Kashfa iko wapi hapo? I just asked una pesa kiasi gani tayari kwa kumpatia huyo mpenzi ?Afu mwana unakuwaga na kashifa sana juu yangu sijajua ni kwanini
Mhm! Nimeshangaa sana ndo maana nikakuuliza hivo.kuanzia kwenye utawala wa kikwete mpk huu wa uncle magu wanawak wa aina hiyo wameadimika sanaKwani saiv ni utawala wa rais gan?
hahahaahahahah sasa kama hela watamuomba nini?No wonder unajiita London baby! Wanakuonea huruma usije ukafa kwa kuhudumia.
Umeona ee? Hahahaha.....huyu mkuu simuelewi kabisa mimi.hahahaahahahah sasa kama hela watamuomba nini?
ajiongeze kidogo na yeye loooh, nini haelewi hapo?
atafute hela kama hawatamuomba
hajajielewa yeye mwenyewe wewe utamuelewaje?Umeona ee? Hahahaha.....huyu mkuu simuelewi kabisa mimi.
Hahahahaa....na kweli mama. Ngoja nimuache afanye homework. Jumatatu shule...hajajielewa yeye mwenyewe wewe utamuelewaje?
hahahahah hiv ni mwanachuo eeeehHahahahaa....na kweli mama. Ngoja nimuache afanye homework. Jumatatu shule...
Bas huna nyota yaoMazense na tandale ndo kuna watoto wa kishua
Nikupe mma best!!!!koh koh koh nakohoa TU
Nikupe mma best!!!!