MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,085
Aisee mzee wako anastahiri pongezi alikujenga sana kupitia huo ukali wake.
Inatakiwa nifanye mpango nije kuoa mwanao [emoji23] maana nahisi nae atakuwa anatabia kma yako ya kutopenda mitonyo
teh teh !wala sio poa ! sina hakika sana kumjengea mtoto woga wa kukupiga vibomu !teh imepelekea had mume ahis najitoshelezaaa kumbe wapiii