Sijui nitatokaje hapa

Sijui nitatokaje hapa

Awwwwwww! She is in love again!!!!!!! LOVE IS IN THE AIR!!!!!:hug::hug::hug:

Mtege mtege tu, we mkubwa banaaa!!!!!!! Huwezi shindwa! Unakuwa all smiles, eyes contact, kumgusa gusa! You will be fine bana! Mie kubwa lako la maadui nafuatilia kwa ukaribu! :mimba:
hataki mgegedo tu anataka real love kwa huyu jamaa!!!,ila wanawake mnashindwa kuelewa kwamba ukimwambia mwanaume kwamba unamppenda ni ngumu sana kwa sisi kukataa unless otherwise uwe mbaya kupita maelezo!!!
 
bora ubaki na pengoo kuliko kung`ang`ani jina linalokuuma u will neva knw pengine itakuwa bahati yako!!
 
you are fake, the story is fake ...and you love attention

Heee! I think u ve got problem!
Ss mi nitake attention ya nani labda,nan ananijua hapa?...
...km unaona fake achana nayo,wanaona siyo fake wameshanishauri
 
Hakuna mtu anaependa kupoteza anachokipenda Eiyer!
...bt wht if unahisi tu hutopendwa!?

Huna haja ya kutaka kujua usiyotakiwa kujua kwa kuwa hutayajua kamwe
Kama hatakupenda haikuhusu
Unaweza kumpenda mwingine pia
Kuwaza kuwa hakuna kama huyo ni ujinga kwa kuwa kabla hujampenda huyo ulikuwa unaamini hivyo pia

Jukumu lako wewe ni kupenda kama hakupendi sio suala lako
Kanuni ya maisha iko hivyo!!!!!!!
 
Jamani ss hapo Eiyer ambacho hujaelewa ni nn?
..its nt a joke,true,i lov him, bt nataka nitoke coz nahisi tu hawezi kunipenda/kuwa na mi as long as i hv feelings juu ya yy badly

Haya ni matatizo ya wanawake wengi sana
Hivi kwanini mnafanya maamuzi kwa kuhisi tu?
Hamjui kuwa hisia zinaweza kuwa hazipo sahaihi ni sawa na kubahatisha
Sijui mkoje!!!!!!!

Halafu kwanini unataka kujua kama anakupenda?
Kumpenda sio dhambi,kama hatakupenda matatizo ni yake sio yako,hofu ya nini?
Kma unampenda mwambie na akikuona mjinga wewe huna kosa,yeye ndio atakua zuzu!

Sijakuelewa kwa kuwa kauli zako zinakinzana!!!!!
 
Huna haja ya kutaka kujua usiyotakiwa kujua kwa kuwa hutayajua kamwe
Kama hatakupenda haikuhusu
Unaweza kumpenda mwingine pia
Kuwaza kuwa hakuna kama huyo ni ujinga kwa kuwa kabla hujampenda huyo ulikuwa unaamini hivyo pia

Jukumu lako wewe ni kupenda kama hakupendi sio suala lako
Kanuni ya maisha iko hivyo!!!!!!!

Basi sawaaa,Eiyer umesomeka
 
Kwani unamiaka mingapi? Au domo timbulo?
 
Sijakuelewa kabisa
Unasema unampenda halafu unataka utoke?
Hii maana yake nini?

Kuna mtu anataka apoteze anachokipenda?
Nadhani hapa kuna masikhara fulani hivi!!!!!
Nilivyoelewa mimi anataka atoke kwasababu anahofia anaweza kuvunjika moyo wake iwapo atafunguka kwa huyo jamaa ikisha asiwe na hisia nae au anampenda.
christine ibrahim Mfano mzuri kabisa ni uhai...Tunaishi kila siku lakini hatujui mustakabali wa maisha yetu hatujui kama kesho tutaamka salama au ndo mwisho wa maisha yetu naweza kusema ni kama kucheza KAMARI,Tunaamka na tunamshukuru mungu kwa uhai na uzima. Thats why we have to make our lives worth living,cherish and enjoy every single moment of it.
Mapenzi ni hivyohivyo unaweza upendwe au usipendwe lakini haimaanishi kwamba you shouldn´t be able to give your heart to someone or you shouldn´t stop trying...If you love and care for someone and you that know from the depth of your heart you need them I believe you have to confide in them...So that you wont sit later and wonder maybe he could love me but i wasn´t brave enough to explore my feelings towards him...Even though things might not work as planned you might have some kind of relief because you did the best you could!
 
