Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

I don't agree with you. University graduate MUST KNOW ENGLISH GRAMMAR REGARDLESS OF THE SUBJECT MAJORED. Hiyo degree ni lazima ichunguzwe kama kweli kaipata UDSM.
Mkuu kwa kuwa huyu mwalimu ni wa kike nina wasiwasi huenda digrii yake ikawa ya digrii ya kyupi.
 
Inatamkwa "DIVIDES" na siyo "DIVIDE". Sasa ukienda West Africa kama Nigeria, Liberia, Sierra Leone, etc, huko wanatumia pidgin English ambayo ni broken English iliyotukuka, lakini ni wasomi na wanaelewa regular English kushinda hata mleta mada.
Umeona eeh? Yaani graduate wa chuo kikuu anaongea kiingereza broken kama hivi tutarajie nn kutoka kwa wanafunzi wake.
 
Huna point. Yaani huyu mwalimu kuchanganya viashiria vya nyakati tu basi we tayari umeshahitimisha kuwa ni bomu na huyoooo mkuku kuja kumkandia hapa JF. Kuna makosa mengine ya hiyo lugha unayoiabudu alifanya au ni hili moja tu? Vipi ungemsikia akifundisha kwa Kiswahili na akawa amechanganya ngeli mf. Kisiwa iko wapi? Napo ungekuja hapa mbio mbio kumponda kuwa hajui Kiswahili?

Mbali na kwamba sera yetu ya lugha katika mfumo wetu wa elimu ni ya kutatanisha sana lakini kwa hili umemwonea huyu mwalimu na inavyoonekana una kasumba tena ya kushangaza. Kwako wewe mtu anayeongea Kiingereza fasaha basi huyo ni msomi wa kupigiwa mfano hata kama anachoongea ni pumba. Kwa mtazamo huu bado tuna safari ndefu sana kama taifa kwani hata watu wanaodhani kuwa wanajua sana ukiwaangalia vizuri kumbe ndiyo mbumbumbu wa kwanza. Na ni afadhali mtu asiyejua na hajui kuwa hajui mara mia kuliko jitu kengeufu lenye mitazamo potofu, jitu ambalo halijui kitu lakini lipo linajipiga kifua kuwa linajua mambo balaa. The former is a student and the latter is a FOOL !!!
Ha ha ha ha ha Nimecheka sana hadi nimezirai, asante kwa kuniwekea siku nzuri!!
 
jaman lugha iliyokuja na meli ikavuka bahar c mchezo, af kumasta lugha kunategemeana nawanaokuzunguka
 
jaman lugha iliyokuja na meli ikavuka bahar c mchezo, af kumasta lugha kunategemeana nawanaokuzunguka. Wala sishangai mwalm kukosea mana yeye mwenyew n matokeo ya msing mbov wa lugha hii
 
jaman lugha iliyokuja na meli ikavuka bahar c mchezo, af kumasta lugha kunategemeana nawanaokuzunguka. Wala sishangai mwalm kukosea mana yeye mwenyew n matokeo ya msing mbov wa lugha hii
 
Ha ha ha ha ha Nimecheka sana hadi nimezirai, asante kwa kuniwekea siku nzuri!!
Asante mkuu. Nimefurahi kuwa nimekuongezea siku za kuishi japo umezirai. Nilikuwa nimeisahau comment hii na inavyoonekana nilikuwa hyper kidogo mpaka nikakaribia kutoa povu
 
Asante mkuu. Nimefurahi kuwa nimekuongezea siku za kuishi japo umezirai. Nilikuwa nimeisahau comment hii na inavyoonekana nilikuwa hyper kidogo mpaka nikakaribia kutoa povu
Ha ha ha ha sipati picha ulivyochoka na hali jinsi ilivyo, hii ndo Tanzania baba tuombe Mungu atuwekee panadol ya milele tuishi vizuri hapa kwetu Tanzania!
 
