Huwaga najiongozea momy lakin wanakataa kabisahahahha beira baby boy kwa ubora wako ! hhhhaa ! we km wanawake zako hawakuombi pesa we uwe uanjiongeza tu msukuma mwenzangu ! kuna wanwake hawawez kuomba omba pesa km [HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] hapa sasa wewe uwe unajiongeza tu ! bora umeuliza jaman !
cc Kichwa Kichafu
Huwaga najiongozea momy lakin wanakataa kabisa
Unajua hata wewe siku ile nimekwambia nikutumie naul lakin ukakataa nilitaka nami hela yangu japo nitume kwa mwanamke kwa mara ya kwanza
Jana napo ndo hivo tena
Alafu nimeona cc kichwa kichafu kwahiyo jamaa siku hiz kanipiga bao
Kasahau...Mvulana haombwi elaSasa mtu mwnyw bado boy hiyo hela utoe wapi?
Momy siku hiz unanisalit
Mambo hayahitaji hasira haya.Mkuu kwahiyo siku hiz umenipiga bao la mkono mbona naona mwendo wa cc
Jibu mubashara kabisahahah sasa huon km ungetuma nauli nisingekuja ungekuja anzisha uzi nhumu nimekula pesa yako mkuu??? hapana kichwa kichafu nimemkwot ni wa nyumban huyu ! nimemkwot akupe hints kias ! ni zaid ya kaka !
humu mmi najulikana km [HASHTAG]#MBITIYAZA[/HASHTAG] NANYUPU
Utaelewa baadae kama sio siku nyingine mkuu...Sijakielewa kamanda tatizo siku hiz unaandika kama unaimba vile