Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Halafu hao waropokaji ndio hata hawana hadhi ya kututongoza.
Mfano Jana namfundisha digba sowey namna ya kuandika vizuri baada ya kuona anaandika hovyo bila kufuata vituo na r badala ya L na anasema yeye ni mwalimu.
Badala apokee somo langu akasema namtaka anioe. Ila atanyooka tuu.
hongera mama, tenda wema uende zako, atakushukuru one day
 
Mkuu...
Maisha ya mtandaoni usiyachukulie kwa uzito sana, unaweza ukavutiwa na maandiko yangu ya kujisifia kimaisha kumbe ni choka mbaya kuliko hata wewe.

Kuna wengine furaha yao ni kupinga kila kitu kiandikwacho na wengine,lengo aone mwenzie anavyo kwazika.
Hata hao wanao kuja PM kwa mitongozo sio watongozaji, wengi wao mapepo wa makwazo, nenda nao sawa utaona wanavyo pungua.
Achana na stress za mitandaoni,Corona ipo itakuchukua haraka kwa kupungukiwa na kinga ya mwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hao waropokaji ndio hata hawana hadhi ya kututongoza.
Mfano Jana namfundisha digba sowey namna ya kuandika vizuri baada ya kuona anaandika hovyo bila kufuata vituo na r badala ya L na anasema yeye ni mwalimu.
Badala apokee somo langu akasema namtaka anioe. Ila atanyooka tuu.

Alisema yeye mwalimu au mwarimu?😆😆
 
Back
Top Bottom