Si salama kujenga juu ya makaburi

Si salama kujenga juu ya makaburi

We ni mchawi nimesoma comment zako nmegundua una roho mbaya hata shetani atakuogopa,mtu kutafuta rizki imekua nongwa kwako?haya tangaza huduma unayotoa wewe ili tuje kwako basi.shame.
Nyingine hiyo,mmaandika lakini?
 
Halafu nyie ndio wale mnaoanzisha Mada, huku mnajipa like huku mnaji criticize, huku kwengine mnacomment,kwengine mnalilia ban,kwa nn usibaki na id yako moja tu?.Yakhe kitu kidogo kama hiki unaamua kujionyesha kwa wewe ndio fulani,Haya nasubiria id yako nyingine unijibu,nazihesabu tu.
Dah!! Mkuu wewe kama hautoi hizi comments ukiwa kwenye hali ya jokes basi utakua na matatizo mahali, ingawa si lazima niwe sahihi.
Nunajaribu kukuelewa ila naona sikusomi kabisa.
 
Hicho kisima cha maji watu bana na imani zao wanayachukua maji hayo eti kwa mpenzi hakubandukiii, [emoji12][emoji12]... Mie niliyachukua nikauliza kama yanaleta helaa wakasema ooohh wanatengeneza mazingira ya mapenzi tu oohh nyiingi hamna cha hela wala nn, mfyuuu nikayanawia uso tu, sijapata mpenzi wala hela [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] au kwa vile nilinawa usoo tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah!! Mkuu wewe kama hautoi hizi comments ukiwa kwenye hali ya jokes basi utakua na matatizo mahali, ingawa si lazima niwe sahihi.
Nunajaribu kukuelewa ila naona sikusomi kabisa.
Jaribu kwenda deep Zaidi ndio utanielewa,lakini kama unaangalia comments zangu kwa macho ya mawili hutaambulia kitu
 
Acha kuishi kwa hofu..aliyekufa amekufa..ni saw na kulala usingizi mzito..
 
Jaribu kwenda deep Zaidi ndio utanielewa,lakini kama unaangalia comments zangu kwa macho ya mawili hutaambulia kitu
[emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji87] [emoji86] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
723dbc7262cc2b870745e01e34bf17f5.jpg

Pale ndipo penye makazi ya wafu, watu waliokuwa hai na kuishi juu ya ardhi sasa wameshuka na kupumzika pale ! Ile ni miili tupu lakini tusisahau kuwa roho zao hazichezi mbali hata kama zitaenda kutangatanga huko na huko lakini ile energy ipo pale

Kujenga chochote juu ya makaburi ni kutafuta bifu na marehemu ni kuwaingilia kwenye makazi yao rasmi! Kwani huna pengine pa kujenga?
Makaburi ya zamani yalikuwa makubwa sana, mengi yalijengwa mfano wa nyumba milima nk angalia ma pyramid ya Misri nk...makaburini ni sehemu iliyoheshimika mno na kwa namna fulani kuogopwa

0ff5815e92266564cfac029359b38645.jpg

Wengi wetu tunajua kabisa kule vijijini tuna maeneo rasmi ya kifamilia ya kuwazika waliotutangulia na makabila mengi hufika makaburini mara moja au mbili kwa mwaka kuyafagilia kufanya ibada na matambiko! Kwa baadhi yetu hata mambo yanapoharibika kifamilia au kiukoo hurudi makaburini na kuomba rehema ulinzi na hata msamaha kwa wakubwa Waliolala pale

Kuna visa vingi vya makaburini vingine vya kweli vingine vya uongo na vingine vipo lakini vimekuzwa mno...pamoja na hayo yote bado makaburini panabaki mahali maalum penye kustahili faragha na heshima yake
Tunavyo visa vingi kwenye maeneo yote ambayo makaburi yaliondolewa ama kuhamishwa kiholela kwa ajili ya kufanya mambo mengine kama ujenzi wa shule hospitali barabara nk nk...maeneo hata yamekuwa yakikumbwa na matukio mbalimbali hasa ajali na vifo

Dunia yetu ya kisomi na maendeleo ya kiteknolojia inatupumbaza na kutufundisha ujinga mwingi...tusitekwe na mambo ya kisasa na kisayansi...makaburini kuna maisha ya wafu paheshimiwe

419695739090b4454eaddc0d49ac8524.jpg
 
Nimekumic mm bhana, ebu tuletee ya Vidonda vya Tumbo bhana watu huku mitaani wanatapeliwa na Herbal Clinics/Hospitali hawaponi.

Tafadhali sn, shule yako huwa ni nzr sn. Japo mm sina ila naweza jifunza kujikinga.
Mimi ninayo dawa ya kutibu maradhi ya vidonda vya tumbo kwa siku 30 unapona ukitumia dawa yangu. Ukisha maliza kutumia dawa yangu nenda kapime hospitali utakuta huna tena vidonda vya tumbo akihitaji mtu tiba toka kwangu anaweza kunitafuta kwa wakati wake.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Ndo laki ngapi vile
 
Back
Top Bottom