Sijui nitatokaje hapa

Sijui nitatokaje hapa

umechanganykiwa.....mwambie dingi ako akupeleke hospito upmwe akili

...for sure, ishu hapa ni uchizi sio love, yule Dr aliye msaidia bwanamdogo Lukosi anaweza kumsaidia maana naona lukosi kapunguza kupost taka ngumu jukwaani...
 
yaani siamini km nimependa tena jamani!!
...i real lov him 2 the xtent cwez elezea!
..tatizo langu nitatokaje hapa,hv tried bt nashindwa,najikuta naumia!coz i knw he s nt there 4 mi!!nishapungua 1kg jamani coz nashindwa ht kula vzr!! Uwiiiiii
nb:he s jus a friend
let love lied the way....
 
...for sure, ishu hapa ni uchizi sio love, yule Dr aliye msaidia bwanamdogo Lukosi anaweza kumsaidia maana naona lukosi kapunguza kupost taka ngumu jukwaani...

Wee wee weeee tena ukome km ulivyokoma nakwambia!
..yanakuhusu nn?umelazimishwa kuchangia hapa!!! Narudia tena ukomeeee,
..km ukoo wenu umechanganyikiwa huko huko, hunijui ckujui ...shut up u a mouth
Kazi kuharibu thread za watu hapa!
Km unaona takataka kachangie ambazo sio takatakaqau hapa mmu umeiona hii tu!!?hutaki unaacha.poor u!!
 
...kimeshadhihirika,hili ndo tatizo wala sio love, wahi milembe...
 
acha uoga mwambie mwandikie hata msg madd fcbk then mwandikie yko ya moyoni kama huwezi kumweleza laivu jibu lake ndo kupona kwako hutaki endelea kupungua kilo sio vibaya una trim mwili

Ushauri huu ungemfaa Kongosho, huyu unayemshauri unawezakuta Millen Magese mnene kwake.. #sijui
 
Last edited by a moderator:
Yaani siamini km nimependa tena jamani!!
...I real lov him 2 the xtent cwez elezea!
..tatizo langu nitatokaje hapa,hv tried bt nashindwa,najikuta naumia!coz i knw he s nt there 4 mi!!nishapungua 1kg jamani coz nashindwa ht kula vzr!! uwiiiiii
NB:he s jus a friend

Umempenda kiukweli kabisa kabisa?
Yaani ukimuona tu yaani unapata majigilili (goosebumps) yaani unaniliu yaaniiiiiiiiiiiiiiii........??????????
Kabisa kabisaaaaaaaaaaa............???????????
 
Ha ha ha, ukute huyu hata skin tait inamlegea, afu unasema atrim zaidi?

thijuiiiiiiiii....uthinchokodhe ntheme.

avatar72295_4.gif
 
abomination!!...yaani nimwambie!!?, nahisi he knws that!!

Kama ni mimi naomba ukaze tu moyo uniambie... Haha... Pole sana, unaweza kuta mshkaji mwenyewe ni 'domo zege'.
Ukisikia "Watu wamekufa na ndoto..", ujue miongoni mwao wamekufa wakisubiri watongozwe na wale wanaowapenda sana. Kaza moyo dada.
 
pole bestito jamani fanya mazoezi kwa wingi na hasa kula mbogamboga za majani zitakufanya usahau kabisa kwake halafu soma sana majarida na vigazeti ili vikusahaulishe utatoka tu hapo usijali best
Yaani siamini km nimependa tena jamani!!
...I real lov him 2 the xtent cwez elezea!
..tatizo langu nitatokaje hapa,hv tried bt nashindwa,najikuta naumia!coz i knw he s nt there 4 mi!!nishapungua 1kg jamani coz nashindwa ht kula vzr!! uwiiiiii
NB:he s jus a friend
 
Yaani siamini kama nimependa tena jamani, i real love him to the extent siwezi elezea tatizo langu nitatokaje hapa.

I have tried but nashindwa, najikuta naumia coz i know he is not there for me nishapungua 1kg jamani coz nashindwa hata kula vizuri.

NB: he is just a friend.

Any update!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom