Si salama kujenga juu ya makaburi

Si salama kujenga juu ya makaburi

Duu sasa mimi nimelala nazo mochwari zaidi ya mwaka na nyingine nimezibutua mno kwa kibiriti cha gesi kwenye yake matanuri ya kuchomea (sio hapa nchini lakini )na nilikuwa nikimaliza nagonga msosi kama kawa tena hata nyama choma....nikikumbuka yale maisha najiona kama sio mimi [emoji144] [emoji144] [emoji134] [emoji85] [emoji87]
waaaaa! Kweli wewe roho ngumu!
 
Mi nkikuta njia yyte ambayo pembeni kuna makaburi ntayakwepa kwa macho huku natembea Kama ni mchana peupee na kuna watu maeneo hayo...Ila kama ni usiku hata kama kuna mtu ntavopita kama usain bolt!!
 
Inasemekana hata mwananyamala hospital ilijengwa juu ya makaburi ndio maana ile hospital pamoja na juhudi zote za kuiboresha lakini wahudumu wote kwa nyanja zote ni vichwa maji

hah ha hah hah ebana wakikujuwa then ndio siku uende jino linakuuma nadhani watakung'oa mpaka ulimi
 
hah ha hah hah ebana wakikujuwa then ndio siku uende jino linakuuma nadhani watakung'oa mpaka ulimi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Mimi Tabia yangu huw asishindanina mtu katika kuweka Topic humu jamvini niko busy sasa na wagonjwa wa Ukimwi, wagonjwa wa Hepatitib Virus na wagonjwa wa Saratani ndio maana sijaweka siku nyingi Topic mpya. Nimemuachia Mkuu.@Mshana jr aendelee kuweka vitu vyake hongera.
Shikamoo mme wangu.
Wr zembea nahamishia majeshi kwa mshana jr
 
Duu sasa mimi nimelala nazo mochwari zaidi ya mwaka na nyingine nimezibutua mno kwa kibiriti cha gesi kwenye yake matanuri ya kuchomea (sio hapa nchini lakini )na nilikuwa nikimaliza nagonga msosi kama kawa tena hata nyama choma....nikikumbuka yale maisha najiona kama sio mimi [emoji144] [emoji144] [emoji134] [emoji85] [emoji87]
Kumbeeeeeeeee...staki tena
 
Shikamoo mme wangu.
Wr zembea nahamishia majeshi kwa mshana jr
[emoji39] [emoji39] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji179] [emoji173] [emoji180][emoji23] [emoji23]
Kumbeeeeeeeee...staki tena
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji26] [emoji26] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Mshana ulichosema ni kweli shule niliyosoma O-Level eneo lake la mabweni lilikuwa mali ya wakazi wa maeneo hayo walinyang'anywa mpaka sehemu za makaburi. Sasa bweni letu ndio lilisemekana kujengwa juu ya makaburi. Kwa kweli maajabu na vituko tulivyoshuhudia kwa miaka minne ni Mungu tu alituhurumia. Kuna wakati tulijikuta tunabeba mabegi bila kujijua usiku tunaelekea home mara vitanda vinaelea yaani acha tu.
 
Hutanipata Mkuu kuna best wangu dada yake alikuwa akisafiri na bus kwenda Mbeya basi wakapata ajali Chalinze, Walikufa watu 15 basi ikabidi yeye na Kaka yake waende kuangalia dada yao kama ni mmoja wa majeruhi au ni mmoja wa wafu. Baada ya kumkosa dada yao wodini kwa uzembe wa hospitali basi ikabidi waingie mochwari. Kule mochwari maiti zimewekwa hovyo hovyo tu kwenye sakafu unaanza kutupia macho moja baada ya nyingine kumaliza pale wakaingia kwenye majokofu hola hawakuona kitu ikabidi warudi tena wodini na kumkuta dada yao akiwa kaumia lakini si wa kukata roho. Jamaa aliporudi MUJINI kile kitendo cha kuona wafu chungu nzima kilimchanganya sana ilimchukua kama miezi miwili kurudi katika hali ya kawaida. Wakati mwingine nilikuwa namuangalia tu na kuona huyu jamaa hayuko sawa halafu alikuwa hawezi hata kuhadithia akihadithia kidogo anasita na kutotaka kuendelea tena. Acha wengi wa walio hai wawaogope wafu Mkuu.
Habari yote inaaisha na tunatisha tukisha kufaa etiii..ukue una jicho hilooo..basi huangaliki mara mbili ukikata roho.MIILI TU..
 
Heshima kwako Mshana Jr. Mi na swali dogo hapa naomba nisaidie. Ukisha kufa habari yako si imeisha,sasa hivi vituko vinavyotokea makaburini kwa wafu kutokelezea na kuleta taharuki kwa watu inakuaje hapa? Hawa wafu kwanini watokee wakati habari yao ndo ilishaisha?
 
Wale wameshaoza hivyo nafasi haina budi kutumika kwa shughuli zingine
Roho hata kama zitakuwa zinakuja basi hazIkatazwi na mtu kufanya hivyo
 
Kinachokufa ni mwili uharibikao sio roho! Roho huishi milele haifi
 
Wale wameshaoza hivyo nafasi haina budi kutumika kwa shughuli zingine
Roho hata kama zitakuwa zinakuja basi hazIkatazwi na mtu kufanya hivyo
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Safi sana mleta mada binadamu siku hizi hatujali kabisa wenzetu waliotangulia mbele za haka kwa kudhani hakuna la zaidi as long as washakufa. Hii mada na iwe fundisho kwa wote wenye kupora maeneo ya makaburi
 
[emoji39] [emoji39] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji179] [emoji173] [emoji180][emoji23] [emoji23]

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji26] [emoji26] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Au ikija nistue
 
Back
Top Bottom