Sijawahi kuona.....

Sijawahi kuona.....

mathematics

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
3,324
Reaction score
1,116
Sijawahi kuona Dereva wa Tax wa kike, na wewe je hujawahi ona nini mfano kitu gani, embu tiririka....
 
Sijawahi kuuona upepo,, hivi unafananaje?
 
Sijawahi kuona Paka Kwa Paka wakibanduana hadharani.
 
sijawahi kumuona Mmaasai mwenye sharubu na midevu kama Osama

kuna jamii huwa ni anti-ndevu yaani ndevu huwa hawana kabisa, hii kweli hata mimi sijawahi ona mmasai mwenye mijindevu....
 
Mi sijawahi kuona mtoto kuzaliwa siku hiyohiyo na kuongea.
 
Back
Top Bottom