MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,085
Pesa kiasi gani uliyo nayo at disposal?
hv mbn unataka unidhalilishe kwa niaba yake jamn
Pesa kiasi gani uliyo nayo at disposal?
Haya leo uniombe hela sawa momy
Hahah siwezi nikakudhalilisha dada ila ngoja niishie hapa!hv mbn unataka unidhalilishe kwa niaba yake jamn
Hongera sana mkuu inabidi uwekwe kwenye vitabu ya historia
Hapana lakn wengi wao kama 74% wanapenda pesa kuliko mapenzihivi sergio uandhan ni wanawake wote wanapenda kuomba omba ?
Hapana lakn wengi wao kama 74% wanapenda pesa kuliko mapenzi
Hongera yako maana jamaa huwa umuchuni hadi amekuja kutoa ushuhudasawa!
Hongera yako maana jamaa huwa umuchuni hadi amekuja kutoa ushuhuda
Aisee mzee wako anastahiri pongezi alikujenga sana kupitia huo ukali wake.hahahaah !mie had ndan siombag pesa !had baba yangu wakat nasoma sikuwa namuomba pesa !na yy ndo cause ! alikuwa mkali balaa ukiomba pesa ya shule anatoa mijicho hatar thou anakupa !nikawa namuogopa nakufa na tai shingoni !
huu ndo udhaifu wangu ! huwa nafeel aje sijui !nawaza akikataa nitajuskiaje !pyeee
Pesa enyewe ya mawazo afu anakuja kusumbua watu uku lol[emoji1][emoji1]aoni kwamba wanamuhurumia..Pesa kiasi gani uliyo nayo at disposal?
The fact tuu anasubiri mpaka aombwe ni proof without reasonable doubt kwamba pesa aliyo nayo yeye mwenyewe haimtoshiPesa enyewe ya mawazo afu anakuja kusumbua watu uku lol[emoji1][emoji1]aoni kwamba wanamuhurumia..
Asantee sanaa[emoji16][emoji16]The fact tuu anasubiri mpaka aombwe ni proof without reasonable doubt kwamba pesa aliyo nayo yeye mwenyewe haimtoshi
Kauli ya ki boya sana hii dadangu.usiitumie tena,tafadhaliNaomba hela baby