Sijui nitatokaje hapa

ni kawaida kwa binadam kuapa kutorudia kitu ambacho kimewasababishia maumivu,especially kwenye mapenzi yaliyosababisha maumivu,lakin c ajabu mtu huyo huyo kupenda tena sababu ni binadam wala c malaika,so ma friend worry out about loving again,Mungu amekuandalia mwenzi wa maisha ambaye atakupenda mpaka ushangae,kama huyo unaehis unampenda ukashindwa kuanzisha mahusiano nae dont worry yupo ambaye Mungu amekukusudia kuwa naye!
 

Thanx,thanx inadivance i blv that
 
Ni bora abaki rafiki yako. ni wanaume wachache wanaweza kuchukulia kwa uzito mwanamke anapo kuwa wa kwanza kusema amependa anaweza kukubalia lakini uzito utakuwa tofauti sana kama angekuwa yeye ni wa kwanza kuweka wazi.

Ni wazi hawezi kuwa anakupenda kama unavyompenda na hata akikwambia anakupenda kama wewe unavyo mpenda muogope maana haiwezekani kabisa mkapendana sawa.

Niwazi unamuona ni nyc au kind sababu ni best friend na hakuna igizo rahisi kulicheza kama lakuwa best friend, hapo kila mtu lazima aonekane nyc, lakini linapokuja swala la mapenzi panakuwa pagumu sana maana makucha yote si rahisi kuyaficha.

Katika mchezo wa mapenzi wanawake wengi wanajua kuvaa uhusika vizuri sana na ni wazi wewe unampenda kwa dhati, lakini unatakiwa kujiuliza furaha yako inashikiliwa na nani? wewe unashindwa kula hadi unapungua, hivi unategemea ni nani atakwambia ule kama si wewe kuamua kula? furaha yako umeishika mwenyewe si mwingine? unaweza kuwa na hali mbaya zaidi kama utakataliwa ombi lako.

Sikukatishii tamaa lakini ni wazi best friend ni mzuri anapo baki kuwa best friend.
 

Hahahahaaa.......ana hela? hahahaaaaa.....
 

Hii inaitwa pata potea, raha ya mwanamme aanze yeye na awe kakupenda! Kasheshe ni pale unamwambia anakubali mnakuwa wapenzi kumbe ndani ya moyo wake hamna kitu hiyo!
Akipata anaempenda unaachwa mchana kweupe na wewe umeshainvest hapo physically and emotionally.
 
Pole mpendwa,nakushauri umwambie,ili ujue mpo page moja au lah!hapa chances ni 50/50 so jaribu bahati yako dear he might be your princecharming!Mie moyo wangu nishautia kufuli kabisa naogopa kuufungua!

Unajikosea mpenzi! utazeeka a bitter woman! Funguka uenjoy life bana. Maisha yenyewe hayahaya, Akikusaliti Brian, yupo George kwaaajili yako! Funguka baby......
 

Hahahahaaaaa that's funny! Nimecheka sana aisee!
Sasa gongo ikiisha kichwani na kugegedwa umegegedwa aaf akaingia mitini, si ndio maumivu yatazidi kuwa makali?
 
Ha haaaa,kubwa la maadui...ndege mjanja kunaswa kwny tundu bovu sio mchezo!
...don wory..
Cc:kibibi jongo

Hahahahaaa umeonaee? money monger kuleee mapenzi ndio muhimu lol! Pole hata mie ilishanikuta, ila nilijikaza saana , nikapotezea. Inaelekea jamaa ni caring flani aaf ana ushauri mzuri, anakusifia u beautiful, yuko available, ..... I know the feeling baby... jikaze mpk aanze mwenyewe. usimwambie au tumia lugha ya picha aanze yeye!
 
Coz ume m CC Kibibi Jongo nazani MONEY haihusiki coz utakiua kizee kile na pressure! LOL! Kizee kikisikia neno PESA tu damu inamsisimka! LOL!

Hahahahaaaaa umeua lol! Nasisimka na pesa lakini najua kuzisaka sina mchezo! Sisubiri za kudaka lol! zina masharti meengi, na majukumu mengi. Ila zikija aaaa..... nazipokea hakuna asiye penda sabuni ya roho bana!
 
Ukimchunguza vizur huyo ana mtu huo ndo ukweli.....maana kama unampenda kwa mwanaume anayekuhitaji angekwambia tuu maana ishara huwa hazijifichi.

