Sijui nitatokaje hapa

Sijui nitatokaje hapa

mpenz ht usiufungue ni hatari mno....nilikuwa pembeni naogopa hayohayo,hata sielewi imekuaje.....
It just happens my dear,tumeumbwa kupenda na kupendwa...piga moyo konde mpendwa funguka tu kwa huyo jamaa kama mwanaume muelewaji atajua kweli kapata na atakuthamini sana tu....Tatizo la pekee linaloweza kutokea ni kwamba inawezekana hakufeel and that thought is so scary!
 
Yaani siamini km nimependa tena jamani!!
...I real lov him 2 the xtent cwez elezea!
..tatizo langu nitatokaje hapa,hv tried bt nashindwa,najikuta naumia!coz i knw he s nt there 4 mi!!nishapungua 1kg jamani coz nashindwa ht kula vzr!! uwiiiiii
NB:he s jus a friend
Kwa nini ukasema he is not there for you? tayari ana mtu wake au??
 
abomination!!...yaani nimwambie!!?, nahisi he knws that!!

Christine, Bado uko old stone age?? What is abomination here? To tell him frankly about your feelings ni mbaya? This is ma first day to hear such fallacy. Tafuta "Gongo" kidogo, mkaribishe kwako, mnyweshe kidogo af -tena jifanye umelewa, aftena mwambie uone reaction yake or are yu so ugly kiasi kwamba unaogopa akisikia umemtamkia hilo neno atazimia akiwa nyumbani kwako? Au atapoteza Fahamu? Basi mwandikie kimemo tu umlipe msela mmoja ampelekee kwake.
 
Awwwwwww! She is in love again!!!!!!! LOVE IS IN THE AIR!!!!!:hug::hug::hug:

Mtege mtege tu, we mkubwa banaaa!!!!!!! Huwezi shindwa! Unakuwa all smiles, eyes contact, kumgusa gusa! You will be fine bana! Mie kubwa lako la maadui nafuatilia kwa ukaribu!
preggers.gif

Ha haaaa,kubwa la maadui...ndege mjanja kunaswa kwny tundu bovu sio mchezo!
...don wory..
Cc:kibibi jongo
 
Mkuu,wenzio wanahangaika na gym kukata weight,wewe una automatic weight reducer...bahat iliyoje mkuu...?
Back to topic,better umwambie,au omba naye out then huko mtakapoenda out try kumwekea ishara ajue unampenda.ukiona haelew,mfungukie,vunja ukimya!

kuna watu mnachekesha kwel kama ww jamaa. Duuu!
 
It just happens my dear,tumeumbwa kupenda na kupendwa...piga moyo konde mpendwa funguka tu kwa huyo jamaa kama mwanaume muelewaji atajua kweli kapata na atakuthamini sana tu....Tatizo la pekee linaloweza kutokea ni kwamba inawezekana hakufeel and that thought is so scary!

Hapo ndo pagumu...kuambiwa 'ckupendi/ckutaki' ushafikiria!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom