Sifa za wanawake wa DSM, utaoa au huoi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa za wanawake wa DSM, utaoa au huoi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sumbalawinyo, Jul 6, 2011.

 1. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Mwanamke wa Dar ni muongo. Akijua tu kudanganya
  basi hiyo imekula kwako. Atakuwa na sura mbaya,
  atakudanganya na urembo. Atakuwa
  mweusi tiii atakudanganya na mkorogo.
  Atakuwa na tabia mbaya, atajificha
  kwenye kivuli cha kwaya.
  Mwanamke wa Dar lazima awe anajua
  kudanganya.
   
 2. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nenda zako huko, kwa kuwa umedanganywa wewe, basi kila mwanamke wa dar mwongo? Wewe vipi? Mbona sisi tumeoa hukohuko dar na wake zetu ni wazuri tu na wanaheshima zote pengine kushinda hao wa kijijini. Ukishindwa, unakimbilia kugeneralize!!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  mjibu bujibuji
   
 4. H

  Handsome Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mi sijui bana,illa siwapendi,the city is some how rotten off,ie immoraly viewed.
   
 5. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Msema hovyo umesema hovyo!
   
 6. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Watakuwepo wanaofaa (wenye sifa nzuri.) Ila mimi hata kwa bunduki sioi Dar!!!
   
 7. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kuoa ama kuolewa ni uamuzi wa mtu..! kutoka kijiji cha katerero mpaka Dar, a woman is a woman! kikubwa ni mapenzi ya kweli
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  sasa ukioa kijijini ukampeleka dar aftr 2 yrs si na yy atakuwa wa dar tu? tena afadhali wa dar mzoefu,hao wa chijijini ndo huwa wanadandia gari kwenye bonnet,lazma aishie uvunguni. wanaume wa dar waongo ndo maana nao wanadanganywa na wanawake, ulishawahi kuwaza hivi?
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Don't become frustrated with things you can't control forget about changing them, instead learn what the rules are and use them to your benefit
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahahaaaaa,usimuuumbue mwenzio leo amepost kitu
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  Heee, achana na 'samaki mmoja akioza wameoza wote'. Ulizoea kuparamia miamba imekuumiza ona sasa unalalama.
   
 12. A

  Aine JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwanamke wa Dar? anayeishi Dar au mwenye asili ya Dar?
   
 13. M

  Marytina JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hadithi hadithi
  hadithi njoo utamu kolea
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,232
  Trophy Points: 280
  hujawatendea haki wanawake.....
  hivi kumbe weusi wote ni wabaya eeeeeh? ndo maana mikorogo yapakwa? na wale weupe ambaobado wanapaka cream na dawa za kujichubua unawaambiaje?

  pia ina maana waimba kwaya wote wanatabia mbaya ndo maana wameingia kwenye kwaya?(nimegeneralize kama ulivyofanya)

  kwa lugha nyingine wanawake wote wa dar waongo? maana kwenye kijani hapo umetumia neno lazima?

  na kuhusu swala la uongo, uongo hauna jinsia mkuu hauna umri wala kabila....
  na uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu
  halafu kama umetendwa usilaumu wanawake wote, na wanawake nao wakija hapa wakalaumu wanaume wote si itakua balaa? ukitendwa/ ukidanganywa mlaumu aliyekudanganya na jilaumu mwenyewe kwa kushindwa kuchagua vyema au kuruhusu kudanganywa.

  all in all pole sana....
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  samahani haina gharama
  kusema samahan ni uungwana

  NAKUNGOJA....nakusikilizia....
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Itabidi akumbuke ule msemo unaosema Samaki mmoja akioza unamtoa huyo mmoja unamtupa hao wengi unawaacha kwa hili naona kama vile ni kuwakashifu wanawake wote kwakuwa sio wote wenye tabia hizo wakati wapo wengine wenye tabia nzuri na waadilifu.
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0


  dar ninin?
  wenyej wa dar wakoje?

  kama umezaliwa kishumundu ukakulia kibohehe ukasoma old mosh ukamalizia shidwedwe afu ukaenda kufanya kaz nachingwea sasa umehamia nanjililinji SIKUSHAURI KUOA DAR.

  afta low wa dar awez kukubali kuolewa na mtu km wewe..JEMBE....si mshamba..cz afadhali mshamba anakuja mjin mara moja moja kutafuta masoko  ACHEN KUTUSI WATU NYIE KIMA....dar..dar ..imewabaka?
  umetoka shamba umekuja twn kuuza korosho jion ukaenda jollie ukakutana na wadada wenye mji y wasikutengeneze...N THAT DOESNT RATIFY OL GALS IN DAR R....just umekuja macho juu watu wakakutengeneza macho yaawe chin...
   
 18. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  akikujibu tafadhali kukumbuka kunitaarifu UMEJIBIWA NIN
   
 19. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mbona imekutachi/imekuchoma sana wewe mojawapo nini?

   
 20. charger

  charger JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kama unadanganyika.Mambo ya NGOSWE SI UMWACHIE NGOSWE MWENYEWE!
   
Loading...