Mie mwenyewe naamini kama wewe Ecomically it doesn't sound.Inawezekana tatizo hapa ni lugha. I mean, kwa nini ugeuze gas iwe dizeli? Tayari una mafuta ya taa, kwa nini uchukue gas utengeneze mafuta ya taa mengine?
Nadhani unachosema ni CGD - City Gas Distribution - ambapo viwanda na taasisi kama barracks au hospitali, na watu wa kawaida.
Pia, magari kama ya mwendokasi au uber au bajaj zinabadilishiwa injini yake itumie gas badala ya dizeli au petroli. Gas is cheaper than dizeli than mafuta ta taa. Au sijakuelewa?