Si salama kujenga juu ya makaburi

Si salama kujenga juu ya makaburi

Duu sasa mimi nimelala nazo mochwari zaidi ya mwaka na nyingine nimezibutua mno kwa kibiriti cha gesi kwenye yake matanuri ya kuchomea (sio hapa nchini lakini )na nilikuwa nikimaliza nagonga msosi kama kawa tena hata nyama choma....nikikumbuka yale maisha najiona kama sio mimi [emoji144] [emoji144] [emoji134] [emoji85] [emoji87]

Mshana, Una umri gani Mkuu? Nauliza tu maana Mhhh! Yaweza kuwa tunaongea na kikongwe hapa, full maarifa, safi sana.
 
Mshana, Una umri gani Mkuu? Nauliza tu maana Mhhh! Yaweza kuwa tunaongea na kikongwe hapa, full maarifa, safi sana.
[emoji23] [emoji25] [emoji23] almost half way to the highway. ..I mean heaven
 
Mimi Tabia yangu huwa sishindani na mtu katika kuweka Topic humu jamvini niko busy sasa na wagonjwa wa Ukimwi, wagonjwa wa Hepatiti B Virus na wagonjwa wa Saratani ndio maana sijaweka siku nyingi Topic mpya. Nimemuachia Mkuu.@Mshana jr aendelee kuweka vitu vyake hongera.
huwaga nakubali sana simulizi na hadithi zako, remember beka wa tanga, lini tena mkubwa mambo hayo!
 
Mkuu.@Enzymes dawa yangu ya kutibu vidonda vya tumbo nikikupa ukitumia ni muda wa siku 30 utapona na utakula chakula chochote kile bila ya wasiwasi. Dawa yangu ni ya uhakika kutibu huo ugonjw awa vidonda vya tumbo aka (ulcer). Kam kuna mtu anahitaji au wewe una hitaji unaweza kunitumia kwa Email aka baruw aya pepe Email address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com au waweza kuni add kwenye What's App au Viber account namba yangu hii hapa +90-534-450-8169 ili tuweze kuzungumza Live asante .
Umenivutia Mzizimkavu. Hiyo dawa ya Vidonda vya Tumbo katika kuitumia ina masharti gani?
 
Inawezekana bunge letu lilijengwa juu ya maeneo ya makaburi,maana upuuzi wa mle ndani sijui ndo laana ile
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kinachokufa ni mwili uharibikao sio roho! Roho huishi milele haifi
Mshana jr, niambie suala zima la kuziombea roho zilizokufa/marehemu. Hii ipoje, nijuze kwa mitazamo yoyote unayoilewa mie nitachanganya na akili yangu[emoji12]. Pia kama kuziombea dua/toba kuna utaratibu gani?
Maana nikienda kidini kuna imani zingine haziamini wala kuruhusu kuombea marehem na wengine zinaruhusu ila mahitaji ya kuombea nayo ni pasua kichwa. Sasa tufikirie nje ya box nipe mwaga
 
Yule MziziMkavu hana lolote, kazi yake ni kuka na hadithi za tangawizi na malimao,ukiyasaga ni tiba,vitu concrete kama vya huyu mshana jr haviwezi,yule kwanza lugha ya mama Eliza inampiga chenga na uhondo wote umeandikwa kwa lugha hiyo.
Yaani humu hata kama hutaki kucheka unajikuta tu kinywa kishafunguka
 
Yana maajabu mengi kikiwemo kile kisima kisichokauka maji
Hicho kisima cha maji watu bana na imani zao wanayachukua maji hayo eti kwa mpenzi hakubandukiii, [emoji12][emoji12]... Mie niliyachukua nikauliza kama yanaleta helaa wakasema ooohh wanatengeneza mazingira ya mapenzi tu oohh nyiingi hamna cha hela wala nn, mfyuuu nikayanawia uso tu, sijapata mpenzi wala hela [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] au kwa vile nilinawa usoo tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hahhahahaaaa
 
Mshana jr, niambie suala zima la kuziombea roho zilizokufa/marehemu. Hii ipoje, nijuze kwa mitazamo yoyote unayoilewa mie nitachanganya na akili yangu[emoji12]. Pia kama kuziombea dua/toba kuna utaratibu gani?
Maana nikienda kidini kuna imani zingine haziamini wala kuruhusu kuombea marehem na wengine zinaruhusu ila mahitaji ya kuombea nayo ni pasua kichwa. Sasa tufikirie nje ya box nipe mwaga
Yale maombi hayana msaada tena kwa marehemu bali roho inayoendelea kuwa hai...na msaada wenyewe ni kwamba itulie pale ulipo mwili na isiwe roho ya kutangatanga au kugeuka mzimu
 
Yule MziziMkavu hana lolote, kazi yake ni kuka na hadithi za tangawizi na malimao,ukiyasaga ni tiba,vitu concrete kama vya huyu mshana jr haviwezi,yule kwanza lugha ya mama Eliza inampiga chenga na uhondo wote umeandikwa kwa lugha hiyo.
Acha dharau MziziMkavu si wa kumdharau kihivyo. Kunacwatu wengi humu wamefaidika sana na maandiko yake.
mshana jr na MziziMkavu kila mmoja anawajibika katika ku share nasi kile wanachokifahamu kwa manufaa ya kila mmoja humu.
 
Wavivu kama nyinyi ndio mtam envy,lakini sio sie,hana chochote kipya anachokibuni vyote viko, inategemea na knowledge yako ya kujali afya yako ikoje,ni bora ya yule Dr Ngoka kuliko huyo mtu wenu,to me mshana jr nimefaidila na maandiko yake kuliko huyo mtu wenu.,anyway labda wewe ndio MziziMkavu mwenyewe unajiteteta ningeomba utoke kivingine, au huko Uturuki uliko jaribu kupeleka ma investors wa madirisha ya Upvc Nyumbani Tz.
 
Back
Top Bottom