Ni bora abaki rafiki yako. ni wanaume wachache wanaweza kuchukulia kwa uzito mwanamke anapo kuwa wa kwanza kusema amependa anaweza kukubalia lakini uzito utakuwa tofauti sana kama angekuwa yeye ni wa kwanza kuweka wazi.
Ni wazi hawezi kuwa anakupenda kama unavyompenda na hata akikwambia anakupenda kama wewe unavyo mpenda muogope maana haiwezekani kabisa mkapendana sawa.
Niwazi unamuona ni nyc au kind sababu ni best friend na hakuna igizo rahisi kulicheza kama lakuwa best friend, hapo kila mtu lazima aonekane nyc, lakini linapokuja swala la mapenzi panakuwa pagumu sana maana makucha yote si rahisi kuyaficha.
Katika mchezo wa mapenzi wanawake wengi wanajua kuvaa uhusika vizuri sana na ni wazi wewe unampenda kwa dhati, lakini unatakiwa kujiuliza furaha yako inashikiliwa na nani? wewe unashindwa kula hadi unapungua, hivi unategemea ni nani atakwambia ule kama si wewe kuamua kula? furaha yako umeishika mwenyewe si mwingine? unaweza kuwa na hali mbaya zaidi kama utakataliwa ombi lako.
Sikukatishii tamaa lakini ni wazi best friend ni mzuri anapo baki kuwa best friend.
Well said! Umeshauri kwa hekima zaidi!