Sijabahatika kupata mwanamke akaniomba pesa

wanakuona unavipesa vya vocha tu .. hawataki pesa zako mana wanaliwa nawengine ww subiri tu uletewe ukimwi wa bure .. wanaoupata hukooo wanapohonga .
Waniletee ukimwi?
 
hahahaahahahah sasa kama hela watamuomba nini?

ajiongeze kidogo na yeye loooh, nini haelewi hapo?
atafute hela kama hawatamuomba
Mhenga wangu nawe umeamua kunikandamiza et
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Toka nianze mahusiano huu ni mwaka wa 5 ni nishawah kuwa kwenye mahusiano na wanawake 25 kama si 27 lakin toka miaka yote hiyo na wasichana wote hao sijabahatika kupata msichana angalau hata akaniomba elf tano tu jaman

Msichana wangu wa kwanza na yule wa kumi na moja kuna siku nilimpa elf 30 lakin walikataa kata kata na kusema wao hawataki hela maana hawajanipendea pesa bali upendo wangu wa nguvu

Hata walipokuwa wanakuja gheto nikitaka kumpa hela ya naul walikuwa wanazikataa na kusema naul wanayo

Hata mpenz wangu mpya niliyenaye MBITIYAZA naye hajawahi niomba hata mia jana alikuwa na njaa mida flan ya mchana maana alilamika hajala nikafurah sana nikasema bora leo nami nitume hela kwa mara ya kwanza kwa baby wangu, nikamuuliza kwqnini hujala jibu nililopewa sasa et nimebanwa na kaz nilichoka kabisa wakati mimi nilitegemea jibu la kwamba leo sina hela ya kula ili nitume

Naomben ushaul wenu jaman nifanyeje ili nami nipate mschina wa kuwa ananniomba hela japo hata laki moja kwa mwez maana diomond yeye huwa anatoa laki tano kwa mwez

Nawasilisha

CC MBITIYAZA

LONDON BABY
So mpaka uombwe mkuu.tuma pesa mda huu kwa MBITIYAZA kama atarudisha.
 
Watakuwa wanakukomoa kwa kukupa papuchi hazijapigwa hata maji wiki nzima !
 
Back
Top Bottom