Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Ndicho kilichonikimbiza Makapuku; na Makapuku ikalega lega na hata kupoteza umaarufu. Watu wako very tight na watu wao hata ukimsalimia mtu tu unaonekana kiroja. Afadhali Sakayo angalau alikuwa akinisalimia [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo la moyoni jamanii! Mbona tunapiga stori safi kabiaaa jamani
 
Halafu hao waropokaji ndio hata hawana hadhi ya kututongoza.
Mfano Jana namfundisha digba sowey namna ya kuandika vizuri baada ya kuona anaandika hovyo bila kufuata vituo na r badala ya L na anasema yeye ni mwalimu.
Badala apokee somo langu akasema namtaka anioe. Ila atanyooka tuu.
, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom