Sijui nitatokaje hapa

Sijui nitatokaje hapa

Sasa kama bado hata hajakupiga dushulele kinachokufanya ushindwe hadi kula ni jinsi anavyo vaa;anavyoongea;anavyo kula;anavyocheka au au?

Mruhusu akupige dushulele then uwajibike mno kitandani siku hiyo ili attention iamie kwake awe anakuwaza ww kila wakati!

Ni ushauri tu dada

Dah, hili mkuu gum!
..nway, bt nampenda tu the way alivyo,yaani kila kitu chake!, he cares a lot,halafu ni vitu vidogo tu vya kawaida bt 4 mi nachanganyikiwaaaaaaa
 
Christine ibrahmu dada angu hata sikushauri kumwmbia kuwa umefall, coz hawezi kataa ila atakuacha tuu.
Imenitokea hii. Jaribu kumwekea mazingira ya yeye kusema kuwa anakupenda lakini si wewe.

Nilipiga na nikatambaa na alisema kuwa kanitongoza ila anajua nitamtenda nikamhakikishia kuwa sitamtenda so umakini unatakiwa christine ibrahim
 
Last edited by a moderator:
Yaani siamini km nimependa tena jamani!!
...I real lov him 2 the xtent cwez elezea!
..tatizo langu nitatokaje hapa,hv tried bt nashindwa,najikuta naumia!coz i knw he s nt there 4 mi!!nishapungua 1kg jamani coz nashindwa ht kula vzr!! uwiiiiii
NB:he s jus a friend

...better tell him! Follow your heart mama!
 
Sijakuelewa kabisa
Unasema unampenda halafu unataka utoke?
Hii maana yake nini?

Kuna mtu anataka apoteze anachokipenda?
Nadhani hapa kuna masikhara fulani hivi!!!!!
 
^^
Mapenzi ni duara,
Unapenda..
Unaumia..
Unatendwa..
Unajitenga..
Unajirudisha..
Unafurahi sana..
Unapenda tena..
Mzunguko wa penzi ni sumaku inayovuta.
^^
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom