ANGEKUWA MAGUFULI: Safari ya kuelekea Dar kuongea na wazee angeenda kwa kutumia usafiri wa gari ilimradi apite njiani aone wananchi wake na azungumze nao kabla ya kufika dar.
Kuna watu au taasisi wangetatuliwa matatizo yao papo kwa papo, kuna watu au taasisi angewapatia pesa kwa ajili ya shughuli za kimaendeleo.
PIA, angekuwa anarudi DODOMA angepita barabarani kuona kama kuna wananchi wapo njiani kumsubiria awasalimu na angesimama kuwasalimu. NAMKUMBUKA SANA HUYU MZEE