Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

Leo nimetembelea shule moja ya Kata nikashuhudia kituko cha mwaka kutoka kwa mwalimu mmoja shuleni hapo.

Mwalimu huyo amehitimu Chuo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) hivi karibuni na akaajiriwa moja kwa moja kufundisha katika shule hiyo ya Kata.

Wakati akiendelea kufundisha nilimsikia akiwauliza wanafunzi swali hili: WHERE DOES IT LOCATED?

Inaonekana ni mwalimu wa somo la Jiographia, hivyo alikuwa akiwauliza wanafunzi wake wamtajie location ya kitu fulani kwenye ramani.

Jamani, hapa ndipo shule za kata zilipotufikisha. Ikiwa mhitimu wa Chuo Kikuu anaongea kiingereza kibovu kama hiki, tena mbele ya wanafunzi,mnategemea wanafunzi anaowafundisha watapata maarifa gani kutoka kwake?

Chukulia huyu ni mwalimu wa Kidato Cha Kwanza, wanafunzi wake wanaoambiwa kila siku "SPEAK ENGLISH" wataiga kiingereza gani kutoka kwake? Si ndio atawapoteza kabisa?

Ikiwa walimu hawajui kiingereza unategemea nini kutoka kwa wanafunzi wao? Haya ndio madhara ya serikali yetu kuchanganya elimu na siasa. Tumekwisha hasa!!

Kusoma si kukariri. Where does it located na where is it located kuna tofauti gani katika kuongea au yeye alikuwa anafundisha grammar.
 
Mbwa wewe ...lekebisha na we we tuone ungesemaje, au andika iyo thread yako kwa kingereza tuone,,,, punda wewe

kama hata kiswahili chenyewe kinakupiga chenga, sina cha kuongea nawe...nenda kaokote makopo.
 
Kusoma si kukariri. Where does it located na where is it located kuna tofauti gani katika kuongea au yeye alikuwa anafundisha grammar.

mkuu kutokufundisha grammar ni kibali cha kuwafundisha watoto makosa? sijakuelewa unachojaribu kutetea hapa ni nini.
 
Mbwa wewe ...lekebisha na we we tuone ungesemaje, au andika iyo thread yako kwa kingereza tuone,,,, punda wewe

kama mtu akikosoa jambo anakuwa mbwa, basi mimi sio mbwa tu bali ni MBWA KOKO.
 
Nakumbuka kipindi kile me naanza Form ONE- Wazazi wangu walininunulia Dictionary ya OXFORD pamoja na kitabu cha "Common mistakes in English" lakini wazazi wa siku hizi wanafurahia tu watoto wao kufauru Darasa la Saba lakini wanashindwa kuwanunulia Zana muhimu Za Lugha ya kigeni.
kufauru =kufaulu.
kilaza mmoja wewe
 
Mleta maada kwa kifupi umekurupuka!
Kiingereza is just a language kama kisukuma.
That was not an English class, it was Geography, we teachers we always miss the point, instead of striving to communicate the meaning and understanding to our students, we are so keen on making sure we follow the basics of our colonists language.
As for me ni mwalimu katika level kubwa tu, nitatumia hata kimasai kama nadhani wanafunzi wangu wataelewa vizuri ninacho taka waelewe.
Let's stop being over sensitive about little language mistakes leaving
 
Leo nimetembelea shule moja ya Kata nikashuhudia kituko cha mwaka kutoka kwa mwalimu mmoja shuleni hapo.

Mwalimu huyo amehitimu Chuo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) hivi karibuni na akaajiriwa moja kwa moja kufundisha katika shule hiyo ya Kata.

Wakati akiendelea kufundisha nilimsikia akiwauliza wanafunzi swali hili: WHERE DOES IT LOCATED?

Inaonekana ni mwalimu wa somo la Jiographia, hivyo alikuwa akiwauliza wanafunzi wake wamtajie location ya kitu fulani kwenye ramani.

Jamani, hapa ndipo shule za kata zilipotufikisha. Ikiwa mhitimu wa Chuo Kikuu anaongea kiingereza kibovu kama hiki, tena mbele ya wanafunzi,mnategemea wanafunzi anaowafundisha watapata maarifa gani kutoka kwake?

Chukulia huyu ni mwalimu wa Kidato Cha Kwanza, wanafunzi wake wanaoambiwa kila siku "SPEAK ENGLISH" wataiga kiingereza gani kutoka kwake? Si ndio atawapoteza kabisa?

Ikiwa walimu hawajui kiingereza unategemea nini kutoka kwa wanafunzi wao? Haya ndio madhara ya serikali yetu kuchanganya elimu na siasa. Tumekwisha hasa!!