Mto mada ulikuwa unafanya nini hapo darasani? wewe ni mwanafunzi wa shule hiyo? ni mkaguzi wa elimu? ni mwalimu wa shule hiyo au?
 
Leo nimetembelea shule moja ya Kata nikashuhudia kituko cha mwaka kutoka kwa mwalimu mmoja shuleni hapo.

Mwalimu huyo amehitimu Chuo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) hivi karibuni na akaajiriwa moja kwa moja kufundisha katika shule hiyo ya Kata.

Wakati akiendelea kufundisha nilimsikia akiwauliza wanafunzi swali hili: WHERE DOES IT LOCATED?

Inaonekana ni mwalimu wa somo la Jiographia, hivyo alikuwa akiwauliza wanafunzi wake wamtajie location ya kitu fulani kwenye ramani.

Jamani, hapa ndipo shule za kata zilipotufikisha. Ikiwa mhitimu wa Chuo Kikuu anaongea kiingereza kibovu kama hiki, tena mbele ya wanafunzi,mnategemea wanafunzi anaowafundisha watapata maarifa gani kutoka kwake?

Chukulia huyu ni mwalimu wa Kidato Cha Kwanza, wanafunzi wake wanaoambiwa kila siku "SPEAK ENGLISH" wataiga kiingereza gani kutoka kwake? Si ndio atawapoteza kabisa?

Ikiwa walimu hawajui kiingereza unategemea nini kutoka kwa wanafunzi wao? Haya ndio madhara ya serikali yetu kuchanganya elimu na siasa. Tumekwisha hasa!!
We ulizaliwa na kiingereza... Poor slave

Love you all...
 
I don't agree with you. University graduate MUST KNOW ENGLISH GRAMMAR REGARDLESS OF THE SUBJECT MAJORED. Hiyo degree ni lazima ichunguzwe kama kweli kaipata UDSM.
Pole sana kaka UDSM ndo English imelala eee....Nimesoma hapo na hadi nahitimu nilikuwa nikicheka tu watu wanavyoongea vingereza...et UDSM
 
We ulizaliwa na kiingereza... Poor slave

Love you all...
Sijazaliwa na kiingereza lakini mwalimu msomi wa chuo kikuu kufanya makosa ya kizembe kama haya haikubaliki hata kidogo.
 
Mkuu ngoja wake wenyewe wenye chuo chao.....hawatakuelewa hata kidogo
 
Leo nimetembelea shule moja ya Kata nikashuhudia kituko cha mwaka kutoka kwa mwalimu mmoja shuleni hapo.

Mwalimu huyo amehitimu Chuo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) hivi karibuni na akaajiriwa moja kwa moja kufundisha katika shule hiyo ya Kata.

Wakati akiendelea kufundisha nilimsikia akiwauliza wanafunzi swali hili: WHERE DOES IT LOCATED?

Inaonekana ni mwalimu wa somo la Jiographia, hivyo alikuwa akiwauliza wanafunzi wake wamtajie location ya kitu fulani kwenye ramani.

Jamani, hapa ndipo shule za kata zilipotufikisha. Ikiwa mhitimu wa Chuo Kikuu anaongea kiingereza kibovu kama hiki, tena mbele ya wanafunzi,mnategemea wanafunzi anaowafundisha watapata maarifa gani kutoka kwake?

Chukulia huyu ni mwalimu wa Kidato Cha Kwanza, wanafunzi wake wanaoambiwa kila siku "SPEAK ENGLISH" wataiga kiingereza gani kutoka kwake? Si ndio atawapoteza kabisa?

Ikiwa walimu hawajui kiingereza unategemea nini kutoka kwa wanafunzi wao? Haya ndio madhara ya serikali yetu kuchanganya elimu na siasa. Tumekwisha hasa!!
Kwa uelewa Wako Elimu nzuri Ni kuongea kiingereza safi? Umesema Mwl alikuwa akifubdisha Jiografia. Je,, jiografia Ni kiingereza mtu aadhibiwe kwa kukosea tenses? Elimy yako Ina walakini.
 
Back
Top Bottom