Si salama kujenga juu ya makaburi

nenda ile stand ya daladala ya zamani ya arusha mjini pale usiku kuanzia saa 6 ujionee mambo ya ajabu.lile eneo nalo walihamisha makaburi
mkuu acha uwongo...mbona watu tunakesha pale,sijawai kuona kitu cha ajabu
 
Mshana,nataka kwenda kumsabahi marehemu babu zangu na bibi katika makaburi yao. Nini nifanye nipate baraka zao ? Au watu hufanya nini unapoenda kusalimia wafu katika makaburi yao?
 
Mshana,nataka kwenda kumsabahi marehemu babu zangu na bibi katika makaburi yao. Nini nifanye nipate baraka zao ? Au watu hufanya nini unapoenda kusalimia wafu katika makaburi yao?
Nenda beba vitu walivyokuwa wanavipenda sana katika maisha yao ya duniani
 
Mimi Tabia yangu huwa sishindani na mtu katika kuweka Topic humu jamvini niko busy sasa na wagonjwa wa Ukimwi, wagonjwa wa Hepatiti B Virus na wagonjwa wa Saratani ndio maana sijaweka siku nyingi Topic mpya. Nimemuachia Mkuu.@Mshana jr aendelee kuweka vitu vyake hongera.
achana na wajinga mkuu wanalazimisha ligi isiyopo
 
Back
Top Bottom