Cataliyya
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 781
- 378
Kuna mwanamke anatafutwa humu kijanja. Mtoa mada unajitengenezea mazingira ya kuopoa madem humu JF. Hongera mkuu kwa akili kubwa
Natafutwa mie nin? muwe wawazi jmn
Kuna mwanamke anatafutwa humu kijanja. Mtoa mada unajitengenezea mazingira ya kuopoa madem humu JF. Hongera mkuu kwa akili kubwa
Ngoja nijeNjoo pm nitumie namba ya mpesa momy
Natafutwa mie nin? muwe wawazi jmn
Nitadhalaulikaje mkuu kama demu unamwambia nikutumie naul hatak anakuja kwa naul yake na hata kama ukimpa pesa hatakKwa style hiyo utakuja dharaulika siku moja.
Unapokutana na Mrembo asiyeomba Pesa ni vizuri mno, lakini jiongeze kiakili. Hata kama amezikataa, tafuta zawadi nzuri umpelekee( ila yasiwe maua)
Hata Mimi napenda demu asiyeniomba Pesa ili nimpe bila kuniomba. Tena natoa kiasi kizuri kuliko ambacho angeniomba.
-Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi utafute hata zawadi nzuri dogo.Nitadhalaulikaje mkuu kama demu unamwambia nikutumie naul hatak anakuja kwa naul yake na hata kama ukimpa pesa hatak
Hawana mbele wala nyuma mke wangu mbitiyaza ukimuona wewe si utaenda kupiga nyeto bureBasi wewe ulikuwa unachukua wanawake wasio na mbele wala nyuma...Maana najua bongo hakuna more of "Miss independent" ...lazima tu akuombe doo
Hawana mbele wala nyuma mke wangu mbitiyaza ukimuona wewe si utaenda kupiga nyeto bure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha shenz type
Jitahidi utafute hata zawadi nzuri dogo.
Atakataa Pesa lakini hawezi kukataa zawadi zako. Jiongeze tu, utakuwa unajiongezea credits.
(Nguo, Viatu, Mikoba, n.k.)
-Sent using Jamii Forums mobile app