Sijawahi kuona.....

Sijawahi kuona.....

Sijawahi kuona jua linawaka usiku

Mkubwa Kijino kuna nchi inaitwa Norway nilishaenda kule nikaona wanaita 'midnight sun' hasahasa ukiwa kaskazini ya Norway panaitwa NORDCAPE jua 24 hrs ila ni baadhi ya miezi.
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa Kijino kuna nchi inaitwa Norway nilishaenda kule nikaona wanaita 'midnight sun' hasahasa ukiwa kaskazini ya Norway panaitwa NORDCAPE jua 24 hrs ila ni baadhi ya miezi.

itabidi niende nikashuhudie
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kuona Paka Kwa Paka wakibanduana hadharani.

wanabanduana kama binadamu, mwanamke analala chali, mwanaume anakuja kwa juu. Wanatoa miguno kama binadamu. Nshawah kuona.
 
wanabanduana kama binadamu, mwanamke analala chali, mwanaume anakuja kwa juu. Wanatoa miguno kama binadamu. Nshawah kuona.

He!
Hebu nipe Mojawapo ya Mguno wao wakiwa wanabanduana.
 
Sijawahi kumwona Mchagga asiyependa chapaa
 
Sijawahi kuona baba akimsimulia mtoto wake kwamba yeye alikuwa anakuwa wa mwisho darasani ,
 
Back
Top Bottom