Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,849
- 37,555
- Thread starter
- #41
Yesu wangu!!.. Tena! Lakn ndo maisha lazma unywe kikombe cha mapenz.
Yes wangu...thus lyf, no way
Yesu wangu!!.. Tena! Lakn ndo maisha lazma unywe kikombe cha mapenz.
Christine, Bado uko old stone age?? What is abomination here? To tell him frankly about your feelings ni mbaya? This is ma first day to hear such fallacy. Tafuta "Gongo" kidogo, mkaribishe kwako, mnyweshe kidogo af -tena jifanye umelewa, aftena mwambie uone reaction yake or are yu so ugly kiasi kwamba unaogopa akisikia umemtamkia hilo neno atazimia akiwa nyumbani kwako? Au atapoteza Fahamu? Basi mwandikie kimemo tu umlipe msela mmoja ampelekee kwake.
Mkuu, kumwambia sio tatizo, bt pointi yangu ni, nitaweza kuukubali ukweli,lyk,'no,haiwezekani/ninae/ckutaki etc' hapo ndo pagumu, tunaupenda ukweli ila kuupokea ni issue!
Coz ume m CC Kibibi Jongo nazani MONEY haihusiki coz utakiua kizee kile na pressure! LOL! Kizee kikisikia neno PESA tu damu inamsisimka! LOL!
abomination!!...yaani nimwambie!!?, nahisi he knws that!!
Swali langu ni moja tu kwako, je huyo mwanume unamuhitaji au humuihitaji?
But its still worth a try,kuliko kufa na donda la moyo. Kumbuka ni 50/50 chance as I said before!
Mpendwa Wee zubaa tuu!! siye tutambeba.... ukitahamaki mwewe huyoo!! wakati mbaya huu.
unapotafuta kunakupata na kukosa we funguka tu na ikishndakana bas ujue Mungu kakuepusha na jambo
Ok! kama ni hivyo basi nenda taratibu, msome tabia yake, jee yuko interested vipi kwako, anakutafuta anakupigia au mpaka uanze wewe n.k. kama unampenda muombe Mungu akuletee. Unajua mapenzi kila siku yapo na hata sisi watu wazima sometimes tuna-knock hasa hasa kwa hivi vichinchiri lakini lazima tuzuge na kupotezea!! it pains for a while baadae it goes away!!No sijawahi kuona, km ana mtu n im nt sure, cwezi kulisemea hilo coz moyo wa mtu ni kiza kinene mkuu!
Dia Chrisy, huoni kuwa vizazi vya kisasa huchezea wakati kamavile hawajaali, litakalokuwa na liwe,wanabadili watakavo wao!! Sasa siye wazamani tutafua dafu hapo? nilishaonga teenage anajihook na oldi !! pia nikaona the OLD huchukuaga under age kama waukuu!! kweli "wakati mbaya huu".....alamsiki na seet dreamsHa haaa,eti 'wakati mbaya huu'
c6Hapo ndo pagumu...kuambiwa 'ckupendi/ckutaki' ushafikiria!?
Swali langu ni moja tu kwako, je huyo mwanume unamuhitaji au humuihitaji?
abomination!!...yaani nimwambie!!?, nahisi he knws that!!
Ha haaa,umenichekesha....hapo kwny kumwambia ndo pagumu!
wahi Saudi Arabia mapema upate fidia ya 1gram ya dhahabu mdada.komaa hapo hapo upungue zaidiYaani siamini km nimependa tena jamani!!
...I real lov him 2 the xtent cwez elezea!
..tatizo langu nitatokaje hapa,hv tried bt nashindwa,najikuta naumia!coz i knw he s nt there 4 mi!!nishapungua 1kg jamani coz nashindwa ht kula vzr!! uwiiiiii
NB:he s jus a friend
abomination!!...yaani nimwambie!!?, nahisi he knws that!!