Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG

Nijibu haya maswali:
Unaweza kutumia gesi kwenye ndege?
Unaweza kutumia gesi kwenye meli?
Unaweza kutumia gesi kwenye magari makubwa?
Unaweza kutumia gesi kwenye heavy machines?
Unaweza kutumia gesi kama lubricant kwenye injini?
Ukinijibu hayo maswali basi gesi itakua valuable kuliko mafuta.
Dangote malori yake yote hapa Tanzania yanatumia gesi
 
Asante sana. Ngoja.
I am still unimpressed. SASOL ilikuwa Kampuni ya kimkakati IliYopewa kazi ya kulinda Apartheid, literary by cracking oil from coal. Pia walikuwa na nuclear facility at Benoni, they had (have) capacity for a nuclear bomb which is alleged to have been dismantled by the new ANC Administration. Kwa vile lengo kubwa ilikuwa kuhimili Apartheid AT WHATEVER COST, the cost ratios were terrible. Kwa vile technology wanayo lakini malighafi hawana, kazi yao kubwani kuzifuata nchi zenye gas - iliwamo in Mozambique Cabora Basa na gas fields in the Indian Ocean. Sitashangaa kama hawajaja hapa kwetu, see they have gone all the way to Mongolia. Your guess is as good as mine but I personally can't see how you can make GTL sustainable. CGD imestawi sana India - financing yake ni kupitia stock exchange, not sovereign MoUs like these zina harmful ya ufisadi. Ni bora kuongea na Toyota na Fiat na UDA watengeneze engine za gas moja kwa moja, watu kama mwendokasi na Ngorika Bus walazamishiwe kwenda gas. TANESCO wana supply mains ya umeme, GASCO wataweka grid ya gas. Wanaochoma mkaa Dar es Salaam ba kuni Usukumani ni bora kuwapekekea CGD.
 
Badala ya Kubadili efficiency ni kutumia kama ilivyo...., Conversion comes with energy loss
 
Watu wa mtwara wao wanasema gesi yao iko tumboni.

Tanzania bado tunamaliza misitu kwa kupikia kuni badala ya gesi nyingi tuliyokuwa nayo, wenzetu wanabadiri gesi kuwa likwid Pierre
 
Mtwara ni kama Jimno la Gujerati kule India CGB yao ni second to none.
 
Usitumie nadharia sana, hizo product zinazopatikana hapo ni za thamani kuliko gesi, liquid fuel are very valuable than gaseous fuel.
Apart from transportation benefits (ni rahisi kusafirisha liquid kuliko gasses), hakuna tija kubwa kama kuna uwezekano wa kuweka pipeline na kufikisha hio gas sokoni au inapotumika, kama hakuna uwezekano wa kui-transport cheaply then conversion makes sense ila kama inaweza kufika kwa mtumiaji cheaply no need to convert....

Sababu it can be used in cars, industries and household uses as is...., without loss of energy which would have otherwise happened during conversion... Na pindi bomba lishafika Dar na kuna uwezekano wa kulipeleka huku na kule hakuna sababu ya ku-complicate the issue
 
Kiuchumi mkuu hakuna haja ya kujali energy inayopotea wakati wa kuprocess. Tunachoangalia ni value ya product tutakazo zipata, ambazo zikiingia sokoni, kwanza zitatupatia fedha nyingi tena kwa uharaka na pili zitakidhi mahitaji ya Watanzania hata wale wa kipato cha chini. Gesi asilia mpaka mtu wa kawaida aitumie panahitajika miundombinu ya maana. Mtu wa kipato cha kawaida kijijini huko hawezi kuingiza pipe ya gesi ya kupikia ndani mwake, hivyo ataendelea kuisikia kwenye bomba tu. Labda nikuulize wewe mwenyewe umewahi kuiona hiyo gesi tangia ianze kuzalishwa si huwa unaisikia kwenye bomba tu. Ili uitumie kupikia lazima iwe kwenye pipe tofauti na hizi gesi za LPG za akina Oryx na Mihani. Lakini tukiwa na mafuta hata bodaboda wa kijijini atayatumia.
 
Nadhani ni njia nzuri kukabiliana na janga la mafuta kupanda kila uchao...lakinu pia niliwahi kusikia kuna miti inalimwa hapa TZ inazalisha diesel naona ikawa bla bla tu
 
Nadhani ni njia nzuri kukabiliana na janga la mafuta kupanda kila uchao...lakinu pia niliwahi kusikia kuna miti inalimwa hapa TZ inazalisha diesel naona ikawa bla bla tu
Itakua walisitisha Ila inawezekana Brazil wanafanya, Dizeli sio kazi kuzalisha kwa kutumia mafuta ya mimea. Hapo nyumbani kwako unaweza kuzalisha vizuri tu. Ila kuna raw material inatakiwa uwe nazo.
 
Kwa nini sisi hatufanyi hivi
1. Labda hatuna teknolojia na mtaji
2. Labda waarabu wanatuhonga ili tusizalishe mafuta kama wao tukafaidi kama wao
3. Labda hatuna akili hiyo au wazo hilo
4. Labda tunaogopa kuneemeka na kuwa 'dona kantri' na kwamba kuneemeka si kwa nchi ya Afrika
 
Back
Top Bottom