Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,423
Okey! Unaonekana wewe ni Gangwe fulani pia ni msela sana, let's get back to the Topic. Tusihamishe mjadala na kuharibu maudhui ya uzi na mleta mada, labda watu muna visa vyenu hatuwezi kujua.Wavivu kama nyinyi ndio mtam envy,lakini sio sie,hana chochote kipya anachokibuni vyote viko, inategemea na knowledge yako ya kujali afya yako ikoje,ni bora ya yule Dr Ngoka kuliko huyo mtu wenu,to me mshana jr nimefaidila na maandiko yake kuliko huyo mtu wenu.,anyway labda wewe ndio MziziMkavu mwenyewe unajiteteta ningeomba utoke kivingine, au huko Uturuki uliko jaribu kupeleka ma investors wa madirisha ya Upvc Nyumbani Tz.