Ngoja nikuulize swali litakalokusaidia kufikiri,umesema kuwa anatamani kutoka kwakuwa hajui kama jamaa atakuwa na same feelings,well:
Unaweza kujiua kwa sababu huna uhakika kesho itakuwaje?
 
Ngoja nikuulize swali litakalokusaidia kufikiri,umesema kuwa anatamani kutoka kwakuwa hajui kama jamaa atakuwa na same feelings,well:
Unaweza kujiua kwa sababu huna uhakika kesho itakuwaje?
No siwezi kujiua kwasababu sina uhakika kuhusu kesho,but i am positive that there might be tomorrow for me and thats what keeps me going.
Back to the topic ,Kuna positive na negatives sides about everything,tunaruhusiwa kufikiria pande zote mbili lakini kwa usahihi zaidi ni vizuri kuwa based kwenye positivity,sasa dada yangu mpendwa anaelezea hisia zake from both sides which is OK because she is just expressing her feelings,thinking negatively might be good too because it shows that she is cautious!
 
No siwezi kujiua kwasababu sina uhakika kuhusu kesho,but i am positive that there might be tomorrow for me and thats what keeps me going.

Ok,
Sasa kwanini usimwambie huyu kuwa kutaka kuondoka hapo alipofika ni sawa na mtu anaejiuwa kwa sababu hajui kesho itakuwaje
Kama unaamini kuwa kesho inaweza kuwa njema kwako kwanini usiamini kuwa ukimwambia atakubali kama unavyoamini kesho itakuwa njema kwako?

Back to the topic ,Kuna positive na negatives sides about everything

Do you realy believe this?
If you do kwanini kwenye suala hili umemtetea sana mwenzako?
Kwanini usimwambie akubaliane na hali hlisi na akubali matokea badala ya kukimbia?
,tunaruhusiwa kufikiria pande zote mbili lakini kwa usahihi zaidi ni vizuri kuwa based kwenye positivity

Nani amekuambia hii?
Kufikiria pande zote sawa lakini kuegemea upande mmoja tu ni matatizo na matokeo yake ndo haya ya kutokukubaliana na hali halisi
,sasa dada yangu mpendwa anaelezea hisia zake from both sides which is OK because she is just expressing her feelings,thinking negatively might be good too because it shows that she is cautious!

Huyu hana cha tahadhari hapa bali anaogopa
Na haya ni malezi yetu binadamu lakini bahati mabaya hayako sahihi

Maisha hayana upande mmoja tu
Pia pande zote zina faida sana kwetu
Leo ukipewa dhahabu ikiwa kwenye uhalisia wake inapotolewa ardhini hutoitaka lakini ikipitishwa kwenye moto utaipenda,moto ni negative tunazokutana nazo maishani
Ukipata uzoefu wa maumivu unakuwa bora maishani mwako,unachofanya wewe ni kumzuia mwenzako asijue uzuri wa maisha,usidhani uzuri ni mazuri peke yake ni pamoja na tunayoyaita mabaya

Wakati mwingine mabaya ni bora zaidi kwakuwa ndio yanayomjenga binadamu kuwa bora ila kama ataamua kujifunza kupitia hayo!
 
Mkuu sijaona mchango wako...............au mtoa mada anaogopa zle fomula za LIFO na FIFO?
Ngoja nikuulize swali litakalokusaidia kufikiri,umesema kuwa anatamani kutoka kwakuwa hajui kama jamaa atakuwa na same feelings,well:
Unaweza kujiua kwa sababu huna uhakika kesho itakuwaje?
 
Yaani siamini km nimependa tena jamani!!
...I real lov him 2 the xtent cwez elezea!
..tatizo langu nitatokaje hapa,hv tried bt nashindwa,najikuta naumia!coz i knw he s nt there 4 mi!!nishapungua 1kg jamani coz nashindwa ht kula vzr!! uwiiiiii
NB:he s jus a friend

pole sana my dear Christine (halafu hili jina!!!!!!)
by the way, usimuambie huyo mkaka kama kama umefall in love kwake but show him how much you care by doing little things.....!
****Action speak louder than words****
 
What r those little things?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom