Sifa za wanawake wa DSM, utaoa au huoi?

Sifa za wanawake wa DSM, utaoa au huoi?

dar ninin?wenyej wa dar wakoje?kama umezaliwa kishumundu ukakulia kibohehe ukasoma old mosh ukamalizia shidwedwe afu ukaenda kufanya kaz nachingwea sasa umehamia nanjililinji SIKUSHAURI KUOA DAR.afta low wa dar awez kukubali kuolewa na mtu km wewe..JEMBE....si mshamba..cz afadhali mshamba anakuja mjin mara moja moja kutafuta masokoACHEN KUTUSI WATU NYIE KIMA....dar..dar ..imewabaka?umetoka shamba umekuja twn kuuza korosho jion ukaenda jollie ukakutana na wadada wenye mji y wasikutengeneze...N THAT DOESNT RATIFY OL GALS IN DAR R....just umekuja macho juu watu wakakutengeneza macho yaawe chin...
Ha ha haaa, khaa! Bidada nini kimekuudhi hapo?! Kusema wapo wanaofaa au kujibu swali la mtoa mada? Huyu unayemuita KIMA ametofautiana na mtoa mada kwa kumwambia kuwa wapo wanaofaa, halafu amemjibu swali lake kuwa hata kwa bunduki haoi Dar, sasa taabu iko wapi? Inakuwaje imekuudhi hivo kwa KIMA kusema haoi Dar?! Je kama ameamua kua ataoa Arusha, Mbeya, Dodoma, Zanzibar au huko ulikotaja wewe, hana haki ya kujibu kuwa haoi kule asikopenda kuoa?! Kuoa dar haijalishi umezaliwa wapi, na kuzaliwa Namtumbo haina maana kuwa utaoa Namtumbo, wapo wazaliwa wa dar wengi wameoa nje ya dar... UHURU WA KUAMUA/KUCHAGUA!!!
 
Mkuu Bujibuji, hii sredi ina swali fupi sana, unaoa, huoi!!! Inaonekana kila atakayejibu anatakiwa ajibu kuwa anaoa kwa nini?!
 
sasa ukioa kijijini ukampeleka dar aftr 2 yrs si na yy atakuwa wa dar tu? tena afadhali wa dar mzoefu,hao wa chijijini ndo huwa wanadandia gari kwenye bonnet,lazma aishie uvunguni. wanaume wa dar waongo ndo maana nao wanadanganywa na wanawake, ulishawahi kuwaza hivi?
Sasa hapo umetofautiana vipi na mimi??! Nimesema watakuwepo wanaofaa. Kuonyesha napingana na mtazamo wake. Halafu nikajibu swali lake kuwa hata kwa bunduki sioi Dar, au hujaona swali?! Sina haki ya kuamua naoa kutoka wapi? Nadhani swali lake lina majibu matatu: naoa, sioi, sijui!!!
 
Dar kubwa jamani au mwenye swali hajiulizi? Dar karibu na bagamoyo? Au mtaa wa ohio? Dar kule TMK au Kinondoni! Dar kwa wajanja au karibu na Ikwiriri? Dar kubwa jamani, yule aliyekaa karibu na bahari si sawa na yule aliye pembezoni mwa Dar karibu n mkoa wa pwani. Dar ya kwa mfuga mbwa au ya wafuga kuku?
Wengine ni machotara hapahapa Dar. Huyu amechukia mkoa na watu wake na aseme maana wengine born town here here na wanaoa here here na kufa here here. Aseme tatizo lake nini na siyoo kuchukia bure
 
Huku ni kuharibiana wajameni....na unavyosema mwanamke wa dar unawachanganya wote wazaliwa hapa na wakuja au unatenganisha?
 
Mwamamke wa Dar ndio nini?
Tatizo wataka ucyoyaweza umechemka ndo waleta majuto yako.
Ungechagua mweusi asiye mrembo na acwe na dini kabisa wala yacngekukuta.
Wajifanya mchagua nazi umeokota koroma.
Uwe na adabu usigeneralize,eti wanawake wa Dar!
So akija mgeni toka ufipa akapokelewa ubungo na taxi driver shoga basi akirudi kwao akaseme wanaume wa Dar...!
Ushakua nao wangapi wanawake wa dar hadi kutungia thread? Na wote hao wakudanganye wewe tu? Kama ni kweli Rose1980 hajakosea hata kidogo!!!
 
Ni bora aliezaliwa Dar akakua akakta uongo wa Dar kuliko mnaoenda kuoa huko kijijini wakaja kujifunza uongo wa Dar hao ndo wabaya zaidi. Jama ila sio wote lakini hukubali kujifunza degree hiyo ya uongo!
 
kudanganywa ni sehemu ya maisha kaka! pia uimarisha penzi,ishu umedanganywa kwa kiwango gani!
 
dar ninin?
wenyej wa dar wakoje?

kama umezaliwa kishumundu ukakulia kibohehe ukasoma old mosh ukamalizia shidwedwe afu ukaenda kufanya kaz nachingwea sasa umehamia nanjililinji SIKUSHAURI KUOA DAR.

afta low wa dar awez kukubali kuolewa na mtu km wewe..JEMBE....si mshamba..cz afadhali mshamba anakuja mjin mara moja moja kutafuta masoko



ACHEN KUTUSI WATU NYIE KIMA....dar..dar ..imewabaka?
umetoka shamba umekuja twn kuuza korosho jion ukaenda jollie ukakutana na wadada wenye mji y wasikutengeneze...N THAT DOESNT RATIFY OL GALS IN DAR R....just umekuja macho juu watu wakakutengeneza macho yaawe chin...

Baelezee! Baelezee! Mji una watu wake huu ukija kichwakichwa itakula kwako.
 
Mjini Dar es Salaam njoo na akili zako tu, tabia utaikuta hukuhuku
 
dar ninin?
wenyej wa dar wakoje?

kama umezaliwa kishumundu ukakulia kibohehe ukasoma old mosh ukamalizia shidwedwe afu ukaenda kufanya kaz nachingwea sasa umehamia nanjililinji SIKUSHAURI KUOA DAR.

afta low wa dar awez kukubali kuolewa na mtu km wewe..JEMBE....si mshamba..cz afadhali mshamba anakuja mjin mara moja moja kutafuta masoko



ACHEN KUTUSI WATU NYIE KIMA....dar..dar ..imewabaka?
umetoka shamba umekuja twn kuuza korosho jion ukaenda jollie ukakutana na wadada wenye mji y wasikutengeneze...N THAT DOESNT RATIFY OL GALS IN DAR R....just umekuja macho juu watu wakakutengeneza macho yaawe chin...
after low [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Proffesor J alienda kuoa kijijini alipomtembelea bibi. Alimleta jijini Dar na kilichomkuta alituletea mrejesho. Msiooa Dar hamko salama pia!!! Hili ni angalizo tuu!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom