Si salama kujenga juu ya makaburi

nenda ile stand ya daladala ya zamani ya arusha mjini pale usiku kuanzia saa 6 ujionee mambo ya ajabu.lile eneo nalo walihamisha makaburi

Mambo gani ya ajabu? hakuna lolote, mimi nina biashara hapo juu palipotolewa makaburi, inachanganya kweli kweli, na upande wa pili yapo mengine ambayo tunayalia mingo manispaaa iwahamishe marehem tuweke biashara!
 
Ngoja wacharuke siku moja utakuja kusema hapa ukiamua
 
Mfano kiwanja kama alizikwa mtoto chini ya mwaka mmoja.. Na kaburi ilishafutika na kuwa ardhi/udongo. Je hapo napo ni makaburi au panafaa tu kujengwa? Hakuna makaburi mengine. Tafadhali mshana jr naomba unisaidie kunijibia hapa.

Mkuu;
Umekwisha ambiwa kuwa hayo ni makazi ya mtu. Jiulize, kama umeenda kutafuta nyumba ya kupanga, hata kama mwenye nyumba kakuambia kuwa humu ndani kuna mtoto wangu wa kuzaa huwa anavamiaga vyumba vya watu bila ruksa utachekelea tu na kumwambia mtaelewana??
Ni sawa na hapo mahali. Ameshazikwa mtu, usimdharau. Kuna viwanja utajenga hata kabla hujahamia ufa wa kufa mtu. Halafu hauendelei bali ni pale kwenye sababu tu. Mwingine unageuka shimo au chuguu. Ukifanya utafiti (kuchimba) unakutana na fuvu la mtu. Wewe mwenye kiwanja unatakiwa kutoa kondoo dume lichinjiwe pale litolewe kafara zake kitaalam. Baada ya siku nne unaleta kondoo jike linachinjwa, linaliwa pale kikafara nyama haitoki pale mnampa marehemu sehemu yake ale na nyiye. Halafu mtafungasha yale masalia yake na mifupa ya kondoo wenu mkayazike kwa hishima makaburini au mkayaweke makaburini. Hatakusumbua tena
 
Daaah umenitisha mkuu!!
Make nina kiwanja ni kikubwa sn na kipo pazuri sn. Ila niliambiwa mahala pale alizika mtoto mchanga sanaaa. Na kaburi lilisha futika. Japo direction alinionesha..

Kwa maelezo yako haya..japo kaburi lilisha futika itanibidi either sehemu ile pawe nyuma ya nyumba au pawe uwanja wa nyumba..parking, garden, nk..

Ila hizo tambiko kweli mm siziwezi aiseee.

Shukrani kwa tahadhari hii.
 
Mkuu sikutishiii. Nafaham mahali pana nyumba ilijengwa ikakamilika na mwenyewe akaondoka kwenda kwao kijiji kingine kuichukua familia waje kuhamia. Leo ni miaka zaidi ya 34 hajarudi wala hajafika kwao. Kuna koti alitundika ukutani lipo pale pale wala hakuna aliyewahi kuthubutu kuligusa.
Tatizo aliambiwa kuwa huo uwanja/shamba lina mgogoro wa kidhuluma na kulogana. Aliyekuwa mmiliki kafa ghafla. Yeye hakujali hayo.
Wewe siku utapaki gari lako hapo halafu usiku ukasikia horn na gari kuwashwa huku ufunguo ukiwa nao mkononi, usiogope mkuu. Ni PM
 
Hii dunia tunaambiwa ina umri wa mamilioni ya miaka. Basi jua kila pahala hapa duniani kulisha wahi kuwa kaburi wakati flani.

Na washawasha!
 
Mshana Jr ni kwann watu huzika wafu kwa kusafirisha? Kwann wasizike hapohapo mfano juz kaburi la baba Wa ndugai limehamishwa toka geita hadi Dodoma
 
KUNA SIKU MOJA NLIKAAA NA JAMAA FULANI WAKANIAMBIA PALEE ILIPO STANBIC BANK ZAMANI IKIKUWA ENEO LA MAKAABURI!...[HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] jr

OvA
 
Mshana Jr ni kwann watu huzika wafu kwa kusafirisha? Kwann wasizike hapohapo mfano juz kaburi la baba Wa ndugai limehamishwa toka geita hadi Dodoma
Mambo ya mila tamaduni na desturi
 
Yaan uende ukamuombe akusaidie mtu ambae ashakufa na hakuweza kujisaidia asipatwe na mauti
 
Imeandikwa ktk biblia kuwa yeye aniaminiye mimi(Mungu) hata ajapokufa atakuwa anaishi. Hivyo maisha huendelea kwa wafu ndiyo maana leo waliokufa wanatumika kupeleka mahitaji ya walio hai kwa Mungu (mtakatifu fulani utuombee).
Tatizo la waafrika wengi wameaaminishwa kuwa wao wakifa wanageuka kuwa majini ila mzungu akifa anakuwa mtakatifu. Kama ulimheshimu mtu akiwa hai go on that hata akifa. Mada hii ni pana sana.
 
Back
Top Bottom