawa kwa kuwa baadhi ya watu walijiona ni muhimu kuliko maisha ya watanzania wengine hususan wale masikini waliopo vijijini kwa kuendekeza siasa zisizo na tija!

Tatu, Tanzania ni nchi masikini.Nyerere alisema maadui wa taifa ni ujinga,umasikini na maradhi ninyi wanasiasa mnaendekeza upuuzi mwingine kutuondoa watanzania katika focus! Nenda vijijini watanzania wanafurahia huduma bora za afya,elimu bure maji kila kona! Kama alikuwa muuaji basi alikuwa muuaji mzuri!

Nne, Chato ipo nje ya Tanzania?

Mwisho Mwendazake alikuwa mwiba kwa wanasiasa uchwara walioendekeza siasa za midomoni na kutafuta ulaji kwa jina la siasa.Ni heri hata kama aliwapiga risasi baadhi yao ili kuokoa maelfu ya wanawake waliokuwa wanafia njiani kuelekea hospitali kujifungua kutokana na ubovu wa miundombinu! Ujenzi wa SGR,Flyovers,barabara,madaraja,ndege...n.k zote ni kwa ajili ya watanzania!

Ahsante Baba!
Mwendazake alikuwa mwizi mkubwa, dikteta,mpumbavu,mjinga,pia alikuwa takataka.mungu angemchukuwa mapema zaidi ingependeza sana.huko alipo achomwe na moto mkali sana milele
 
"Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.

Swali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?

Mbona madawa ya kulevya mitaani yanarudi kwa kasi sana na siku za karibuni kuna mzigo mkubwa ulikuwa unaingizwa nchini?

Maoni ya wadau
Sio IGP bali aliyekuwa nyuma ya IGP alikuwa ni Moto usiosogeleka! Tunashukuru kuwa mmeanza kuona tofauti ndani ya kipindi hiki kifupi.Jiwe was real hard mpaka majambazi walipiga saluti.

Haki nobody like JPM. Alikuwa one man show.Nguvu kubwa isiyoonekana nyuma yake ilinyamazisha kelele na fujo za kila mtu na kila kitu.Alitamka na kila mwenye akili timamu alimwelewa waovu walitulia,Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.Sasa vyote vinarudi kwa kasi ya 5G.Mungu baba ahsante kwa maisha ya Magufuli kabla yake tulikuomba kwa pamoja utupe rais wa aina yake ukatupa,ukatuonjesha tu atufungue macho na tuone tofauti ya uongozi na uongozi.Umemhitaji ukamchukua.Wewe ni Mungu.Ushukuriwe milele.

Je,Unadhani kwanini imekuwa mapema mno utofauti wa juhudi za hayati JPM na uongozi uliopo kuonekana miongoni mwa watanzania?

Mie sijaoiona hiyo tofauti..naona mambo yanazidi kuwa shwari...
 
ANGEKUWA MAGUFURI: Safari ya kuelekea Dar kuongea na wazee angeenda kwa kutumia usafiri wa gari ilimradi apite njiani aone wananchi wake na azungumze nao kabla ya kufika dar. Kuna watu au taasisi wangetatuliwa matatizo yao papo kwa papo, kuna watu au taasisi angewapatia pesa kwa ajili ya shughuli za kimaendeleo.
PIA, angekuwa anarudi DODOMA angepita barabarani kuona kama kuna wananchi wapo njiani kumsubiria awasalimu na angesimama kuwasalimu. NAMKUMBUKA SANA HUYU MZEE

Mfate chatow mkuu
 
Back
Top Bottom