DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,518
Leo nmeamini hayo Maneno ya wahenga hapo juu baada ya kukutana na hizi sarakasi kutoka kwa Mchepuko wangu uyu wa siku zote mama J.
Ni HIVI,
Juzi jion baada ya mihangaiko yangu nlikwenda kwa Mchepuko wangu Kama kawaida kujipatia Haki yangu,
Baada ya tendo takatifu tukawa wote tumechoka hoi bin taaban mpk kupitiwa usngz kwa Kama saa nzima hivi. Kisha nikazinduka.
Nilipozinduka Nilihisi njaa kali Sana, tumbo linauma mpk linavibrate.
maana mchana wake nilikua bize sana mpk nikasahau kula, Kisha nikapitiliza kwenda kufanya bila kula.
Sasa,
Ikabd nimuamshe aniandalie chochote ili nistue tumbo langu hii njaa isije niua. Nikaona kachoka hoi hata hanijibu chochote. Ikabidi kujiongeza.
Nikainuka pale niende mwnyw jikoni niandae chakula Cha haraka haraka
Hata mayai manne nistue hili tumbo kidg na maziwa fresh ili nijiponye hii njaa kali.
Kweli nmeenda nmechemsha mayai manne+maziwa fresh, nmeleta kitandan wote tule, nmemwamsha, kaamka na wote tumekula.
Baada ya kula,
Tumerudia Tena tendo, tumemaliza.
nmeaga na nmeacha posho ya meza, kisha nmerudi kwangu.
Sasa Jana jion nikiwa KAZIni,
Akanipigia akinambia Hamu iko juu Sana na Hali ya hewa hii, nikasema niwewe TU, Mimi Niko fit. Basi akanambia Nikiwa natoka nimpitie kazin kwake ili twende wote kwake tukafanye. Maana Gari yake kaichukua fundi iko service. Nkasema sawa haina shida. Na Kweli nikafanya hivyo.
Sasa tumefika kwake,
Hapa na pale tumeshikana ili tuanze kufanya, Akasema Subir anahisi njaa anaomba kwanza apike chakula ale Kisha ndo tufanye.
Nikamwambia
"Unanikata moods bhana, kwann ukusema tangu tuko uko mjini Si tungekuja na chakula au ungekuja umekula Moja kwa moja?"
Akasema,
"hapana nmevichoka tu vyakula vya mgahawan kila siku, niliacha nmepika kabisa mboga yangu. Hapa chakupika ni TU ugali nile"
Nikasema,
"sawa, Basi Leo ngoja nikupikie ugali mwnyw maana ni miaka mingi Sana sijaingia jikoni kupika. Acha Nitest mitambo"
Akasema,"Sawa" Basi nikapika chakula kikaiva, nikapakua na nikamlisha kimahaba uku namimi nikimsindikiza kwa matonge kadhaa. Mpk tukamaliza kula.
Baada ya kula,
tukafanya ya kufanya, tukamaliza, nikamuachia posho ya meza, nikaondoka zangu kurudi nyumbani kwangu.
Nmefika kwangu,
Nmepigia kumfahamisha kwamba nmeshafika salama, ile Katikati ya stori kadhaa akaleta ombi lake.
" Baby plz kesho asbh Basi unapoenda kazn kwako nipitie basi na uku unipe lift Hadi kazin kwangu."
Nikamjibu,
"Wewe nae mpnz wangu ushaanza maZoea, lift siku moja ushaanza kutaka kufanya maZoea tuongozane misafara Kama kumbikumbi? Wee nae kesho kapande daladala bhana"
Akasema,
"Dala dala sipandi Mimi"
Nikamwambia,
"Hutaki daladala, Kapande bodaboda basi"
Akasema,
"Ela yeyewe ya bodaboda ujaniachia, afu BBY kwani kunipa lift Kuna tatzo gani jaman mpnz wang? Mbona kipind kile tunaanza mahusiano ulkua unanibeba vizur tu. Au ndo unipendi skuhizi"
Nikasema,
"Kipind kile tulikua hatujafikia hatua hii, anyway SAWA ntakupitia. Jiandae kabisa saa 2 kamili ntakua hapo"
Basi akakubali na tukaagana.
Leo asbh Kulipokucha,
Kama kawaida breki ya kwanza nikaamkia kwa Mchepuko ili nimpeleke kazin kwake. Iyo saa 2 nmefika ndo kwanza ameamka anatoa vyombo vichafu nje akavioshe.
Nikamwambia,
Sasa ndo Nini ujajiandaa chochote au Mimi nitangulie zangu.
Akasema,
"Hamna nisubir najiandaa chap, niache nmepika kabisa hii mboga Ili nikirudi na njaa nisipate uvivu wa kupika upya maana ntapika ugali tu"
Nkasema "sawa, Fanya haraka Basi nakusubir" Kisha nikaenda zangu kukaa seblen,kuwasha tv ili kufuatilia habar za ukraine-russia uko kwenye vyombo vya habar vya nje.
Sasa ile nmekaa,
nikaona ananiletea nyama nimsaidie kushka, akiwa anaikata kata vipande vidogo vidogo. Kweli nikafanya hivyo, alipomaliza kukata kata akaleta maji nmenawa Kisha nikaendelea kukunja nne uku nikifuatilia habari za yaliyojiri uko ukraine.
