asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
hahaha yan kama mm nmeufunga wangu
Umri unaruhusu bibie?
hahaha yan kama mm nmeufunga wangu
Watu8,ineed him more than u think aisee
..tatizo langu nitatokaje hapa,
Kuna mapenzi bila kupeana tunda au ndo kudanganyana?Ww hyo haiwezekani mkuu
Ushampa? Kama bado kimbia....Yaani siamini km nimependa tena jamani!!
...I real lov him 2 the xtent cwez elezea!
..tatizo langu nitatokaje hapa,hv tried bt nashindwa,najikuta naumia!coz i knw he s nt there 4 mi!!nishapungua 1kg jamani coz nashindwa ht kula vzr!! uwiiiiii
NB:he s jus a friend
Ha haaaa na nyie mnashindwa nn kufunguka!?labda itanisaidia kutoka[/Q PM zimwagikaje!
Ongezea hapo ....unatendwa tena...^^
Mapenzi ni duara,
Unapenda..
Unaumia..
Unatendwa..
Unajitenga..
Unajirudisha..
Unafurahi sana..
Unapenda tena..
Mzunguko wa penzi ni sumaku inayovuta.
^^
...yapo,maamuzi tuKuna mapenzi bila kupeana tunda au ndo kudanganyana?
coz naogopa kuendelea kuumia .......na nahisi tu hawezi kunipendaKwa nini hasa unataka kutoka? Tuanzie hapo.
Kuna mapenzi bila kupeana tunda au ndo kudanganyana?
...yapo,maamuzi tu
Yaani siamini km nimependa tena jamani!!...I real lov him 2 the xtent cwez elezea!..tatizo langu nitatokaje hapa,hv tried bt nashindwa,najikuta naumia!coz i knw he s nt there 4 mi!!nishapungua 1kg jamani coz nashindwa ht kula vzr!! uwiiiiii NB:he s jus a friend
Sijakuelewa kabisa
Unasema unampenda halafu unataka utoke?
Hii maana yake nini?
Kuna mtu anataka apoteze anachokipenda?
Nadhani hapa kuna masikhara fulani hivi!!!!!
Nilikuwa najua weye ngangari huumiiii kwenye mahabati...pole banaYaani siamini km nimependa tena jamani!!
...I real lov him 2 the xtent cwez elezea!
..tatizo langu nitatokaje hapa,hv tried bt nashindwa,najikuta naumia!coz i knw he s nt there 4 mi!!nishapungua 1kg jamani coz nashindwa ht kula vzr!! uwiiiiii
NB:he s jus a friend
Umri unaruhusu bibie?
Umayala huooo... we endelea kushindwa tu na utapungua hadi ubaki huna uzitoYaani siamini km nimependa tena jamani!!
...I real lov him 2 the xtent cwez elezea!
..tatizo langu nitatokaje hapa,hv tried bt nashindwa,najikuta naumia!coz i knw he s nt there 4 mi!!nishapungua 1kg jamani coz nashindwa ht kula vzr!! uwiiiiii
NB:he s jus a friend
This is contradiction!
A big one!!!!!!
Kama hautanii
Utakua na matatizo,lazima!!!!!
Trust me!!!
...yapo,maamuzi tu
Umayala huooo... we endelea kushindwa tu na utapungua hadi ubaki huna uzito