asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Hiyo kitu haipo mkuu! ukiona hivyo ujue ni kuzugana tu, na kuna mahaliAsiponipa tunda
Hiyo kitu haipo mkuu! ukiona hivyo ujue ni kuzugana tu, na kuna mahaliAsiponipa tunda
Nilikuwa najua weye ngangari huumiiii kwenye mahabati...pole bana
coz i knw he s nt there 4 mi!!
Umayala huooo... [/ Mkuu hii haijakaa sawa,halafu siyo vema kumhukumu unknown
Nakutaka radhi/nimefuta kauli.......... Pamoja na hayo, nilikuwa nakukumbusha utanzania kwa njia hiyo.... ingawa tuna utandawazi....Pls, huo umalaya hapa umekujaje!!?
..hiv mtu kumpenda mtu ni umalaya!?
..nitake radhi/futa kauli yako sio nzuri!
.. kila unaemuona hapa usimchukulie hivyo unavyofikiria!
Sawa, nishafuta kauli na nimemtaka radhiUmayala huooo... [/ Mkuu hii haijakaa sawa,halafu siyo vema kumhukumu unknown
Ooooo my GOD I have never come across that way being so lucky! I wish it could be me.
Please let it be me! Love is one big road with a lot of sites! When you drive through the road
don't complicate your mind! Please don't hate, mischief and jealous!
Love means more than sand, than the sea shore,
actually is more than numbers!
But if you receive big today, tomorrow gonna be a basket!
Have you ever seen one coco fill a bucket?
So where ever you go put your vision to reality!
Bob Marley, Wake up and Live!1976.
Hapo sijakupata vizuri mkuu ,hebu elezea vizuri unachomaanisha.We mtoto!
Hiyo kitu haipo mkuu! ukiona hivyo ujue ni kuzugana tu, na kuna mahali
Hayatuhusu. This is your private business.Yaani siamini km nimependa tena jamani!!
...I real lov him 2 the xtent cwez elezea!
..tatizo langu nitatokaje hapa,hv tried bt nashindwa,najikuta naumia!coz i knw he s nt there 4 mi!!nishapungua 1kg jamani coz nashindwa ht kula vzr!! uwiiiiii
NB:he s jus a friend
Hapo sijakupata vizuri mkuu ,hebu elezea vizuri unachomaanisha.
Sasa unasubiria nini? funguka upate poozeo la moyo wako , raha jitafutie mwenyewe... maisha yenyewe mafupi bibie!
Ww mwambie tu! Ila akitaka kuingia uwanja wa nyasi nyeus usimruhusu mapema atakukimbia
i think she should also know the negative side ya kujilengesha...
as for me nikikustukia unajilengesha tu... nakula nasepa...then maumivu ni 2times...
Dah! Best pole saana! But bora upendwe wewe kuliko mwanamke kupenda mwanaume loh! Hata sikushauri umwambie mana unaweza ishia 'mdada amwaga chozi kwa ajili yangu' soma uzi wa msandaweHalisi utaelewa nini nasema! DO NOT TRY ! IT IS DANGEROUS DESIRE!