Sasa akiwa anaiosha osha nyama uko jikoni, akaja na ombi jingine kwa sauti.
"Sasa BBY wangu unajua MDA Umeenda sana, Kuliko hivyo ulivyokaa bure bure SI Bora TU tuue ndege wawili kwa jiwe Moja mpenz wangu?"
Nikamjibu, "Tuue ndege wawili kivipi yani?"
Akasema,
"Namaanisha uku Nikiwa napika mboga, wee uende hapo kibarazani Unisaidie hivyo vyombo, namimi nikimbize uku jikoni ili tuokoe muda tuwahi"
Nikamjibu,
"Hilo haliwezekani na halipo kabisa"
Akasema,
"Mmh! Kwani Kuna ubaya gani ukinisaidia mpnz wangu? Huoni naelemewa uku. Yaan nipike Kisha nioshe vyombo. Huoni tunachelewa"
Nikamjibu,
"Kwani siku zote ulikua unaishije, yaan uko serious kabisa mtu mzima na ndevu zangu nikakae hapo kibarazani eti nioshe vyombo vichafu. Bby, Are you out of your mind?"
Akasema,
"Yamekua Ayo Tena? Basi tufanye niviingize ndani Basi Kama unaona aibu watu wasikuone mpnz wangu."
Nikamjibu,
"Nishasema Iyo ya mimi kuosha vyombo hapana"
Akasema,
"Basi njoo upike mboga Basi Mimi nioshe hivyo vyombo mpnz wang"
Nikamjibu,
"Hiyo nayo haipo, yaani niache kufuatilia habar za kiDunia ukraine IMEVAMIWA nianze kuakaa hapo kujipikilisha. Huo ujinga sifanyi aisee"
Akasema,
"Wee nae imekuaje leo? Una majibu makali makali. Mbona Jana na juz umenipikia hapa. Tena umepika chakula kitamu sana tumekula"
Nikamwambia,
"Hiyo ilkua Ni hiari yangu, Leo sijiskii. Kwaiyo Usinipangie. Afu Mimi siku zote ukinipangia ndo kwanza umeharibu. Huo Ni wajibu wako wewe Kama mwanamke wangu."
Akasema,
"Sasa Nikiwa naumwa utashindwa kunipikia kisa hujiskii bby wangu au Ni wajibu wangu?, Mbona unakua hivyo lakin mpenz wangu? "
Akaongezea Tena,
"Yaan ujue baby Juzi TU apa ulikua romantic Sana, umenifata KAZIni nmefurahi na mpk ukanipikia na chakula,ukanilisha nikafurah zaidi. Yaani Nilitamani sana unafanyie hivyo kila mara. Unajua Mapenz ya kusaidizana yananoga sana mme wangu"
Nikamwambia,
"Kama kua romantic kigezo ni kuongozana Kama kumbikumbi na kuwekeana Zamu kwny kazi za ndani , Basi Mimi iyo idara ya UROMANTIC mniandikie sifuri tu mpenz wangu" uku nacheka
Akasema,
"Mmh, Aya bhana. Yaan wee Mwanaume Maneno yako magumu magumu. kwakweli Kama Ni utapeli mwanaume wewe hapa hili kabila lenu nilipigwa kabisa" huku akicheka Sana na Mimi nikacheka pia ikawa imeisha kama utani hivyo.
Mchepuko Akafanya majukum yake yote akamaliza,akajiandaa na kisha tukaondoka pale kwenye saa 4 kasoro hivi Nikampeleka kazin kwake, Kisha nikaenda zangu uko kazin kwangu.
Sasa nmekaa kazin MDA huu Nikawaza vitu vingi Sana kichwani khs uyu mchepuko wangu,
[emoji117]Uyu nmempa lift Mara Moja, keshataka kuufanya Kama ndo utaratibu.
Uyu Nikimuendekeza kwa kisingizio kutafuta nionekane ROMANTIC na kuongozana ongozana nae Kwny Gari kila Mara.
HILI suala usiri wa mahusiano yangu NJE ntakua nmeliweka rehani.
Wife atajua afu ntaharibu uko nyumbani n.k. UJINGA HUU[emoji848]
[emoji117]Uyu nmempikia Mara mbili TU nyumban kwake, keshataka kuufanya Kama utaratibu na ananipangia Zamu kabisa. Na vyombo anataka niksmuoshee kabisa kibarazani.
Uyu nikimuendekeza kwa kisingizio Cha kutafuta kua ROMANTIC, IPO siku ataniuliza kwanini Ni Zamu yangu na sijapika bado,au atakuja kunifulisha Hadi nguo na chupi zake kabisa kibarazani mchana kweupe . UJINGA KABISA HUU[emoji848]
Nilichojifunza kwenye hili,
Hawa Michepuko wana majaribu Sana, Na ukiendekeza kutafuta kua romantic sana kwao.
Kuna Wachawi watakuja kusingiziwa wamekuroga wewe, kumbe mwanaume mzima unajiroga mwnyw.
Aisee,
WANAUME MUNGU ASIMAME NA SISI NA ATUNUSURU SANA NA HAYA MAJARIBU.[emoji120]