Sijawahi kuona.....

wanabanduana kama binadamu, mwanamke analala chali, mwanaume anakuja kwa juu. Wanatoa miguno kama binadamu. Nshawah kuona.

Pole sana! Nasikia ukiona hiyo movie hutaoa au hutakaa tena na mke! Hata ukipata lazima utaachika au afe!
 
Sijawahi kuona Dereva wa Tax wa kike, na wewe je hujawahi ona nini mfano kitu gani, embu tiririka....

ha ha ha ha hii mimi nilimeshawahi kuona tena wako serious kweli kwenye nchi za wenzetu nilishangaa balaa
 
Back
Top Bottom