Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
You want to tell me you never worry brother?You think positively all the time?Ok,
Sasa kwanini usimwambie huyu kuwa kutaka kuondoka hapo alipofika ni sawa na mtu anaejiuwa kwa sababu hajui kesho itakuwaje
Kama unaamini kuwa kesho inaweza kuwa njema kwako kwanini usiamini kuwa ukimwambia atakubali kama unavyoamini kesho itakuwa njema kwako?
Do you realy believe this?
If you do kwanini kwenye suala hili umemtetea sana mwenzako?
Kwanini usimwambie akubaliane na hali hlisi na akubali matokea badala ya kukimbia?
Nani amekuambia hii?
Kufikiria pande zote sawa lakini kuegemea upande mmoja tu ni matatizo na matokeo yake ndo haya ya kutokukubaliana na hali halisi
Huyu hana cha tahadhari hapa bali anaogopa
Na haya ni malezi yetu binadamu lakini bahati mabaya hayako sahihi
Maisha hayana upande mmoja tu
Pia pande zote zina faida sana kwetu
Leo ukipewa dhahabu ikiwa kwenye uhalisia wake inapotolewa ardhini hutoitaka lakini ikipitishwa kwenye moto utaipenda,moto ni negative tunazokutana nazo maishani
Ukipata uzoefu wa maumivu unakuwa bora maishani mwako,unachofanya wewe ni kumzuia mwenzako asijue uzuri wa maisha,usidhani uzuri ni mazuri peke yake ni pamoja na tunayoyaita mabaya
Wakati mwingine mabaya ni bora zaidi kwakuwa ndio yanayomjenga binadamu kuwa bora ila kama ataamua kujifunza kupitia hayo!
Thats not true you know it yourself.Besides I dont think you are getting the point...I told her to tell the guy how she feels read my previous comments!Acutally not even once several times.Stop underestimating and judging people you don´t know!This discussion is over!