Sijui nitatokaje hapa

Sijui nitatokaje hapa

Hii inaitwa pata potea, raha ya mwanamme aanze yeye na awe kakupenda! Kasheshe ni pale unamwambia anakubali mnakuwa wapenzi kumbe ndani ya moyo wake hamna kitu hiyo!
Akipata anaempenda unaachwa mchana kweupe na wewe umeshainvest hapo physically and emotionally.

true mkuu, haswa haswa ukikutana na mwanaume mshe.nzi, atakutumia kisha asepe, but kama ni mstaarabu he will tell you from the beginning kuwa your not of his type au hakupendi...
 
hii signature yako ngumu sana kuitekeleza ndugu yangu, lazima utasahau kimoja
Inaelekea ulishawahi kuumizwa na mapenzi...ushauri wangu soma signature yangu hapo chini..

Fuata moyo wako lakini usisahau akili yako nyuma kwani waweza kuumizwa tena..
 
hivi kuna watu bado wana mapenzi ya kihindi karne hizi jamani!hawa ndo waleeeeee unasikia asipo nioa huyu nakunywa sumu!ladies kama uko vizur,unakila kitu nachopaswa kuwa nacho mwanamke huna haja ya kuumizwa na sisi labda uwe na kasoro,on the other hand nyie ndo mnapaswa mtukimbize sie coz mna kila kitu cha kutunyong'onyesha sie unless uwe na kasoro!:embarrassed1:
 
mie sina ma worry mydia. la muhimu kama ana mahusiano yake serious ya heshimu as leo kwa mwenzio kesho kwako upo?
...ha haa haaa,do u think I care my dia? kupinduliwa kawaida mbona!!!!!! ukitaka cha uvunguni...,by the way hata sisi tushaumizwa sana,ndo maisha ,lyf goes on......sema tu cna mpango huo nishachukua maamuzi magumuuuuu
 
Inaelekea ulishawahi kuumizwa na mapenzi...ushauri wangu soma signature yangu hapo chini..

Fuata moyo wako lakini usisahau akili yako nyuma kwani waweza kuumizwa tena..
.........kuumizwa kupo tu best ndo maisha ya mapenzi...kutumia hyo signature yako ni ngumu, bora kutoingia kabisaaaaa
 
acha uoga mwambie mwandikie hata msg madd fcbk then mwandikie yko ya moyoni kama huwezi kumweleza laivu jibu lake ndo kupona kwako hutaki endelea kupungua kilo sio vibaya una trim mwili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom