Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

tpaul,WW UTAKUA MSOMI WA KUGUSHI ,WE MWENYEWE UMEIKOSEA POST YAKO,SI JAJUA UNAELIMU KIASI GANI INAVYOONEKANA NAWE UMEFUNDISHWA NA WALIMU HAOHAO WA KATA.MWL.SIO MUNGU, NDO MAANA KUNAKUJIENDELEZA KAZINI
.YAWEZEKANA ALIKUWA ANATAKA WANAFUNZI WAONESHE KITU KILICHO HALI YA MAZOEA.VINGINEVYO KAMASIKOSEI UNATABIA ZA KIKE.
 
afu hiyo thread ya zaman sana, umeirudia tena, unataka matusi ww nadhan!
 
Wewe unamuona yeye kakosea na wewe ndio unakosea zaidi

Uliongea nae kuh iko kiinglishi chake labda masikio yako yalisikia vibaya..
 
bnafc kchapia ngeli kawaida cha msingi n mastery of the content na ku communicate kwa wanafunzi
 
Kama topic ya kuweka uwe unakausha huna lolote wewe ---- unajifanya unajua kingereza elimu yenyewe umepata kwa kuungaunga unavyoonekana wewe ni ccm
 
Kama topic ya kuweka huna uwe unakausha huna lolote wewe ---- tu unajifanya unajua kingereza elimu yenyewe umepata kwa kuungaunga unavyoonekana wewe ni ccm
 
Mawazo kama hayo ndio yanatuangusha, kuamini katika lugha kuliko weledi...
 
Kama topic ya kuweka uwe unakausha huna lolote wewe ---- unajifanya unajua kingereza elimu yenyewe umepata kwa kuungaunga unavyoonekana wewe ni ccm

tetea hoja acha vitisho mkuu.
 
afu hiyo thread ya zaman sana, umeirudia tena, unataka matusi ww nadhan!

ndio. tupia matusi ukutane na rungu la moderator. kama huna cha kuchangia kaa kimya na uache vitisho.
 
sio kosa lake.nitajie nchi tofauti na tanzania ambayo mwanafunzi anasoma miaka saba primary kwa lugha nyingine then anaingia secondary anaanza kujifunza kwa lugha nyingine.ni hapa kwetu tu kwa wababaishaji.lakina watoto wao wanaanza la kwanza kwa kiingereza mpaka chuo kikuu.
 
Tatizo si la mwalimu au shule za kata ila katoka mfumo wa elimu

kweli kabisa mkuu....dawa ya ubabaishaji wote huu ni kuundoa huu mfumo wa kiCCM madarakani ndipo tutapata ahueni.
 
WE are learnign through mistakes. Anajifunza mwenzio hivyo mwisho wa siku atakupiga gap

anajifunza wakati anafundisha wanafunzi mkuu? huoni kwamba ataendelea kuwaambukiza wanafunzi makosa na kuwavuruga kabisa?
 
Leo nimetembelea shule moja ya Kata nikashuhudia kituko cha mwaka kutoka kwa mwalimu mmoja shuleni hapo.

Mwalimu huyo amehitimu Chuo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) hivi karibuni na akaajiriwa moja kwa moja kufundisha katika shule hiyo ya Kata.

Wakati akiendelea kufundisha nilimsikia akiwauliza wanafunzi swali hili: WHERE DOES IT LOCATED?

Inaonekana ni mwalimu wa somo la Jiographia, hivyo alikuwa akiwauliza wanafunzi wake wamtajie location ya kitu fulani kwenye ramani.

Jamani, hapa ndipo shule za kata zilipotufikisha. Ikiwa mhitimu wa Chuo Kikuu anaongea kiingereza kibovu kama hiki, tena mbele ya wanafunzi,mnategemea wanafunzi anaowafundisha watapata maarifa gani kutoka kwake?

Chukulia huyu ni mwalimu wa Kidato Cha Kwanza, wanafunzi wake wanaoambiwa kila siku "SPEAK ENGLISH" wataiga kiingereza gani kutoka kwake? Si ndio atawapoteza kabisa?

Ikiwa walimu hawajui kiingereza unategemea nini kutoka kwa wanafunzi wao? Haya ndio madhara ya serikali yetu kuchanganya elimu na siasa. Tumekwisha hasa!!

Mbwa wewe ...lekebisha na we we tuone ungesemaje, au andika iyo thread yako kwa kingereza tuone,,,, punda wewe
 
tpaul,WW UTAKUA MSOMI WA KUFUSHI WE MWENYEWE UMEIKOSEA POST YAKO,SI JAJUA UNAELIMU KIASI GANI INAVYOONEKANA NAWE UMEFUNDISHWA NA WALIMU HAOHAO WA KATA.MWL.SIO MUNGU, NDO MAANA KUNAKUJIENDELEZA KAZINI
.YAWEZEKANA ALIKUWA ANATAKA WANAFUNZI WAONESHE KITU KILICHO HALI YA MAZOEA.VINGINEVYO KAMASIKOSEI UNATABIA ZA KIKE.

mkuu, ili mtu umkosoe mwalimu sharti uwe msomi? elewa kwamba yule mwalimu anafundisha watoto wetu...wewe unaona raha anavyowafundisha makosa au unataka kusema nini?
 
Back
Top Bottom