IPo ya kongoro la nguruwe, kitu maridadi sanaHivi Sehemu nyingi utakuta Supu Mbuzi/Ng'ombe Kuku,Samaki na Pweza hata wanapouza Kitimoto sijawahi kuona supu yake inauzwa
Unaitafutia wapi..!?mi natafuta wanapouza supu ya mkia wa kondoo
kitaaUnaitafutia wapi..!?
Ipo Loliondo, kibahakitaa
ok asanteIpo Loliondo, kibaha
Najisiiii....Hivi Sehemu nyingi utakuta Supu Mbuzi/Ng'ombe Kuku,Samaki na Pweza hata wanapouza Kitimoto sijawahi kuona supu yake inauzwa
Kivipi..!?Najisiiii....
Hacheui huyo dogo.... japokuwa ana miguu ya kupasuka kati...Kivipi..!?
Wajukuu wa Bi Ellen White na kobazi wa Mudi mnakosa mambo mazuri sana. Watu wanakula mdudu! nyinyi mnaleta habari za kucheua!Hacheui huyo dogo.... japokuwa ana miguu ya kupasuka kati...
Amekaririshwa ujinga na kauvaa.Wajukuu wa Bi Ellen White na kobazi wa Mudi mnakosa mambo mazuri sana. Kitimoto ni noma!