Ila kama upo tayari kumng'oa mtu.....weka bayana watu wamwagike Ennie

Hatareeeeee.......... see! watu mko sharp sana aisee!
 
Last edited by a moderator:
Dah, hili mkuu gum!
..nway, bt nampenda tu the way alivyo,yaani kila kitu chake!, he cares a lot,halafu ni vitu vidogo tu vya kawaida bt 4 mi nachanganyikiwaaaaaaa

Yaaa Xriss ni vitu vidoooogo tuu about men! Wajanja wanavijua! Ata kama ulikua untouchable ikifika hapo dah...... hakuna hela wala nn, unaeza toa hata zako!
 

See umekuwa mkweli bora umefunguka! Inakuwaje hapo inakuwa hujampenda? Au ulimpenda ni vile tu kaanza yeye?
Hii formula wanaume muiweke wazi! Let's say wewe pia umependa huyo gal, aaf kabla hujamwambia unakuta yeye ndo anaanza kukwambia Inakuwaje?
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahaaaaa...... umeona hatari hiyo eee! Asifungue mdomo kusema..... at least atumie lugha ya picha...... manake kupenda c dhambi!
 
Last edited by a moderator:
Tulikutana kwenye interview akaraise interest na swaga zangu, mazoea akaja sema ananipenda mimi nikamwambia ni haraka sana kusema hayo aliyosema, coz ilikuwa hata miezi miwili haijapita toka tufahamiane, na akasisitiza kuwa ananipenda kikwelikweli mpaka akawa analia kwa simu coz hatukuwa tunaishi mkoa mmoja.

Kwa kuwa alilazimisha mi nikajua anataka dusherere tuu hayukom serious kivile. Basi mi nikampa kile anakitaka, mwisho wa siku nikapotea mazima.

Hata yeye ndo maana namusisitiza kuwa amuwekee mazingira ya yeye kufunguka, coz ni binti na anajua namna gani ya kumfanya mwanamme afall kwake. Akimwekea mitego yenyewe yenyewe haruki hata Chritine ibrahim.


See umekuwa mkweli bora umefunguka! Inakuwaje hapo inakuwa hujampenda? Au ulimpenda ni vile tu kaanza yeye?
Hii formula wanaume muiweke wazi! Let's say wewe pia umependa huyo gal, aaf kabla hujamwambia unakuta yeye ndo anaanza kukwambia Inakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Kibibi Jongo kama mimi nilikuwa na hisia juu yako na ukagundua hilo ni wewe kuniwekea mazingira tuu mimi nimalizie kusema, coz wengi wetu madomo zege kwa sana.

Na si Kosa mwanamke kumwambia mwanamme kampenda lakini tunakuwa waoga sana kuwakubali kivile, na ndo maana wengi wetu tunakula mpyoro na tunaacha.
 
Last edited by a moderator:

Wewe ni dada mkubwa sasa, unahitaji sehemu ya kuutuliza huo moyo wako...
..usifanye experiments wakati u can be real, nakupa ofa....try me! u never know, ukijaribu hapo mara unatoswa afu unaanza kuokota azam wastes! teeh! twende huko kwa PM basi..
 
i think she should also know the negative side ya kujilengesha...
as for me nikikustukia unajilengesha tu... nakula nasepa...then maumivu ni 2times...

Anajilengesha kwa vp sasa? Kwani wewe ukimtongoza mwanamke unakuwa umejilengesha? Yeye kakupenda kakwambia sasa kwako wewe hiyo ni mbaya? Si mnatafutaga wenye mapenzi ya dhati, sasa mapenzi ya dhati ni mpaka wewe uanze? Huoni anayekuanza ndiyo mzuri zaidi kwavile anapunguza stress za kuwaza unapendwa kweli?
Nijibu bac natamani kujua wanaume mnajisikiaje kuanzwa kuambiwa mnapendwa!
 

Kuhisi si tatizo ni nature! Tumeumbwa namna hiyo, na hatujui kwann aliyetuumba kafanya ivyo.
Hofu ni kutumiwa na kuachwa! Tunajitahidi kujichunga tusitumike ovyo ovyo mpk tuolewe mind you!
Sasa kumwambia na kukataliwa haina shida saana, kama kukubaliwa ukatumika and then mtu akasepa...
simply hakukupenda..
Kama kila unayemuaproach anakubali analala na wewe mwisho anasepa kwa mwanamke haifai...
Wanaume hata achovye na kuachwa au kuacha mara mia sio tatizo!
Nafikiri umenielewa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…