Sijabahatika kupata mwanamke akaniomba pesa

Sijabahatika kupata mwanamke akaniomba pesa

hahah sasa huon km ungetuma nauli nisingekuja ungekuja anzisha uzi nhumu nimekula pesa yako mkuu??? hapana kichwa kichafu nimemkwot ni wa nyumban huyu ! nimemkwot akupe hints kias ! ni zaid ya kaka !

humu mmi najulikana km [HASHTAG]#MBITIYAZA[/HASHTAG] NANYUPU
Haya lakin kuna shida sehemu
 
Kwa style hiyo utakuja dharaulika siku moja.
Unapokutana na Mrembo asiyeomba Pesa ni vizuri mno, lakini jiongeze kiakili. Hata kama amezikataa, tafuta zawadi nzuri umpelekee( ila yasiwe maua)

Hata Mimi napenda demu asiyeniomba Pesa ili nimpe bila kuniomba. Tena natoa kiasi kizuri kuliko ambacho angeniomba.

-Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kuombwa hela wewe kwako ni bahati,endelea na maigizo kwenye real life..hakika utakipata ukitakacho!
 
Basi wewe ulikuwa unachukua wanawake wasio na mbele wala nyuma...Maana najua bongo hakuna more of "Miss independent" ...lazima tu akuombe doo
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Toka nianze mahusiano huu ni mwaka wa 5 ni nishawah kuwa kwenye mahusiano na wanawake 25 kama si 27 lakin toka miaka yote hiyo na wasichana wote hao sijabahatika kupata msichana angalau hata akaniomba elf tano tu jaman

Msichana wangu wa kwanza na yule wa kumi na moja kuna siku nilimpa elf 30 lakin walikataa kata kata na kusema wao hawataki hela maana hawajanipendea pesa bali upendo wangu wa nguvu

Hata walipokuwa wanakuja gheto nikitaka kumpa hela ya naul walikuwa wanazikataa na kusema naul wanayo

Hata mpenz wangu mpya niliyenaye MBITIYAZA naye hajawahi niomba hata mia jana alikuwa na njaa mida flan ya mchana maana alilamika hajala nikafurah sana nikasema bora leo nami nitume hela kwa mara ya kwanza kwa baby wangu, nikamuuliza kwqnini hujala jibu nililopewa sasa et nimebanwa na kaz nilichoka kabisa wakati mimi nilitegemea jibu la kwamba leo sina hela ya kula ili nitume


Naomben ushaul wenu jaman nifanyeje ili nami nipate mschina wa kuwa ananniomba hela japo hata laki moja kwa mwez maana diomond yeye huwa anatoa laki tano kwa mwez

Nawasilisha

CC MBITIYAZA


LONDON BABY

Njoo kwangu
 
Back
Top Bottom