macho yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Biashara ni kushikana mikono, Nashuhudia kwa macho yangu waliokuwa wanafunga mkia darasani na uwezo wa kawaida kiakili wanapiiga mshindo

    Huku wengine tukijitamba kuweza kufika mpaka vyuoni na kuona tuna bahati kwa kupenya kwenye system kuajiriwa na kupokea mishahara ya milion 1.xx, Najiuliza mara mbili mbili nafanya kitu gani na maisha yangu navyoona kuna watu wa kawaida kabisa kiakili, kielimu, n,k wanagnga mapene ya kutosha...
  2. ngara23

    Nimepata tatizo la macho toka jana

    Macho yangu yanawasha sana na kutoa machozi mengi, pia matongotongo machoni. Naomba mwenye kujua dawa ya kutumia au ushauri wa kujitibia anisaidie. Niko na hali mbaya. Asanteni.
  3. K

    Sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi

    Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi. Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za...
  4. NALIA NGWENA

    Haya ndiyo mambo ya ajabu niliyowahi kuona na kushuhudia kwa macho yangu, sitoyasahau katika maisha yangu

    Dunia Ina Mambo mengi sana na ni rahisi sana kupinga au kubisha Kama hayo Mambo ya ajabu hujayashuhudia na pia ni Bora uwe unasimuliwa tu na usije kukutana nayo maana unaweza ukadhurika ama ukawa hai. Naam leo nimepata muda nikaona ni Bora nishee haya machache niliyokutana nayo katika huu...
Back
Top Bottom