---- kweli wewe,kiswahili chenyewe hujui kuongea.Unajifanya kumkosoa mwl wa Geography nan alikuambia mwl wa Geo anafundisha GRAMMAR
 
Mleta mada acha ushamba, kiingereza ni lugha tu kama kimakonde na kusoma ni kuelewa haijalishi umetumia lugha gani.yaelekea in mtu wa kukariri sana wewe
 
Jamani kwani mtu akisema where does it located kosa liko wapi? Binafsi sijaona kosa
 
Na mwingine alipotea junction ya kuelekea chuo cha vikindu alichokitaja sithubutu kuandika
Unaonae mkuu, sasa kwa nini waafrika wakikosea tuwacheke?
Basi tena mzungu alikosea kutamka Mkomazi nami siwezi kusema alitamkaje
 
Leo nimetembelea shule moja ya Kata nikashuhudia kituko cha mwaka kutoka kwa mwalimu mmoja shuleni hapo.

Mwalimu huyo amehitimu Chuo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) hivi karibuni na akaajiriwa moja kwa moja kufundisha katika shule hiyo ya Kata.

Wakati akiendelea kufundisha nilimsikia akiwauliza wanafunzi swali hili: WHERE DOES IT LOCATED?

Inaonekana ni mwalimu wa somo la Jiographia, hivyo alikuwa akiwauliza wanafunzi wake wamtajie location ya kitu fulani kwenye ramani.

Jamani, hapa ndipo shule za kata zilipotufikisha. Ikiwa mhitimu wa Chuo Kikuu anaongea kiingereza kibovu kama hiki, tena mbele ya wanafunzi,mnategemea wanafunzi anaowafundisha watapata maarifa gani kutoka kwake?

Chukulia huyu ni mwalimu wa Kidato Cha Kwanza, wanafunzi wake wanaoambiwa kila siku "SPEAK ENGLISH" wataiga kiingereza gani kutoka kwake? Si ndio atawapoteza kabisa?

Ikiwa walimu hawajui kiingereza unategemea nini kutoka kwa wanafunzi wao? Haya ndio madhara ya serikali yetu kuchanganya elimu na siasa. Tumekwisha hasa!!

Kama hii ni ya kweli ni kwamba watoto weti hawatendewi haki. Siyo hilo tu. Hivi huyo supervisor wake anajisikiaje mtu wake kuongea hovyo namna hiyo?
 
Niliwahi kumsikia mwingine akifundisha F2 geography akasema hivi: the earth rotate in its own axis. It go, it go, it stops. Wakati anasema hivyo na yeye anajizungusha.

Mkuu mbavu zangu zote sina!!! duuuuhh!
 
Hahahahahaha! Walimu wa shule hii wanatisha kwa kweli. Leo tena wameendeleza vituko vyao! Mwalimu mmoja kwenye shule hii alikuwa akifundisha somo la Jiografia kidato cha kwanza, kama sikosei. Akauliza wanafunzi wake: A line which DIVIDE Earth into two parts is called WHOM? Du, hii ni kali ya mwaka... A LINE CALLED WHOM? Haya sasa masikhara I see.
 
Wachina na wajerumani wenye maendeleo makubwa wanajua Kiingereza ?, pili ushasema ni mwl. wa Geography si kosa lake

Tatu ww kwa siku Kiswahili lugha yako unachapia mara ngapi ?

Nne ; watoto wenu mlokuwa mnawepeleka Kusoma Uganda na Kenya miaka michache ilopita mbona hamuwapeleki baada ya kuona watoto wanaendelea kuwa ****** Tano Rekebisha ulitaka Mwl. aseme vp.
I don't agree with you. University graduate MUST KNOW ENGLISH GRAMMAR REGARDLESS OF THE SUBJECT MAJORED. Hiyo degree ni lazima ichunguzwe kama kweli kaipata UDSM.
 
Hahahahahaha! Walimu wa shule hii wanatisha kwa kweli. Leo tena wameendeleza vituko vyao! Mwalimu mmoja kwenye shule hii alikuwa akifundisha somo la Jiografia kidato cha kwanza, kama sikosei. Akauliza wanafunzi wake: A line which DIVIDE Earth into two parts is called WHOM? Du, hii ni kali ya mwaka... A LINE CALLED WHOM? Haya sasa masikhara I see.

Inatamkwa "DIVIDES" na siyo "DIVIDE". Sasa ukienda West Africa kama Nigeria, Liberia, Sierra Leone, etc, huko wanatumia pidgin English ambayo ni broken English iliyotukuka, lakini ni wasomi na wanaelewa regular English kushinda hata mleta mada.
 
Wachina na wajerumani wenye maendeleo makubwa wanajua Kiingereza ?, pili ushasema ni mwl. wa Geography si kosa lake

Tatu ww kwa siku Kiswahili lugha yako unachapia mara ngapi ?

Nne ; watoto wenu mlokuwa mnawepeleka Kusoma Uganda na Kenya miaka michache ilopita mbona hamuwapeleki baada ya kuona watoto wanaendelea kuwa ****** Tano Rekebisha ulitaka Mwl. aseme vp.

Nonsense
 
Back
Top Bottom