Anthony Dialo amuomdoa Mwenyekiti wa CCM Mwanza; ajiandaa kuchukua nafasi

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Figisu zinaendelea kwenye mikoa na wilaya ambapo wale viongozi wasio na uwezo wanarejeshwa kwenye nafasi za uteuzi ili wazee waweze kushika nafasi za juu kwenye chama

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza baada ya kuonekana uwezo wake ni mdogo amepelekwa kwenda kusimamia uchaguzi huko Mtwara.

Hivi karibuni wanaccm mbalimbali watapelekwa kuwa wakurugenzi na watumishi wa umma ambao ni wakurugenzi wa watarejeshwa ofisini hadi uchaguzi ukamilike.

Hii iliyotokea Mwanza iwe fundisho kwa wapinzani kwamba mahakama haina nguvu mbele ya CCM na tume ya uchaguzi hata wabadilishe sheria haitaruhusu wao kutangazwa.

Wafanye maamuzi sahihi kushiriki au kutoshika na wakishiriki wasilalamikie kuchezewa rafu
 
Back
Top Bottom