Hivi ni mikoa gani ya Kaskazini ambayo ina maendeleo kuliko Mbeya ukiachia Kilimanjaro?
Mnyika, mbona hukupita kule kwa prof. Mwandosya?
Binafsi ningependa kuona CHADEMA wakitumia hata nusu ya muda wao kuongelea sera zao badala ya kutumia asilimia 100 kuiongelea CCM.
Ukifika uchaguzi, CCM itawatema mafisadi hata 20 na kujifanya kimesikiliza maoni ya wananchi. Inatakiwa kuwashinda CCM hata kwa sera za maendeleo ikiwa ni pamoja na kuonyesha kwamba wilaya ambazo zinaongozwa na wao zina nafuu kimaendeleo kuliko hozo za CCM.